DustBin
JF-Expert Member
- Jun 3, 2021
- 544
- 558
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri YA Muungano wa Tanzania..
Nitaenda moja kwa moja kwenye hoja.
Katika hali ya kawaida serikali inayoongozwa na chama tawala inapofanya vibaya kwenye septa au nyanja fulani, kama vile ukosefu wa ajira, huduma mbovu, hali ngumu ya maisha nk. Basi hua ni fursa kwa wananchi kufanya maamuzi ya mabadiliko ktk uchaguzi; lakini pia ni fursa kwa vyama vingine shiriki kupata hoja za kujinadi wakati wa kampeni. Maandamano hua kwa makundi maalumu ya raia/wananchi. Inapofikia chama, tena kinachojinadi kuwa ndio cha upinzani kufanya maandamano kuishinikiza serikali kufanya kitu fulani, hii ni wazi kabisa kwamba chama hicho kimekata tamaa ya kushika hatamu.
Ushauri wangu; CHADEMA wajitathimini na ikibidi waangalie namna/njia nyingine ya wao kujing'arisha kwa wananchi. Kwa hii ya Maandamano haitoleta tija.
Sabato Njema
Wakatabahu