Mkutano wa tathmini wa Jeshi letu la Polisi

maramojatu

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,169
1,533
Za asubuhi wanaJF,
Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia.

Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo nashauri tuweke tathmini yetu kuhusiana na utendaji wao kutoka kama service users.
Hii itasaidia kuboresha shughuli zao huku wakihakikisha matarajio yetu yanafikiwa.
Nawasilisha
 
jeshi la ccm +

maslahi bahati nasibu +

huduma kwa wananchi.

=matokeo yasiyoridhisha wakakti wote.

hakuna mchawi wa huduma mbovu za jeshi la polisi zaidi ya ccm na polisi wenyewe,hivi vikao ni kupoteza muda tu.
 
Za asubuhi wanaJF,
Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia.

Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo nashauri tuweke tathmini yetu kuhusiana na utendaji wao kutoka kama service users.
Hii itasaidia kuboresha shughuli za. o huku wakihakikisha matarajio yetu yanafikiwa.
Nawasilisha
Hilo jeshi haliboresheki. Ni la kuburuzwa tu, na viongozi wake ni wa kujipendekeza ili wapate vyeo vya kupatia rushwa. Wanasiasa wa CCM wameshawajulia wanawatumia jinsi wapendavyo.
 
Za asubuhi wanaJF,
Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia.

Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo nashauri tuweke tathmini yetu kuhusiana na utendaji wao kutoka kama service users.
Hii itasaidia kuboresha shughuli zao huku wakihakikisha matarajio yetu yanafikiwa.
Nawasilisha
Wanafiki na wauaji wanajitathmini

Kituko cha karne
 
Jeshi hili livunjwe na kuundwa upya,above 40yrs waondolewe maana wanafanya kazi kwa mazoea, technology imewapita kabisa, tuajiri vijana fresh na kupata mafunzo mapya yaliyoandamana na technology mpya, hawa wa sasa even to secure a crime scene hawajui, na lini jeshi hili litaanza kutupa crime statistics za nchi nzima?,je kesi za mauaji zinapungua/kuongezeka, GBV je,etc etc, hili lilikua linafanyika why waliacha?,binafsi sipendi kabisa utendaji wa jeshi hili hasa kitengo cha detectives, traffic officer's
 
Lini wataunda special units within hili jeshi?pia lini wataunda kikosi maalum kitakacho kuwa kunaangalia utendaji wa police, yaani kama kuna crime scene imehusisha officials wa police, itabidi police wakae pembeni maana hawawezi kujichunguza, kikosi kazi hiki ndicho kichunguze maana kitakuwa neutral
 
Back
Top Bottom