Kurudisha kadi za CCM ni jambo la heri

Bams

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
16,547
41,057
Nikiwa primary nilikuwa kiongozi wa chipukizi, mkoa. Nilipokuwa Sekondari nilikuwa kiongozi UVCCM, na pia kiongozi wa TYCS mkoa. JKT nilikuwa office ya CO, na nikaandaa risala ya kumuaga CDF Musuguri. Nikaendelea na masomo ya vyuo vikuu, ndani na nje ya nchi, kisha kujiunga na multinational organizations.

Nimeyasema haya yote kuashiria kuwa naifahamu misingi ya CCM, nafahamu CCM imeharibika kwa kiasi gani leo kutoka misingi yake ya awali.

Msingi mmojawapo mkuu, ni kutofanya ubaguzi, na kujenga usawa katika maamuzi yote.

Mwalimu Nyerere aliweza kuwavumilia wateule wake katika mengi, lakini ilikuwa haiwezekani kabisa akuvumilie akisikia kuwa wewe ni mla rushwa (Fundikira akiwa waziri wa sheria alichapwa bakora kwa kosa la kula rushwa), wewe ni mbaguzi (rangi, dini, au eneo) au unapeleka ujumbe wa kutaka kuuvunja Muungano.

Lakini watawala wa sasa wanaona fahari kufanya ubaguzi na upendeleo, kuchukua rushwa na kuhonga, kufanya mambo yanayoamsha hamasa ya kuvunja Muungano.

Fikiria:

1) Zanzibar walifanya mabadiliko makubwa ya katiba yao, inayoitambua Zanzibar ni nchi.na yenye mipaka yake. Mabadiliko hayo yalifanyika Samia akiwa Mzanzibari na alishiriki kikamilifu. Hakukuwa ba shule wala elimu kwa Wazanzibari, wala wabunge wala kwa viongozi wao.

2) Wakati wa utawala wa Kikwete kulifanyika mchakato mrefu kuanzia bungeni, kwenye vyombo vya habari mpaka mikutano ya hadhara, ya ueleimishaji na ukusanyaji maoni ya wananchi nchi nzima kuhusiana na katiba mpya. Wananchi wakatoa maoni yao, kamati ikayafanyia uchambuzi wa kina na wa kitaalam, bunge la katiba likaundwa, na Samia akawa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba.

Leo Samia anakuja na kusema eti Katiba hiyo mpya ambayo mchakato wake ulianza na kupitia hatua mbalimbali, usimame kwa sababu watu hawana elimu ya katiba.

Maswali kwa Samia:

1) Wazanzibari wanazaliwa wakiwa na elimu ya Katiba?

2) Watanganyika ni mbumbumbu sana na hawafundishiki kiasi kwamba elimu yote iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na mikutano ya hadhari wakati wa Tume ya Mh. JAJI WARIOBA, hawakuweza kuelewa?

3) Huoni kwamba wewe ni mbaguzi mkubwa na unawabagua watu kwa misingi ya Uzanzibari na Utanganyika, na kuwaona Wazanzibari ni binadamu zaidi, wana akili zaidi kiasi cha kutohitajika kufundishwa bali Watanganyika ni watu wasiofundishika maana hata kwa elimu ya Tume ya JAJI WARIOBA, hawakuambulia kitu?

4) Huoni kuwa wewe ni mtu mwenye dharau kubwa kiasi cha kuiona kazi kubwa iliyofanywa na Tume ya Jaji Warioba si lolote si chochote, ndiyo maana ukaunda kamati ya uchochoroni ya Mkandala?

Watanzania na hasa Watanganyika, tunachezewa sana akili na kufanywa hatuna akili timamu.

Ni dhahiri:

1) Rais Samia hakuwa na dhamira na wala hana dhamira ya nchi kupata katiba nzuri yenye kulinda maslahi na haki za makundi yote ya jamii katika Taifa letu.

