Wakandarasi karibu wote wa Mkoa wa Mara tumepata mateso makubwa kutokana na vitendo vya rushwa vinavyoendekezwa na Mameneja hawa. Kwanza kupata kazi lazima utoe millioni tano. Bila millioni tano hupati kazi.
Pili, kama ukiwa umepata kazi lazima utoe asilimia 10 ya malipo yako kama rushwa. Mfano kama mradi wako ni Tsh. Milioni 200 basi lazima utoe milioni 20 kama rushwa.
Wilaya iliyokithiri kwa vitendo vya rushwa ni Wilaya ya Tarime chini ya Meneja wa Wilaya hiyo. Mhe. Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa Tarura Mkoa wa Mara. Wanatesa sana Wakandarasi.