Hizi sifa sasa zimevuka mipaka yani kila kitu Rais

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia.

Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa weeeeeee.mpaka mnaingia kwenye kufuru. hata kama bosi wenu mtambue kaumbwa.

Na Mungu bila ya Mungu kumu umba msinge muona ebu mpeni sifa anae stahiki
 
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia. anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa weeeeeee.mpaka mnaingia kwenye kufuru. hata kama bosi wenu mtambue kaumbwa. Na Mungu bila ya Mungu kumu umba msinge muona ebu mpeni sifa anae stahiki
Fred lowasa amesema bila mama Samia baba yake asingefika siku aliyokufa tarehe 10 angesha kufa siku nyingi watu wanamsahau Mungu
 
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia. anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa weeeeeee.mpaka mnaingia kwenye kufuru. hata kama bosi wenu mtambue kaumbwa. Na Mungu bila ya Mungu kumu umba msinge muona ebu mpeni sifa anae stahiki
ndio nembo ya umoja, amani na furaha ya Watanzania wote 🐒

Mwenyezi Mungu amjalie afya njema na Maisha marefu rais Dr SSH..

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia.

Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa weeeeeee.mpaka mnaingia kwenye kufuru. hata kama bosi wenu mtambue kaumbwa.

Na Mungu bila ya Mungu kumu umba msinge muona ebu mpeni sifa anae stahiki
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia.

Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa weeeeeee.mpaka mnaingia kwenye kufuru. hata kama bosi wenu mtambue kaumbwa.

Na Mungu bila ya Mungu kumu umba msinge muona ebu mpeni sifa anae stahiki
Kweli kabisa, kakutana na
aliyeruhusu kubariki ndoa za mashoga dk 25 tu wajinga wanasifia...
 
Mtu akila utasikia namshukuru rais kwakuwezesha mdomo wangu kufunguka mtu, hata kama atavuka bara bara utasikia.

Anasema namshukuru rais kaniwezesha kuvuka bara bara salama sifa sifa weeeeeee.mpaka mnaingia kwenye kufuru. hata kama bosi wenu mtambue kaumbwa.

Na Mungu bila ya Mungu kumu umba msinge muona ebu mpeni sifa anae stahiki
Mimi Pia namshukuru Rais Daktari Samia kwa kuwa nimekunywa chai bila sukari
 
Rais wetu anatenda mema kwa watu wake anaowaongoza acha tumshukuru yeye kumpa moyo wa kufanya kazi na zaidi kwa upekee tumshukuru Mungu Muumba kwa kutuletea Mama Samia

Nashukuru Rais kwa kuagiza deni la bodi ya mikopo ya Elimu ya juu liwe halisi na sio lenye faini, na riba Leo hii nimeshamaliza vinginevyo ningestaafu nalo.
 
Back
Top Bottom