2) Yanayoendelea sasa, mara sijui vikao, mara sijui elimu, ni dharau ya Rais kuwafanya wananchi hawana akili. Ni sawa na mama anayempa mtoto chupa za plastic zenye chuchu mtoto anayelia ili mtoto huyu mjinga aone kuwa chuchu ile ni nyonyo ya mama yake. Lakini wapo watoto werevu huiingiza mdomoni kisha kuitema baada ya kuona kuwa wamedanganywa na hakuna maxiwa yanayotoka. Wananchi tuiteme hii chuchu bandia ya plastic anayotupatia Rais Samia.

3) Ni aheri mtawala mbaya anayekuonesha dhahiri yeye ni mtawala mbaya kuliko mtawala mnafiki anayekuonesha kuwa yeye ni mzuri na muungwana kumbe rohoni mwake kumejaa hila, chuki na ghiliba.

Watanzania tufahamu kuwa hakuna chochote kinachoendelea chini ya Rais Samia kuhusiana na katiba, tupambane kuitafuta, tuachane na huu ulaghai.

4) Nchi ina matatizo mengi yanayohitaji pesa, lakini Rais ameamua kodi zetu zitumike na kamati bandia anazoxiunda, ambazo kazi zake kubwa na kumsaidia kwenye kuwalaghai wananchi.

Nchi yetu ipo katika laana kuu maana watawala wanahangaika namna ya kuwahadaa wananchi ili waendelee kuwashangilia na kuwapigia makofi huku wao watawala wakineemeka na wananchi wakinyong'oneshwa.

Tujue kabisa hakuna wa kutupigania na kutupambania zaidi ya umoja wetu.

Kwa kuwa uongozi wa CCM ndio unafanya ulaghai huu na mengine mengi kama kuwezeshwa uporwaji wa bandari zetu na mbuga za wanyama, kurudisha au kuzitupa kadi za CCM, hata usipojiunga na chama chochote, ni njia pekee ya mtu mnyonge kufikisha ujumbe kwa watawala wenye kiburi na wanaowafanya wananchi kuwa ni watu wasio na akili.
 
Ndugu yangu kama unajidanganya ya kwamba CCM watakuja kukupatiia katiba mpya yenye tume huru ya uchaguzi, basi Sahau kama mimi na wewe tulivyolisahau TITI la Mamazetu. Majaliwa yetu, na ili Kujinasua toka makucha ya CCM lazima tulipe gharama. So ni Swala la kujiandaa Kimwili and more important psychologically, because CCM ni (KUPE) kwa NG’OMBE (SISi). Kupe hayuko tayari Kudondoka iwe Upepo, jua hama kuoshwa Josho maana bila uwepo wa NG’OMBE KUPE kwisha Habari yake.
 
Hivi katiba ya Zanzibar(Kitabu tu cha Zanzibar), siyo kero ya Muungano?
 
Nikiwa primary nilikuwa kiongozi wa chipukizi, mkoa. Nilipokuwa Sekondari nilikuwa kiongozi UVCCM, na pia kiongozi wa TYCS mkoa. JKT nilikuwa office ya CO, na nikaandaa risala ya kumuaga CDF Musuguri. Nikaendelea na masomo ya vyuo vikuu, ndani na nje ya nchi, kisha kujiunga na multinational organizations.

Nimeyasema haya yote kuashiria kuwa naifahamu misingi ya CCM, nafahamu CCM imeharibika kwa kiasi gani leo kutoka misingi yake ya awali.

Msingi mmojawapo mkuu, ni kutofanya ubaguzi, na kujenga usawa katika maamuzi yote.

Mwalimu Nyerere aliweza kuwavumilia wateule wake katika mengi, lakini ilikuwa haiwezekani kabisa akuvumilie akisikia kuwa wewe ni mla rushwa (Fundikira akiwa waziri wa sheria alichapwa bakora kwa kosa la kula rushwa), wewe ni mbaguzi (rangi, dini, au eneo) au unapeleka ujumbe wa kutaka kuuvunja Muungano.

