Sisi Wakazi wa Idrisa Magomeni tunajua rafiki wa Jakaya alikuwa ni Ditopile, Wengine walikuwa ni Marafiki wa Kisiasa!

Tufunge tu Mjadala kwa kusema kwenye Siasa hakuna Rafiki wala Adui wa kudumu kama alivyosema Mbowe Wakati akimtambulisha Dr Slaa pale Mwanza

Ila kuna ule Urafiki wa kitaa au mtaani kiukweli JK rafiki yake alikuwa Ditto

Akubarikini Mungu wa Mbinguni
Na hata tabia zao zilifanana,

Aliitwa Ukiwaona Ramadhani Mwinyishehe Ditopile Mzuzuri,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tufunge tu Mjadala kwa kusema kwenye Siasa hakuna Rafiki wala Adui wa kudumu kama alivyosema Mbowe Wakati akimtambulisha Dr Slaa pale Mwanza

Ila kuna ule Urafiki wa kitaa au mtaani kiukweli JK rafiki yake alikuwa Ditto

Akubarikini Mungu wa Mbinguni 😂

JK mwenyewe ndiye aliyetoka wazi na kuthibitisha kuwa Lowasa alikuwa ni Rafiki yake na urafiki wao uliendelea hata baada ya ile ajali ya kisiasa.

Nevertheless, hata huyo Ditopile alikufa kwa pressure baada ya kukosa msaada toka kwa huyo the so called rafiki yake.
 
JK ana marafiki wengi kila kona, kama Mimi na wewe tulivyokuwa na marafiki wengi kila kona.

Urafiki una mipaka yake sio kila mahala lazima urafiki uwepo, kuna mahala urafiki unaweka pembeni unaangalia maslahi ya familia,Kuna mahala urafiki unaweka pembeni unaangalia maslahi ya nchi.
 
Na hata tabia zao zilifanana,

Aliitwa Ukiwaona Ramadhani Mwinyishehe Ditopile Mzuzuri,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app

Kuna Yule mtoto wa kitanga sijui alikuwa moemba yule .

Walikuwa wakimtafuna kwa zamu.

Yule mama sijui alikuwa anaweka nini huko chin. nasikia alikuwa mtamu kweli ; masela wakawa wanajisevia wote wawili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom