USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
1. Baada ya kutajiwa ma-DC 23 wa kutoka Zanzibar wanaofanya kazi bara huku TAMISEMI ikiwa sio Wizara ya Muungano nikajua mama anazingua.
2. Baada ya kuoa Leo mkurugenzi wa bandari huku Tanganyika akijikosha mbele ya Rais Samia Saluhu kuwa watachukua pesa za barndari huku Tanganyika walizopata kwenye shugli zao wakajenge majengo ya shule na zahanati kule Zanzibar nikona wamevuka mipaka ila Kuna Hilo
KUNZISHWA KWA MBUGA MPYA YA KIZIMKAZI ENEO LA PAJE ILI WATALII WANAOTUA ZANZIBAR WAENDELEE KUBAKIA HUKOHUKO WASIJE BARA MAANA WANYAMA WATAKUWA HUKO.
MKuu wa mkoa wa Kusini Unguja amemshukuru Rais Samia Saluhu kwa kuongeza wanyama wengi kwenye MBUGA ya Paje ilikuwa msitu na sasa ina wanyama wakubwa kama Simba ,chui na faru na sasa wanataka tembo na kiboko Ili kukamilisha big five Ili watalii wabakie kule na kukuza utalii.
Nimejiuliza wakati wanyama wanapelekwa Chato (Tanganyika) watu walipiga kelele na sasa ni nje ya Tanganyika na wanyama hawa sio jambo la Muungano mbona kimya.
Baada ya miaka saba watalii wanaokuja Tanganyika hasa mikoa ya Kaskazini hawatalazimika kuja na watasalia ZANZIBAR.