Kama Dkt. Slaa alijivua nguo mwenyewe, mengine ni marudio

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,153
16,147
Naona tangu itoke taarifa ya kunyofolewa kilemba cha ubalozi Dkt. Slaa wengi wamekuja na stori nyiingi kama kuna kosa kubwa limefanyika,
kama Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema hukupa uhai ikafikia kipindi akautwaa uhai wake, ndugu na watu wa karibu na wanafiki pia wakalia nini dk slaa kunyng'anywa ubalozi.

Mbona mpaka leo hii hamjahoji kwanini alivuliwa uaskofu yeye mwenyewe hajasema mpaka leo hii ni siri yake m, tusiwapangie watu cheo ni dhamana slaa si wa kwanza, kama alikula kiapo cha kutofungua zipu wala kumpigia goti manzi halafu akakengeuka.

Hilo wala si geni kwanza ubalozi wenyewe aliupata kwa zari hata hayati Mzee Mwenyewe Magufuli jembe sidhani kama angevumilia utopolo kama huo wa mizingulizi, sidhani kama CHADEMA wamemsamehe kwa ule mkutano wake wa Serena.

kama huna maadili na unataka kuwapindua waliokuzawadia hilo koti sio lawama kukuvua.

Dkt. tuwache tujipige chai kwa mihogo ya kukaanga na kachumbari.

Alijivua nguo kanisani alijivua nguo CCM alijivua nguo CHADEMA na sasa kwenye ubalozi hili pia litapita maisha yaendelee!

Haya tuone jua lisitoke,usiku usiingie na mvua zisinyeshe magari yasisafiri wala umeme usiwake kisa tu slaa mmoja kavuliwa kilemba cha ukoka!

Tukutane anfield kesho kwenye karamu!
 
Naona tangu itoke taarifa ya kunyofolewa kilemba cha ubalozi dk slaa .

Wengi wamekuja na stori nyiingi kama kuna kosa kubwa limefanyika,
kama Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema hukupa uhai ikafikia kipindi akautwaa uhai wake ,ndugu na watu wa karibu na wanafiki pia wakalia nini dk slaa kunyng'anywa ubalozi.

Mbona mpaka leo hii hamjahoji kwanini alivuliwa uaskofu yeye mwenyewe hajasema mpaka leo hii ni siri yake ,
tusiwapangie watu cheo ni dhamana slaa si wa kwanza,
kama alikula kiapo cha kutofungua zipu wala kumpigia goti manzi halafu akakengeuka.

Hilo wala si geni kwanza ubalozi wenyewe aliupata kwa zari
hata hayati Mzee Mwenyewe Magufuli jembe sidhani kama angevumilia utopolo kama huo wa mizingulizi,
sidhani kama chadema wamemsamehe kwa ule mkutano wake wa serena.

kama huna maadili na unataka kuwapindua waliokuzawadia hilo koti sio lawama kukuvua.

Dk tuwache tujipige chai kwa mihogo ya kukaanga na kachumbari.

Alijivua nguo kanisani alijivua nguo ccm alijivua nguo chadema na sasa kwenye ubalozi hili pia litapita maisha yaendelee!

Nani kakwambia Dr Slaa aliwahi kuwa Askofu?
 
Maelezo ni mengi sana lakini ni ngumu kuelewa umeandika juu ya Nini hasa?
 
Unaharisha tu hapa.
 
Alikuwa na passport ya kidiplomasia na stahiki za kibalozi Sasa ngoja anywe uji alioukologa.

Bado Mwambukusi
 
Dr Slaa katema big jii kwa karanga ya kuonjeshwa.

Anapenda kutrend ambapo mwisho wake huwa ni mbaya.

Aliacha upadri akakimbilia siasa (CCM) akatrend sana.

Akatoka CCM akakimbilia Chadema akatrend sana.

Akajitoa Chadema akakimbilia Canada nako akatrend sana.

Akarudishwa na mwamba baada ya kupewa ubalozi na kwenda zake ughaibuni kutumikia taifa pia akatrend sana.

Amerudi akawa kimya kwa muda, alipoona Mbowe ameshtakiwa kwa kosa la uhaini akajitokeza tena ili atrend, na kweli akatrend kwa muda na baadae akapuuzwa.

Sasa likaingia swala la bandari, ghafla mzee wa kutrend akalirukia tena na kuanza kulipotosha taifa ili arudi tena kutrend.

So hayo ndio maisha yake ya kupenda kutrend trend kwa muda mfupi na baadae anapotea kama balafu juani.
 
Back
Top Bottom