Lakini watawala wa sasa wanaona fahari kufanya ubaguzi na upendeleo, kuchukua rushwa na kuhonga, kufanya mambo yanayoamsha hamasa ya kuvunja Muungano.

Fikiria:

1) Zanzibar walifanya mabadiliko makubwa ya katiba yao, inayoitambua Zanzibar ni nchi.na yenye mipaka yake. Mabadiliko hayo yalifanyika Samia akiwa Mzanzibari na alishiriki kikamilifu. Hakukuwa ba shule wala elimu kwa Wazanzibari, wala wabunge wala kwa viongozi wao.

2) Wakati wa utawala wa Kikwete kulifanyika mchakato mrefu kuanzia bungeni, kwenye vyombo vya habari mpaka mikutano ya hadhara, ya ueleimishaji na ukusanyaji maoni ya wananchi nchi nzima kuhusiana na katiba mpya. Wananchi wakatoa maoni yao, kamati ikayafanyia uchambuzi wa kina na wa kitaalam, bunge la katiba likaundwa, na Samia akawa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba.

Leo Samia anakuja na kusema eti Katiba hiyo mpya ambayo mchakato wake ulianza na kupitia hatua mbalimbali, usimame kwa sababu watu hawana elimu ya katiba.

Maswali kwa Samia:

1) Wazanzibari wanazaliwa wakiwa na elimu ya Katiba?

2) Watanganyika ni mbumbumbu sana na hawafundishiki kiasi kwamba elimu yote iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na mikutano ya hadhari wakati wa Tume ya Mh. JAJI WARIOBA, hawakuweza kuelewa?

3) Huoni kwamba wewe ni mbaguzi mkubwa na unawabagua watu kwa misingi ya Uzanzibari na Utanganyika, na kuwaona Wazanzibari ni binadamu zaidi, wana akili zaidi kiasi cha kutohitajika kufundishwa bali Watanganyika ni watu wasiofundishika maana hata kwa elimu ya Tume ya JAJI WARIOBA, hawakuambulia kitu?

4) Huoni kuwa wewe ni mtu mwenye dharau kubwa kiasi cha kuiona kazi kubwa iliyofanywa na Tume ya Jaji Warioba si lolote si chochote, ndiyo maana ukaunda kamati ya uchochoroni ya Mkandala?

Watanzania na hasa Watanganyika, tunachezewa sana akili na kufanywa hatuna akili timamu.

Ni dhahiri:

1) Rais Samia hakuwa na dhamira na wala hana dhamira ya nchi kupata katiba nzuri yenye kulinda maslahi na haki za makundi yote ya jamii katika Taifa letu.

2) Yanayoendelea sasa, mara sijui vikao, mara sijui elimu, ni dharau ya Rais kuwafanya wananchi hawana akili. Ni sawa na mama anayempa mtoto chupa za plastic zenye chuchu mtoto anayelia ili mtoto huyu mjinga aone kuwa chuchu ile ni nyonyo ya mama yake. Lakini wapo watoto werevu huiingiza mdomoni kisha kuitema baada ya kuona kuwa wamedanganywa na hakuna maxiwa yanayotoka. Wananchi tuiteme hii chuchu bandia ya plastic anayotupatia Rais Samia.

3) Ni aheri mtawala mbaya anayekuonesha dhahiri yeye ni mtawala mbaya kuliko mtawala mnafiki anayekuonesha kuwa yeye ni mzuri na muungwana kumbe rohoni mwake kumejaa hila, chuki na ghiliba.

Watanzania tufahamu kuwa hakuna chochote kinachoendelea chini ya Rais Samia kuhusiana na katiba, tupambane kuitafuta, tuachane na huu ulaghai.

4) Nchi ina matatizo mengi yanayohitaji pesa, lakini Rais ameamua kodi zetu zitumike na kamati bandia anazoxiunda, ambazo kazi zake kubwa na kumsaidia kwenye kuwalaghai wananchi.

Nchi yetu ipo katika laana kuu maana watawala wanahangaika namna ya kuwahadaa wananchi ili waendelee kuwashangilia na kuwapigia makofi huku wao watawala wakineemeka na wananchi wakinyong'oneshwa.

Tujue kabisa hakuna wa kutupigania na kutupambania zaidi ya umoja wetu.

Kwa kuwa uongozi wa CCM ndio unafanya ulaghai huu na mengine mengi kama kuwezeshwa uporwaji wa bandari zetu na mbuga za wanyama, kurudisha au kuzitupa kadi za CCM, hata usipojiunga na chama chochote, ni njia pekee ya mtu mnyonge kufikisha ujumbe kwa watawala wenye kiburi na wanaowafanya wananchi kuwa ni watu wasio na akili.
Ni mwamko wa wananchi kujua upi mchele zipi pumba
 
Huu ndiyo ukweli wote wa jinsi Rais Samia anavyotuchukulia Watanganyika. Atayebisha ukweli huu ni adui wa Watanganyika
 
short and clear kinachotafutwa sio katiba mpya, bali kitu ambacho upinzani unakitafuta " suala la tume huru kubainishwa ndani ya katiba", Rais mteule kuweza kuhojiwa mahakamani,and alike! Tume itakayoweza kutoa matokeo ya kiuchaguzi kwa usahihi, wapinzani hapo zaidi ndipo wanapopahitaji zaidi,na maandishi ya vifungu kwa vifungu kwao si muhimu sana.
 
E
Nikiwa primary nilikuwa kiongozi wa chipukizi, mkoa. Nilipokuwa Sekondari nilikuwa kiongozi UVCCM, na pia kiongozi wa TYCS mkoa. JKT nilikuwa office ya CO, na nikaandaa risala ya kumuaga CDF Musuguri. Nikaendelea na masomo ya vyuo vikuu, ndani na nje ya nchi, kisha kujiunga na multinational organizations.

Nimeyasema haya yote kuashiria kuwa naifahamu misingi ya CCM, nafahamu CCM imeharibika kwa kiasi gani leo kutoka misingi yake ya awali.

Msingi mmojawapo mkuu, ni kutofanya ubaguzi, na kujenga usawa katika maamuzi yote.

Mwalimu Nyerere aliweza kuwavumilia wateule wake katika mengi, lakini ilikuwa haiwezekani kabisa akuvumilie akisikia kuwa wewe ni mla rushwa (Fundikira akiwa waziri wa sheria alichapwa bakora kwa kosa la kula rushwa), wewe ni mbaguzi (rangi, dini, au eneo) au unapeleka ujumbe wa kutaka kuuvunja Muungano.

Lakini watawala wa sasa wanaona fahari kufanya ubaguzi na upendeleo, kuchukua rushwa na kuhonga, kufanya mambo yanayoamsha hamasa ya kuvunja Muungano.

Fikiria:

1) Zanzibar walifanya mabadiliko makubwa ya katiba yao, inayoitambua Zanzibar ni nchi.na yenye mipaka yake. Mabadiliko hayo yalifanyika Samia akiwa Mzanzibari na alishiriki kikamilifu. Hakukuwa ba shule wala elimu kwa Wazanzibari, wala wabunge wala kwa viongozi wao.

2) Wakati wa utawala wa Kikwete kulifanyika mchakato mrefu kuanzia bungeni, kwenye vyombo vya habari mpaka mikutano ya hadhara, ya ueleimishaji na ukusanyaji maoni ya wananchi nchi nzima kuhusiana na katiba mpya. Wananchi wakatoa maoni yao, kamati ikayafanyia uchambuzi wa kina na wa kitaalam, bunge la katiba likaundwa, na Samia akawa makamu mwenyekiti wa bunge la katiba.

Leo Samia anakuja na kusema eti Katiba hiyo mpya ambayo mchakato wake ulianza na kupitia hatua mbalimbali, usimame kwa sababu watu hawana elimu ya katiba.

Maswali kwa Samia:

1) Wazanzibari wanazaliwa wakiwa na elimu ya Katiba?

2) Watanganyika ni mbumbumbu sana na hawafundishiki kiasi kwamba elimu yote iliyotolewa kwenye vyombo vya habari na mikutano ya hadhari wakati wa Tume ya Mh. JAJI WARIOBA, hawakuweza kuelewa?

3) Huoni kwamba wewe ni mbaguzi mkubwa na unawabagua watu kwa misingi ya Uzanzibari na Utanganyika, na kuwaona Wazanzibari ni binadamu zaidi, wana akili zaidi kiasi cha kutohitajika kufundishwa bali Watanganyika ni watu wasiofundishika maana hata kwa elimu ya Tume ya JAJI WARIOBA, hawakuambulia kitu?

4) Huoni kuwa wewe ni mtu mwenye dharau kubwa kiasi cha kuiona kazi kubwa iliyofanywa na Tume ya Jaji Warioba si lolote si chochote, ndiyo maana ukaunda kamati ya uchochoroni ya Mkandala?

Watanzania na hasa Watanganyika, tunachezewa sana akili na kufanywa hatuna akili timamu.

Ni dhahiri:

1) Rais Samia hakuwa na dhamira na wala hana dhamira ya nchi kupata katiba nzuri yenye kulinda maslahi na haki za makundi yote ya jamii katika Taifa letu.

2) Yanayoendelea sasa, mara sijui vikao, mara sijui elimu, ni dharau ya Rais kuwafanya wananchi hawana akili. Ni sawa na mama anayempa mtoto chupa za plastic zenye chuchu mtoto anayelia ili mtoto huyu mjinga aone kuwa chuchu ile ni nyonyo ya mama yake. Lakini wapo watoto werevu huiingiza mdomoni kisha kuitema baada ya kuona kuwa wamedanganywa na hakuna maxiwa yanayotoka. Wananchi tuiteme hii chuchu bandia ya plastic anayotupatia Rais Samia.

3) Ni aheri mtawala mbaya anayekuonesha dhahiri yeye ni mtawala mbaya kuliko mtawala mnafiki anayekuonesha kuwa yeye ni mzuri na muungwana kumbe rohoni mwake kumejaa hila, chuki na ghiliba.

Watanzania tufahamu kuwa hakuna chochote kinachoendelea chini ya Rais Samia kuhusiana na katiba, tupambane kuitafuta, tuachane na huu ulaghai.

4) Nchi ina matatizo mengi yanayohitaji pesa, lakini Rais ameamua kodi zetu zitumike na kamati bandia anazoxiunda, ambazo kazi zake kubwa na kumsaidia kwenye kuwalaghai wananchi.

Nchi yetu ipo katika laana kuu maana watawala wanahangaika namna ya kuwahadaa wananchi ili waendelee kuwashangilia na kuwapigia makofi huku wao watawala wakineemeka na wananchi wakinyong'oneshwa.

Tujue kabisa hakuna wa kutupigania na kutupambania zaidi ya umoja wetu.

Kwa kuwa uongozi wa CCM ndio unafanya ulaghai huu na mengine mengi kama kuwezeshwa uporwaji wa bandari zetu na mbuga za wanyama, kurudisha au kuzitupa kadi za CCM, hata usipojiunga na chama chochote, ni njia pekee ya mtu mnyonge kufikisha ujumbe kwa watawala wenye kiburi na wanaowafanya wananchi kuwa ni watu wasio na akili.
Umeeleza vizuri sana, Ralis anaedharau katiba
Iliyomfanya awe na hayo madaraka, kwamba ni kitabu tu ambacho kwa matakwa yake mtu anaweza kutokiheshimu,
ni kitabu ambacho wananchi hawana uelewa nacho. Ili kupata kitabu kingine cha aina hiyo, ambacho tayari Wazanzibari wamekiandika, sisi wengine tunaitaji elimu miaka
3, Ni dharau kwa tume ya jaji Warioba , Ni dharau kwa Kikwete, Ni dharau kwa bunge la katiba, ni dharau kwa Watanganyika.
 
Back
Top Bottom