Chegeni: Lowassa angeweza kuishi zaidi kama isingekuwa ajali za kisiasa, alijiuzulu kwa makosa yasiyo yake ili kuilinda CCM na Serikali yake

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowassa angeendelea Kuishi.

Chegeni amesema Lowassa hakuwahi kuwa na kosa lolote kwenye kashfa ya Richmond ila alijiuzulu Ili kuiokoa Serikali na Chama cha Mapinduzi na si vinginevyo hata Bunge linaelewa hivyo.

Chanzo: Upendo TV
 
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowasa angeendelea Kuishi

Chegeni amesema Lowasa hakuwahi kuwa na kosa lolote kwenye kashfa ya Richmond ila alijiuzulu Ili kuiokoa Serikali na Chama cha Mapinduzi na si vinginevyo hata Bunge linaelewa hivyo

Source: Upendo TV
Halafu yule mzee wa kukenua kenua akaja kumlipa ubaya. Mkwere malipo yake yatakuwa hapa hapa duniani. Jana wakati Mzee Warioba anaongea jamaa alikuwa anajistukia anaona haya na TBC hawakufanya ajizi walikuwa wanamzoom.
 
Wangemsemea kipindi kile baba wa watu anaandamwa pengine angejisikia vizuri na sio baada ya kufa, kwa kweli hakuna kitu kinanyima mtu amani kama jambo la kusingiziwa mzee wa watu alijikuta yupo mwenyewe na hakuwa na mtetezi, ccm walimshambulia chadema nao wakamshambulia. Kwa kweli nilimuonea huruma sana huyu mzee kilicho mfariji kidogo ni kuwa alikuwa na nyota ya kupendwa na wananchi.
 
Hivi kwanini JK anaitwa snitch kisa hakumpa urais Edo?
Yani urais wa nchi watu walitaka wapeane Kama shamba la mananasi hapo msoga?
Haya na baadae Edo wangekubaliana na kina Bashe wwaachiwe urais 2025?
So hapo tungefurahi na kuona sawa watu wapeane tu urais
 
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowasa angeendelea Kuishi

Chegeni amesema Lowasa hakuwahi kuwa na kosa lolote kwenye kashfa ya Richmond ila alijiuzulu Ili kuiokoa Serikali na Chama cha Mapinduzi na si vinginevyo hata Bunge linaelewa hivyo

Chanzo: Upendo TV
Kosa ni kuokoa serikali ya CCM
 
Halafu yule mzee wa kukenua kenua akaja kumlipa ubaya. Mkwere malipo yake yatakuwa hapa hapa duniani. Jana wakati Mzee Warioba anaongea jamaa alikuwa anajistukia anaona haya na TBC hawakufanya ajizi walikuwa wanamzoom.
Natamani nisikie hiyo speech ya Mhe Warioba maana sikupata nafasi ya kusikia kama kuna mwenye nayo naomba aiweke humu
 
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowasa angeendelea Kuishi

Chegeni amesema Lowasa hakuwahi kuwa na kosa lolote kwenye kashfa ya Richmond ila alijiuzulu Ili kuiokoa Serikali na Chama cha Mapinduzi na si vinginevyo hata Bunge linaelewa hivyo

Chanzo: Upendo TV
Chegeni??? Basi bana lakini chegeni ni miongoni mwa Watanzania tapeli. Namjua si kwa bahati mbaya. Ni mzaliwa wa mkula,wilaya ya Busega,amekuwa mbunge wa Jimbo la Busega,alishindwa kwa aibu na Titus kamani. Pumzika Lowasa. Wanasisasa kwao hii ni fursa ama walau aongee aonekane na yeye yupo. Tena pumzika Lowasa 😭
 
Raphael Chegeni amemweleza Mkuu wa Kanisa la KKKT baba askofu Dr Malasusa kwamba kama isingekuwa Ajali mbalimbali za kisiasa mzee Lowasa angeendelea Kuishi

Chegeni amesema Lowasa hakuwahi kuwa na kosa lolote kwenye kashfa ya Richmond ila alijiuzulu Ili kuiokoa Serikali na Chama cha Mapinduzi na si vinginevyo hata Bunge linaelewa hivyo

Chanzo: Upendo TV
Ajali gani ..yaan hii tabia ya kuleta huruma zisiozokuwa na maana kww Tanzania ni ya kijinga sana
 
Back
Top Bottom