Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 887
- 2,201
Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana.
Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi waliendelea na mkutano as usual kana kwamba hakuna Msiba uliotokea na hakuna mvua iliyonyesha. Wana Arusha walidhamiria maandamano haya.
Kwa hakika hii ni salamu kwamba Arusha ni ngome ya Chadema. Sioni sababu ya CCM kuendelea kuing'ang'ania kuanzia nafasi za Udiwani, Ubunge na hata Umeya. Arusha aachiwe God bless Lema.