Nesi mkunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 701
- 1,849
Bila unafiki na wala kupepesa macho ukweli usemwe tu Zitto Kabwe ndiye role model wa vijana wengi sana kuingia kwenye Siasa yaani kile kipindi ambacho Zitto yuko kwenye prime yake vijana wengi sana walivutia kuingia kwenye Siasa na sio vijana tu hata wazee walikuwa wanaelewa jamaa alichokuwa anafanya aisee
Zitto ndiye amechangia CHADEMA kufika hapo ilipo na kwa ushujaa wake zitto ameweza kutengeneza Chama cha ACT wazalendo moja ya chama kinachokuja kwa kasi sana Tanzania ni baada ya Chadema kuna ACT wazalendo. Tujaribu kumpa pongezi zake tusisubiri mpaka afe ndiye tumpongeze tuache unafiki kabisa
Wale haters samahanini sana.