Ni Mjinga tu anayeamini Dkt. Slaa angebaki CHADEMA basi Lowassa angeshinda Urais 2015! Kisiasa Kikwete amewaacha Mbali Sana CHADEMA!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sasa.

Chadema mlimkosea sana Dr Slaa ila huyu Mzee aliwaheshimuni kwa kutorejea CCM

Kiufupi Mbowe hamuwezi kabisa Mzee Kikwete kisiasa tangia mwaka Ule 2005 alipogaragazwa kwenye kura.za Urais hadi Kesho

Mlale Unono 😀😀
 
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sas...
Bila mbeleko hii CCM saa nne asubuhi tu chali
IMG-20200726-WA0000.jpg
 
Write your reply...dr slaa ni mwanasiasa pekee anayejielewa.mbowe ndye aliyebugi 2015 kuingia ndani ya 18 ya kikwete.hivyo hivyo kikwete akamchezea mchezo mtamu bila faulu yeyote kwamwunganisha na mama ikulu.bila kelele yakina lisu tayar yangejirudia ya luwasa 2015.
 
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sasa

Chadema mlimkosea sana Dr Slaa ila huyu Mzee aliwaheshimuni kwa kutorejea CCM

Kiufupi Mbowe hamuwezi kabisa Mzee Kikwete kisiasa tangia mwaka Ule 2005 alipogaragazwa kwenye kura.za Urais hadi Kesho

Mlale Unono
Katika siasa hakuna urafiki ama uadui wa kudumu, bali yapo maslahi ya kudumu. Siasa hufanyika kutokana na mazingira yaliyopo wala hazifanyiki kupitia sababu za kihistoria.

Fursa ikitokea, mwadhibu hasimu wako wa kisiasa kutokana na udhaifu wake. Akikubana kubaliana tu na hali hiyo.
 
Ndgu humwelewi kikwete.jamaa ni akili kubwa sana.waulize wakenya watakupa jibu
Kwamba akili kubwa utawala wake ndio utawala pekee ambao rushwa ilitawala kwa kiwango cha TBS pamoja na utawala huu wa awamu ua sita ambao yeye ni mshenga aliyejificha. Unasema niwaulize wakenya yani kenya ambayo haijawahi kuzidiwa kiuchumi wakati kikwete ni Rais leo imkubali kikwete, hiv weww unawajua wakenya au unawasikia tu kama hujui nchi yenye wananchi wenye dharau ni wakenya ndio maana kipindi cha mzozo wa uchaguzi wa mwaka 2007 walimkataa mpaka Koffi Anan akaja kuokoa jahaz leo unakuja kuhadaa jf kuwa kikwete ni mwanasiasa kama narudia tena kama hujui kikwete ni jambaz kama majambaz mengine ila wajinga kama wewe humuona mjanja.
 
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sasa

Chadema mlimkosea sana Dr Slaa ila huyu Mzee aliwaheshimuni kwa kutorejea CCM

Kiufupi Mbowe hamuwezi kabisa Mzee Kikwete kisiasa tangia mwaka Ule 2005 alipogaragazwa kwenye kura.za Urais hadi Kesho

Mlale Unono 😀😀
Kwanini unatuletea habar za tapeli wa msoga? Tulishamzika kwenye mioyo yetu tapeli huyo
 
Kwamba akili kubwa utawala wake ndio utawala pekee ambao rushwa ilitawala kwa kiwango cha TBS pamoja na utawala huu wa awamu ua sita ambao yeye ni mshenga aliyejificha. Unasema niwaulize wakenya yani kenya ambayo haijawahi kuzidiwa kiuchumi wakati kikwete ni Rais leo imkubali kikwete, hiv weww unawajua wakenya au unawasikia tu kama hujui nchi yenye wananchi wenye dharau ni wakenya ndio maana kipindi cha mzozo wa uchaguzi wa mwaka 2007 walimkataa mpaka Koffi Anan akaja kuokoa jahaz leo unakuja kuhadaa jf kuwa kikwete ni mwanasiasa kama narudia tena kama hujui kikwete ni jambaz kama majambaz mengine ila wajinga kama wewe humuona mjanja.

kikwete wizi ndo unamfanya ajijengee misingi ili dili zake zisiguswe.

Tanzania ikapata kiongozi muadilifu huyoo kikwete lazima akimbie nchi anaufisadi mwingi sana., na awamu ya sita kapata umiliki wa remote Tanzania tuhesabu maumivu tuu.
 
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sasa

Chadema mlimkosea sana Dr Slaa ila huyu Mzee aliwaheshimuni kwa kutorejea CCM

Kiufupi Mbowe hamuwezi kabisa Mzee Kikwete kisiasa tangia mwaka Ule 2005 alipogaragazwa kwenye kura.za Urais hadi Kesho

Mlale Unono
Kumbe wajinga mpo wengi, unadhani kikwete bila Dola na Tume lenu hilo ni alishapigwa mapema
 
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sasa

Chadema mlimkosea sana Dr Slaa ila huyu Mzee aliwaheshimuni kwa kutorejea CCM

Kiufupi Mbowe hamuwezi kabisa Mzee Kikwete kisiasa tangia mwaka Ule 2005 alipogaragazwa kwenye kura.za Urais hadi Kesho

Mlale Unono 😀😀
Typing......
 
Tuliiba kura wewe.

Mungu atusamehe,
 
unamshindanisha mbowe na kikwete kwenye siasa ? mbowe yuko mbali sanaa kwa kikwete.

((kikwete+polisi+nec+jw+ufisadi+rushwa+usalama wa taifa+serekali+bunge+mahakama+
saa 100+kabitambovu)))

vs

Mbowe

mpka naona aibu.
 
Narudia tena ni mtu mjinga tu anayeamini Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM au yule Mgombea uRais wa Zanzibar kupitia CCM anaweza Kushindwa Uchaguzi kwa Katiba ya sasa

Chadema mlimkosea sana Dr Slaa ila huyu Mzee aliwaheshimuni kwa kutorejea CCM

Kiufupi Mbowe hamuwezi kabisa Mzee Kikwete kisiasa tangia mwaka Ule 2005 alipogaragazwa kwenye kura.za Urais hadi Kesho

Mlale Unono
KWA POLICCM NA TUME YA UCHAGUZI kweli hamuwezi
frank_yanga_1691214630235739.jpg
JamiiForums1966179623.jpg
 
Nimpumbavu pekee anayefikir kikwete ni mwanasiasa bila kujua kuwa kikwete ni fisadi lililokubuhu ambalo ukiingia utawala tofauti lazima likimbie nchi.
Ht ukimwita fisadi lkn haiondoi ukweli kwamba JK yuko juu sana kisiasa. Hakuna wa kumshindanisha nae kwa sasa
 
Back
Top Bottom