Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 9,662
- 16,016
Mama Rais Dkt. Samia nikupe hongera zako kwa kuonesha msimamo katika mambo unayosimamia.
Limepita wimbi hapa na ni kama kilikuwa kipimo cha msimamo wako nadiriki kusema Tanzania imebarikiwa kupata kiongozi shupavu asiyetetereka katika maamuzi yake kwa manufaa ya Nchi yetu Tanzania.
Wasaidizi wako watambue kuwa huna mzaha kwa yeyote anayetaka kuku jaribu iwe kwa nia njema au mbaya. Nakuhakikishia kwa miradi unayoitekeleza kwenye vijiji, wilayani na sehemu zote nchini huna mpinzani mama.
Kubali wakuite majina yote lakini shikilia hapo hapo usikubali kuyumbishwa. Pia nakushauri mchakato wa katiba kwa sasa uweke pembeni tujenge nchi kwanza.