Kama upatikanaji wa maji usiporidhisha jijini Mwanza na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
 
Sio maji tu, umeme, uporaji wa ardhi na viongozi wa halmashauri jiji, kutosikilizwa wananchi, huduma mbovu za afya.

Warudishe haraka kadi hizo za kijani/njano na wasusie shughuli zozote zinazowanyonya kipato chao cha chini

Hakuna uvumilivu tena 'the wave should escalate across the country to have the voiceless agony heard'
 
Upatikanaji wa maji hapa Jijini Mwanza hauridhishi hata kidogo na tunapenda kuitaarifu Serikali ya CCM kuwa kama hali hii itazidi kuendelea na sisi tutarudisha kadi za CCM kama maeneo mengine.
Nyie wasukuma vipi! Mnashindwa kununua mipira ya maji na kuitumbukiza ziwani mnasubiri serikali iwaletee maji!
 
Back
Top Bottom