Lema yuko Sahihi Waislamu Wana Uwezo wa kuwatetea Wanasiasa wa Kiislam Lakini hawawezi kuwatetea Wanazuoni wa Kiislam!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,036
Pamoja na mapungufu ya Godbless Lema Lakini angalizo kwa ndugu zake Waislamu limebeba Uzito wake

Utakuta Wanazuoni wa Kiislam walioko magerezani kwa kesi za ugaidi watetezi wao huwa ni Wakristo na wala siyo Waislamu wenzao hali inayopelekea wengine kufungwa na kunyongwa

Kwa maana nyingine Lema amesema si vema Mujahideen kuwa Chawa wa binadam bali muwe Chawa wa Allah

Hata machafuko ya Mwembechai aliyeyazima ni Mgalatia Augustine Mrema rip

Tumvumilie Lema kwa Unabii wake

Sabato njema 😄
 
Machafuko yameanzisha na Mkapa , Mrema alikuwa katika ishu za ulinzi , waislamu wakidai haki zao wanaitwa magaidi.

Mrema hajawahi kuwasaidia waislamu maana serikali ndio ilianzisha matatizo na kuyamaliza baada ya kuona hamna ishu wao kwa wao walikuwa wanapingana... Waislamu wakipeana consciousness basi itakuwa ni ishu ya ugaidi...
 
wenyewe wanapenda kusema waislam sio uislam,cha ajabu hakuna muislam mwenye uislam wa mfano mwema, hata mtume alichemka ila wao wanamuita kiongozi wa daraja😀😀.

ukikuta muislam mpole, mtulivu, hana chuki kwa wasio waislam au wasio wakaribu yake,amezungukwa na wakristo au watu wa dini zingine ambao hawaujui uislam kabisa kwa kipindi kirefu, hivyo tayari ameshaathitiwa na mwenendo wao.

Hawa watachukia asiye kama wao,na baadae watageukiana wao kwa wao kutafuta nani anafanana nao zaidi, maana hiyo ndio kanuni ya chuki huwa haikai nje ya kanuni hiyo.
 
Machafuko yameanzisha na Mkapa , Mrema alikuwa katika ishu za ulinzi , waislamu wakidai haki zao wanaitwa magaidi.

Mrema hajawahi kuwasaidia waislamu maana serikali ndio ilianzisha matatizo na kuyamaliza baada ya kuona hamna ishu wao kwa wao walikuwa wanapingana... Waislamu wakipeana consciousness basi itakuwa ni ishu ya ugaidi...
mkuu kila sehemu ambapo kuna waislam na kuna vurugu isiyo ya kukarika ni haki waislam wanaidai au inategemea na rangi za wahusika!!!

waislam wa mwembechai na baadae uamsho walikuwa wanadai haki gani??
 
mkuu kila sehemu ambapo kuna waislam na kuna vurugu isiyo ya kukarika ni haki waislam wanaidai au inategemea na rangi za wahusika!!!

waislam wa mwembechai na baadae uamsho walikuwa wanadai haki gani??
Ulikuwa bado hujazaliwa ? Kwanza nchi hii tangu lin maandamano yanazuiliwa kikatiba?

Mbona chadema hawakupigwa juzi hapa ?

Acha kuongea ujinga wanaoweza kugoma kwa reaction ni waislamu pekee nyie ni waoga ... Serikali yenyewe inaogopa waislamu hata waliopigana vita enzi za ukoloni kwa zana duni ni waislamu 😅😅😅
 
Hiii mbegu mnayoipanda ikiota ndio mtaelewa kwanini rwanda na Congo hapajatulia .endeleeni tu
Lema ni mtu wa hovyo kabisa ,yaa tukae tumsikilize mlevi.

Chadema ni wadini miaka yote ila watu wapo kimya ,hata mikutano na sherehe zao za kiofisi wanaweka kitimoto ..

Watu wapo kimya ...Walikimbia nchi enzi za bwana yule mgalatia wamerudia.
 
mkuu kila sehemu ambapo kuna waislam na kuna vurugu isiyo ya kukarika ni haki waislam wanaidai au inategemea na rangi za wahusika!!!

waislam wa mwembechai na baadae uamsho walikuwa wanadai haki gani??
Eti wanaonewa kwenye mitihani wanafelishwa, wahesabiwe na serikali (sensa iwe na kipengele cha dini) wajulikane idadi yao ni ngapi maana kuna mtu aliropoka wakristo ni wengi kwa idadi nchini, na issue kama mahakama ya kadhi na vingine vingi ikiwemo kujiunga kwenye nchi za kiislamu n.k
 
Back
Top Bottom