Mbowe: CCM wajue Wajukuu zetu Watafukua Makaburi yao na kuwapiga Marungu kwa jinsi Uongozi wao ulivyoiangamiza Nchi yao!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Nadhani tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Wajukuu zetu Watafukua Makaburi ya Viongozi wa CCM na kuwapiga Marungu kwa jinsi Uongozi wao ulivyoiangamiza Nchi yao

Akiwahutubia Wananchi Mbowe amesema Viongozi wa CCM na Watoto Wao wameiba kila kitu na sasa tumekuwa Omba Omba

Nawatakia Dominica yenye baraka 😄
 
Back
Top Bottom