CHADEMA inaimarika huku CCM ikiporomoka kwa kasi 2024/2025 hapatatosha

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,754
umofia kwenu

Misimamo na utahibiti katika kujenga hoja ni eneo ambalo limeifanya CHADEMA kuinuka kwa kasi kubwa baada ya kujeruhiwa vibaya na dola kipindi cha jiwe.

Mbeleko na kupoteza mwelekeo kwa makada na viongozi wa CCM kumepelekea jahazi kuzama kungali mapema

Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka wa majonzi tele ambapo CCM iliudhihirishia ulimwengu kuwa siyo chama kinachovumilia siasa za ushindani. Kwa kutumia watendaji serikalini na nguvu ya dola.hasa hasa wale ambao wameundiwa sheria ya kinga dhidi ya jinai.

Kupiga marufuku shughuli za siasa na kuharamisha kisheriaukosoaji wa aina yeyote kumepelekea nchi kurudi nyuma.miaka 50 kisiasa na kimaendeleo.

Shamradhamra za kupokea rais mpya mwanamke zimegeuka maombolezo kwa sababu mpaka sasa ameendelea kukumbatia sheria haramu zinazokouka haki za binadamu. Sheria kama vile Sheria ya makosa ya Mitandaoni, Sheria ya BASATA, Sheria ya Kinga kwa viongozi wa juu, Sheria ya TCRA, Sheria ya kinga kwa maafisa usalama na zingine lukuki ni picha inayokamilisha taswira halisi ya CCM katika kushika hatamu za nchi.

Haikuwa bahati mbaya kwa Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally Kakurwa kutoa kauli kwamba CCM inatumia na itaendelea kutumia vyombo vya dola kusalia madarakani. Mbinu hii siyo ngeni kwa tawala za kiimla duniani kote. Tuangalie maana ya kutumia dola kusalia madarakani. Tumeona askari wetu wengi ambao wameingia ktk siasa wangali ktk viapo vyao ilihali katiba inakataza mtumishi wa vyombo vya ulinzi kushiriki siasa. Siyo siri, viapo vya maafisa wetu usalama wanapoingizwa kazini vinanasibisha kazi yao na kuiunga mkono TANU na ASP (CCM).

CHADEMA imemjingengea uwezo katika kipindi kigumu sana walichopitishwa na serikali ya CCM. Chama ambacho makada wake wameuawa kinyama, wengine kupata ulemavu wa maisha yao kwa kujitolea kwao kupigania usawa, demokrasia na utu wa Mtanzania. Wananchi ambao kwa kiasi kikubwa walilishwa propaganda hasi dhidi ya wapinzani imeisha nguvu na sasa uelewa wa wananchi upo juu.

Kuporomoka kwa CCM ni matokeo ya uongozi mbovu unaolinda viongozi wabovu na mafisadi wasiozingatia maadili ya uongozi. Kikundi cha watu wachache kimejipa mamlaka ya kuamua hatima ya nchi bila kuzingatia ustawi wa wananchi.

Kuimarika kwa CHADEMA kumejengwa na udhaifu wa CCM, pia chama hiko kimewekeza kwenye kujenga hoja zenye mantiki ya kulikwamua taifa kwenye mikwamo iliyoletwa na CCM.

Chaguzi za serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni mfupa mgumu sana kwa CCM hivyo kwa kujua kuwa lazima kishinde kimejiandaa hata kumwaga damu za watanzania ili kisalie madarakani. Sheria ya Kinga dhidi ya jinai kwa maafisa usalama wa Taifa ambao kimsingi sheria yao haiwaruhusu kufanya oparesheni yeyote zaidi ya kukusanya, kuchakata na kuwasilisha taarifa ili zifanyiwe oparesheni na jeshi la polisi.

Inatafakarisha sana hii sheria ya kuwapa kinga maafisa usalama ambao kimsingi wanapaswa kuwa na weledi wa hali ya juu kwenye majukumu yao.... hayo ni mwanzo tu. Mengine mengi yenye uovu dhidi ya raia yapo njiani.
 
Hatuwezi kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi ili CCM waendelee kupata uhalali wa kukaa madarakani bila ridhaa ya umma. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi
Jiwe alikuwa jiwe kweli
Lakini huyu wa sasa picha ndo limeshaanza. Anatamani hata kuwavua hadhi ya uaskofu TEC
 
Screenshot_2023-09-02-21-47-51-1.png
 
CHADEMA ni genge la "sarcastic"...

Unaimarikaje kwa kuwa na watu dhaifu kama Dr.Wilbroad Slaa ?!!!

Eti Tundu Lissu mropokaji ndiye akuimarishie chama

Maweeee
 
Hatuwezi kuendelea kushiriki chaguzi za kishenzi ili CCM waendelee kupata uhalali wa kukaa madarakani bila ridhaa ya umma. Ni aidha machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi
Lini utaacha kujidanganya ?!!

Mapinduzi ya kijeshi sahau...hayapo....hamna hayo....

Hushangai CCM ndiyo mapinduzi yenyewe?!!!

Machafuko "utajichafua" mwenyewe... kalaghabaho
 
umofia kwenu

Misimamo na utahibiti katika kujenga hoja ni eneo ambalo limeifanya CHADEMA kuinuka kwa kasi kubwa baada ya kujeruhiwa vibaya na dola kipindi cha jiwe.

Mbeleko na kupoteza mwelekeo kwa makada na viongozi wa CCM kumepelekea jahazi kuzama kungali mapema

Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka wa majonzi tele ambapo CCM iliudhihirishia ulimwengu kuwa siyo chama kinachovumilia siasa za ushindani. Kwa kutumia watendaji serikalini na nguvu ya dola.hasa hasa wale ambao wameundiwa sheria ya kinga dhidi ya jinai.

Kupiga marufuku shughuli za siasa na kuharamisha kisheriaukosoaji wa aina yeyote kumepelekea nchi kurudi nyuma.miaka 50 kisiasa na kimaendeleo.

Shamradhamra za kupokea rais mpya mwanamke zimegeuka maombolezo kwa sababu mpaka sasa ameendelea kukumbatia sheria haramu zinazokouka haki za binadamu. Sheria kama vile Sheria ya makosa ya Mitandaoni, Sheria ya BASATA, Sheria ya Kinga kwa viongozi wa juu, Sheria ya TCRA, Sheria ya kinga kwa maafisa usalama na zingine lukuki ni picha inayokamilisha taswira halisi ya CCM katika kushika hatamu za nchi.

Haikuwa bahati mbaya kwa Katibu Mkuu wa CCM Bashiru Ally Kakurwa kutoa kauli kwamba CCM inatumia na itaendelea kutumia vyombo vya dola kusalia madarakani. Mbinu hii siyo ngeni kwa tawala za kiimla duniani kote. Tuangalie maana ya kutumia dola kusalia madarakani. Tumeona askari wetu wengi ambao wameingia ktk siasa wangali ktk viapo vyao ilihali katiba inakataza mtumishi wa vyombo vya ulinzi kushiriki siasa. Siyo siri, viapo vya maafisa wetu usalama wanapoingizwa kazini vinanasibisha kazi yao na kuiunga mkono TANU na ASP (CCM).

CHADEMA imemjingengea uwezo katika kipindi kigumu sana walichopitishwa na serikali ya CCM. Chama ambacho makada wake wameuawa kinyama, wengine kupata ulemavu wa maisha yao kwa kujitolea kwao kupigania usawa, demokrasia na utu wa Mtanzania. Wananchi ambao kwa kiasi kikubwa walilishwa propaganda hasi dhidi ya wapinzani imeisha nguvu na sasa uelewa wa wananchi upo juu.

Kuporomoka kwa CCM ni matokeo ya uongozi mbovu unaolinda viongozi wabovu na mafisadi wasiozingatia maadili ya uongozi. Kikundi cha watu wachache kimejipa mamlaka ya kuamua hatima ya nchi bila kuzingatia ustawi wa wananchi.

Kuimarika kwa CHADEMA kumejengwa na udhaifu wa CCM, pia chama hiko kimewekeza kwenye kujenga hoja zenye mantiki ya kulikwamua taifa kwenye mikwamo iliyoletwa na CCM.

Chaguzi za serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025 ni mfupa mgumu sana kwa CCM hivyo kwa kujua kuwa lazima kishinde kimejiandaa hata kumwaga damu za watanzania ili kisalie madarakani. Sheria ya Kinga dhidi ya jinai kwa maafisa usalama wa Taifa ambao kimsingi sheria yao haiwaruhusu kufanya oparesheni yeyote zaidi ya kukusanya, kuchakata na kuwasilisha taarifa ili zifanyiwe oparesheni na jeshi la polisi.

Inatafakarisha sana hii sheria ya kuwapa kinga maafisa usalama ambao kimsingi wanapaswa kuwa na weledi wa hali ya juu kwenye majukumu yao.... hayo ni mwanzo tu. Mengine mengi yenye uovu dhidi ya raia yapo njiani.
Hii hali imekuwa tishio kwa dpw
 
Back
Top Bottom