Tuwekane tu sawa kwamba Rais akistaafu anaendelea kutoa Usaidizi kwa Rais aliyeko madarakani ama kwa kumshauri na hata Kutumwa majukumu tofauti tofauti
Ni hilo tu
Mungu wa Mbinguni awabariki 😀
Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa Mbunge wao, Profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo...
A fossil is sometimes regarded as dead rock but with engraves of dead insects, tiny animals or plants...... That's is our life, we leave footprints to whatever we do... From beginning to the very...
Nyumba inayodaiwa kuwa ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko Mikocheni, jijini Dar es Salaam, imekamatwa kwa ajili ya kupigwa mnada, ili kulipa deni la malimbikizo ya...
Kuuliza sio ujinga ni kutaka pia kujifunza.Hukumu ya Mahakama kuu iliyotolewa Desemba 2023 juu ya Kesi ya kupinga Kufukuzwa Uanachama wa Chadema ilitamka wazi kuwa Halima na Genge lake Walifukuzwa...
Hali ya umeme, kukatika kila saa imeendelea kuwa tatizo gumu na mfupa mgumu katika wilaya ya Tunduru, mkoani Ruvuma licha ya, Serikali juzi kutangaza kuwasha mtambo no 9 na kuweka megawatt 235...
Wakati tuko mashuleni na vyuoni tulikuwa tunaandama kwa sababu maalumu na tunaandama mpaka kieleweki .
Maandamo ya CHADEMA ya sasa hayana madhara yoyote kwa serikali ,hayana msimamo wowote na...
Kama ilivyoelezwa tangu awali, hatimaye ile Neema ya Maandamano ya Kupinga Ugumu wa Maisha, Dhiki na Ufukara ikiwa ni pamoja na kupinga miswada mibovu ya sheria za uchaguzi Imeingia Jijini Arusha...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama ametoa wito viongozi kuhakikisha wanawapatia wenyeviti wa Mashina wa Chama cha Mapinduzi taarifa muhimu za utekelezaji...
wakati kwetu tanzania hata hicho tu max 2000 MW watu waligoma na kupiga makelele sijui mazingira mara miti milioni moja imekatwa, Congo (DRC) ina plan kujenga up 50 Gigawatt (1 GW= 1000MW) hydro...
Wadau nawasabahi. Chama kikuu cha upinzania Tanzania Chadema kimetangaza kufanya maandamano ya amani tarehe 24 Januari 2024 ili kufikisha hoja zake kwa serikali na CCM ili ziweze kutekelezwa kwa...
Kitendo cha Waziri mkuu kutoa amri ya kuchukuliwa hatua wote waliohusika na ubadhirifu wa fedha za halmashauri, kinatia moyo ingawa bado tungefurahi zaidi tutakapopata mwendelezo wa hatua hiyo...
Tanzania kama taifa licha ya ukongwe wake toka tupate uhuru ni dhahiri kwamba mifumo ya utawala imekuwa ikibidi kuwa mibovu kila kukicha. Hii hali imekuwa ikichangiwa sana sana na uchu wa viongozi...
Akizungumza bungeni leo Mheshimiwa Msukuma kadai hakuna Rais aliyedhubutu Kama Magufuli tangu tupate uhuru.
Akiitolea mfano China yenye maendeleo makubwa huku mihula ya Urais haizingatiwi, kasema...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri YA Muungano wa Tanzania..
Nitaenda moja kwa moja kwenye hoja.
Katika hali ya kawaida serikali inayoongozwa na chama tawala inapofanya vibaya kwenye septa au nyanja...
Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana.
Pili ni mvua kubwa...
Pamoja na mapungufu ya Godbless Lema Lakini angalizo kwa ndugu zake Waislamu limebeba Uzito wake
Utakuta Wanazuoni wa Kiislam walioko magerezani kwa kesi za ugaidi watetezi wao huwa ni Wakristo...
Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu.
Picha linaanza kuingia kwa daktari, mama wa...