Nawasalimia kwa Jina la JMT,
Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.
Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya...
Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
CCM kimevamiwa na Thief Tanks baada ya Think Tanks wote kufa na wanaoendelea kuishi kuwa chokambaya.
Literally, the party has lost its mainstream-commonwealth it boasted of since inception in...
Juzi hapo eti Rais akitoa mil. 500 Kwa Taifa Stars kuingia Afcon, Leo tena eti anatoa mil. 92 Kwa Ndondo Cup.
Hata Kama ni Kuunga mkono Michezo,kutapanya pesa za Walipakodi Kwa wingi huu...
Nikiwa primary nilikuwa kiongozi wa chipukizi, mkoa. Nilipokuwa Sekondari nilikuwa kiongozi UVCCM, na pia kiongozi wa TYCS mkoa. JKT nilikuwa office ya CO, na nikaandaa risala ya kumuaga CDF...
Askofu Mwamakula ametaja Ibara za Katiba ambazo ni lazima zibadilishwe ili kuendana na marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi yanayopelekwa bungeni October
Mwamakula amesema bila Mabadiliko ya Ibara...
Kuna wakati huwa natafakari na kufanya tathmini; nadhani kuna ukweli kwa kile ninachotafakari!
Viongozi wengi wa kisiasa hudhani kwamba watanzania hawajui chochote. Wanadhani kwa kuwa wao...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023
RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI...
Watu walioiandika katiba ya mwaka 1977 ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania walikuwa wakina nani? Napenda kufahamu;
1. Majina yao kamili
2. Wasifu wao, hususani kazi zao.
3. Maeneo walikotoka; Nchi...
Kwa Kawaida Mtu aliyeelimika na anayejua Katiba ni nini hawezi kususia Mjadala wa Kibunge wa kutengeneza Katiba.
Mtu aliyeelimika ataelewa wazi Ukishapokea posho unaposusia Vikao ni lazima...
Wakati safari ya Watanzania kwenda kupata Katiba mpya ikiendelea, Balozi Willibrod Slaa ameukosoa mchakato huo, akisema kinachofanyika ni kiinimacho na hakina uhalali kisheria.
Hoja ya mwanasiasa...
Habari wakuu,
Zitto Kabwe ametoa kauli nzito sana ambayo aliichapisha ktk mtandao wa Twitter (X).
Alisema, 'Nchi hii waunganisha Taifa ni Taifa Stars na KKKT ..."
Je ni busara kwa kiongozi...
Huu ni ushauri mdogo ukichangiwa na maoni binafsi:
- Kama taifa ambalo tumeamua kufanya kila aina ya ujinga lakini inabidi tujipe tahadhari na ukomo wa ujinga wetu.
Hapa nazungumzia kujiweka...
Habarini
Nimeona hii kitu ikanistua, naomba kujuzwa juu ya huu undugu na kama kweli, wanyama wetu watabaki kweli?
Maana enzi za awamu ya mzee ruksa, mkewe alituhumiwa/shutumiwa kusafirisha...
Sasa imekuwa mtindo maeneo yote walio nyuma kimaendeleo mfano Nachingwea, Lushoto, Bumbuli, Machame nk Wanarudisha Kadi za CCM tena mchana kweupe
Kwanini wasidai tu Katiba Mpya ili wapate...
Salaàm!
Najiuliza mengi na nabaki ktk mabano au cross junction. Urais si nafasi ya kumpa kila mgombea kutokana na sababu kuwa huhitaji MTU makini katika mienendo na maamuzi.
Sasa hata kama...
Acha zako bana👇.
Aliyekuwa Mbunge wa zamani wa Jimbo la Bunda, Stephen Wasira, ameshauri viongozi wa dini kutojihusisha na siasa badala yake kuhubiri amani ili kuepusha...
Ndugu wana mtandao wa JF, nimekaa na kumkumbuka huyu mzee Tuntemeke Sanga ambaye nasikia alikuwa na degree saba (km ni kweli) na mbaye alikuwa matata sana bungeni enzi zileee.
Je kuna mtu...
Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line.
Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho...