Aliyehongwa ubalozi na kusema Katiba Mpya sio muhimu leo anasema hayupo tayari kuhongwa?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani

Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)

Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni

Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya

Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida

Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza

Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia

Yaani japo Lipumba ni kigeugeu ila angalau ana ubinadamu afadhali hata kuliko Slaa... Kesi ya ugaidi dhidi ya Mbowe na Lissu kupigwa Risasi Lipumba aliongea kulaani japo hakuwa vocal sana, ila Slaa aliunga mkono

Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu

Hili halihusiani na suala la bandari, Slaa ana haki zote za kukosoa Mkataba wa Bandari ila sio kutuambia kuwa hawezi kuhongwa
 
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani

Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)

Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni

Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya

Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida

Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza

Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia

Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Hukumu ni hapa hapa duniani kwa wapumbavu na mbinguni ni kushindilia hukumu.
 
Mimi ninafuraha sana kwa yote anayokutana nayo Slaa kwani ubaya unalipwa hapahapa duniani.

Slaa alituangusha vibaya sisi wapinzani kwa kukubali kupokea vipande 30 vya fedha kutoka kwa watesi wetu yaani ccm.
 
Dr Alipoteza uhalali wa kusikilizwa, alipohama chadema na kurudi CCM.
Kwa kauli zake na legacy ya kimapinduzi aliyokuwa nayo alipaswa kutoka cgadrma na kubaki pembeni nje ya siasa hadi atakapopata sababu yq kurudi tena akiwa mlengo uleule wa kinyume na CCM.

Binafsi huwa simsikilizi hata azungumizie diipii.
 
Capture.PNG
 
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani

Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)

Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni

Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya

Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida

Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza

Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia

Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Alifika bei kipindi kile ndio maana alijitoa ufahamu, kwa sasa boss mpya na menejiment mpya wameamua kumtosa.
 
Huyu Dk. Slaa kipindi cha JPM alipokuwa balozi alibadilika sana na kukana kila kitu alichokuwa akikipigia debe alipokuwa upinzani

Kwanza alidai mikutano ya hadhara ni sahihi kufungiwa sababu uchaguzi umeisha(akiwa CDM alikuwa akifanya mikutano hiyo sana)

Pili alidai serikali ya Magufuli kufungia bunge ilikuwa ni sahihi sababu wapinzani huwa wanapotosha vitu vingi bungeni

Tatu alisema katiba mpya sio kitu cha muhimu na hakifai serikali kupoteza muda na hela kwa ajili ya katiba mpya

Nne alisema Tundu Lisu kupigwa risasi bungeni ni jambo la kawaida

Tano alisema Freeman Mbowe kupewa kesi ya ugaidi iliyokuwa ni halali licha ya kutokuwepo na ushahidi wowote wa maana, na waliokuwa wakipaza sauti ili aachiwe walikuwa wakimkwaza

Slaa alisema hivyo baada ya kuteuliwa balozi na baadae hata aliporudishwa alikuwa akitamka vitu vya hovyo akidhani atapata shavu serikali ya Samia

Slaa anahongwa na anahongeka vizuri tu
Matako yake,ata kama wangepita naye ingekuwa poa tu,mazafaka alituuza 2020

Pumbavu zake
 
Back
Top Bottom