Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni wazo tu. Tujaribu kuwaza kwa pamoja kwenye siasa za Tanzania. Rais Dkt. Samia ni Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi ambapo kwa mujibu wa Katiba Yao wanasema Rais akianA awamu ya kwanza sharti...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu...
38 Reactions
88 Replies
4K Views
Mama Rais Dkt. Samia nikupe hongera zako kwa kuonesha msimamo katika mambo unayosimamia. Limepita wimbi hapa na ni kama kilikuwa kipimo cha msimamo wako nadiriki kusema Tanzania imebarikiwa...
11 Reactions
86 Replies
4K Views
*Wadai kuna 'njama za kuchelewesha Katiba Mpya' MAZUNGUMZO baina ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, yaliyochukua takribani mwaka mmoja...
12 Reactions
35 Replies
4K Views
Ili kulinda heshima yako na aliyekuteua kwa kukupigania upate ubunge mbeya mjini 2020. Nakusihi 2025,usigombee. MWAMBUKUSI ndio habari ya mjini.ni ushauri tuu
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamishwa juu ya Umuhimu wa Cheo cha NAIBU WAZIRI MKUU. Pamoja na Sheria inayompa Rais nguvu ya kuanzisha CHEO chochote nimekuwa najiuliza Kwanini RAIS MWINYI hakukiingiza kwenye...
0 Reactions
0 Replies
506 Views
Tunaona mfano mzuri kwa wanawake walioshika nafasi hiyo , they could not deliver to anybody's expectation! Tulitegemea wangelifanya vema zaidi kuliko wanaume, maana wameshajua udhaifu mkubwa...
30 Reactions
93 Replies
6K Views
1. Baada ya kutajiwa ma-DC 23 wa kutoka Zanzibar wanaofanya kazi bara huku TAMISEMI ikiwa sio Wizara ya Muungano nikajua mama anazingua. 2. Baada ya kuoa Leo mkurugenzi wa bandari huku Tanganyika...
45 Reactions
76 Replies
10K Views
Kila ninapona hawa wanyama wanavuta mikokoteni huku wakicharazwa mijeledi, huwa naumia sana na kuona huu ni ukatili dhidi ya wanyama ila uliohalalishwa na mataifa kwa miaka mingi sana. Kwanza ni...
14 Reactions
87 Replies
8K Views
Unguja. Wakati wanyamapori hususani simba na chui wakivushwa kwa mara ya kwanza kwenda kisiwani Zanzibar katika maonyesho ya tamasha la Kizimkazi, Ofisa Utalii kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Si rahisi mikoa yote kutoa kiongozi mf. Waziri, majimbo yote wananchi tulikosea kuchagua isopokuwa Mbeya jiji wengine waliosalia hawana uwezo wa kuwa washauri kwenye wizara yoyote hata kujibu...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Samia Suluhu Hassan Katika Utendaji hii imekaa Vipi? Rais anaweza kumfokea Mkwe? Au Waziri Majaliwa ndo anatumwa akamnong'oneze? Mbunge wa RUfiji (CCM) Mohamed Mchengerwa ambaye Sasa ni Waziri...
25 Reactions
63 Replies
18K Views
Wafanyabiashara wameshika nchi. Wanaweza kupanga nini wafanye wakati gani. Wanaweza kupata taarifa nyeti za serikali. Wale wa mafuta wamejua bei inaenda kupanda. Kwa hiyo wameficha mafuta ili waje...
12 Reactions
23 Replies
2K Views
NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake.. Back to the topic; ✍️Ni kweli Rais Ally...
24 Reactions
97 Replies
7K Views
List of shame? Wauza bandari? Wote amepambana nao
32 Reactions
57 Replies
4K Views
Huenda kuna kitu sikijui au kimenipita. Hivi mtu ambaye aliwahi kuwa balozi, na sasa hatumikii tena kazi hiyo, kuendelea kuitwa balozi huwa kunaongeza nini kimaisha yake ukiondoa sifa za kujidai...
9 Reactions
53 Replies
7K Views
1."Tuna umeme wa ziada" MGAO KILA SIKU? 2. Viongozi wanatembelea LC 300( Moja ina thamani ya Tsh 600M)!! Halafu... -Wananchi wanakunywa maji ya matope -Wanafunzi wanakaa...
17 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema amesema anaelewa Wazi Waziiri mpya wa Tamisemi mh Mchengerwa ameoa Mtoto wa Rais Samia Lakini hilo hana tatizo nalo Mbowe amesema Rais hata alete Mkwe, Shemeji na Ndugu...
11 Reactions
42 Replies
5K Views
Niendee moja kwa moja kwenye mada husika! Mkoa wa Tabora hivi sasa ninapoandika uzi huu, uko kwenye taharuki kubwa ya kukosa mafuta! Hali ni mbaya hapa mjini, petro station moja tu mji mzima...
18 Reactions
100 Replies
8K Views
Huu ndo mtazamo wangu, Wakati sisi tunataka mabadiliko na mawazo mapya ndani ya nchi japo taifa lifike mahali fulani. CCM yenyewe iko na mawazo tofauti kabisa ya kuachiana madaraka kifamilia...
7 Reactions
7 Replies
903 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…