Nani yuko Nyuma ya hizi taasisi za kumsemea Rais. Je, zinaendeshwa kwa ufadhili wa fedha za nani? Na Nini hasa makusudio Yake?

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,598
17,729
Nawasalimia kwa Jina la JMT,

Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama.

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama.

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu.

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.

Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima?

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Screenshot_20230914-090742.png

Screenshot_20230914-090830.png

Chawa wa mama ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
images (94).jpeg

#Nyuki wa Mamaa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
images (95).jpeg
 
Haya ni moja ya mapungufu ya Saamia....

Na ni alama ya kiwango kikubwa cha ujinga kwenye taifa letu.........

Pia ni ishara kuwa tunaishi kwenye taifa lililopoteza muelekeo na kukosa dira........

Pia ni dalili kuwa tuna kiwango kikubwa cha watu wengi wenye changamoto ya afya ya akili
Nakusupport sana Mkuu Matumizi mabaya ya Vijana wengi wanadai kulipwa viposho vidogovidogo ili kukidhi mahitaji yao
 
Mara nyingi vyama/viongozi wakishapoteza ushawishi hutumia vikundi vya propaganda kama hivi kupata uhalali wa kukaa madarakani, na ikifikia hatua mbaya hutumia vikundi vya utekaji kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli.

Huu mchezo wa kutumia vikundi vya kipropaganda ulianza kushika kasi baada ya CCM kuanza kuzidiwa ushawishi na upinzani, hasa kuanzia 2010 na kuendelea kipindi cha JK. Ilipofika wakati wa Magufuli ndio ikawa rasmi, na yeye alifikia hadi hatua ya kuanzisha kundi la watu wasiojulikana ili kuteka na kudhalilisha wote wasiomsujudia. Yote haya hufanywa na vyama ama viongozi wanaokaa madarakani kwa mabavu na wizi wa kura.
 
Kwani kuna shida gani??ila wangekuwa friends of mbowe hapo usingekuja kubwabwaja humu juu ya hilo,unaona wivu watu wakimsifia Rais wao??mbona wanapokosoa wengine we unashangilia??
 
Sishangai mjinga kutafuta watu wa kumsemea, hiyo ni kwasababu kichwa chake ni cheupe kisicho na kitu ndani.

Mwerevu hata siku moja hawezi kutafuta watu wa kumsemea, tena wakijaribu ndio atawafukuzilia mbali, kwasababu ana hofu wanaweza kuongea ujinga wakamharibia heshima yake ...

Lakini kwa mjinga ndio kwanza anawachekea na pesa za kufanya hiyo kazi ya kijinga anawalipa, huyu wala hajali kama wanaweza kumharibia zaidi kupitia majibu yao wanayotoa kwa lengo la kumlinda.

Mwerevu hata siku moja hawezi kutoa pesa awape Simba, au Yanga, au awape Taifa Stars, hiyo ni kazi ya kichwa chepesi kinachowaza mambo ya starehe tu, ndio maana kikiulizwa maswali magumu kinawapa wengine kazi ya kutoa majibu, na pesa kinawalipa!.
 
Mara nyingi vyama/viongozi wakishapoteza ushawishi hutumia vikundi vya propaganda kama hivi kupata uhalali wa kukaa madarakani, na ikifikia hatua mbaya hutumia vikundi vya utekaji kama ilivyokuwa wakati wa Magufuli.

Huu mchezo wa kutumia vikundi vya kipropaganda ulianza kushika kasi baada ya CCM kuanza kuzidiwa ushawishi na upinzani, hasa kuanzia 2010 na kuendelea kipindi cha JK. Ilipofika wakati wa Magufuli ndio ikawa rasmi, na yeye alifikia hadi hatua ya kuanzisha kundi la watu wasiojulikana ili kuteka na kudhalilisha wote wasiomsujudia. Yote haya hufanywa na vyama ama viongozi wanaokaa madarakani kwa mabavu na wizi wa kura.
Shida inakuja matumizi ya fedha za wananchi kuanzisha hivi vikundi na kutumia vijana kwa ushawishi wa kuwapatia ajira
 
Nawasalimia kwa Jina la JMT,
Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama..

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama...

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu..

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi..
Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima..?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima??

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama
View attachment 2748664
View attachment 2748666

Chawa wa mama
View attachment 2748667

#Nyuki wa Mamaa
View attachment 2748668

Hizo sio taasisi ni professional chawa groups
Kiongozi hasifiwi kazi zake zinazungumza kwa ajili yake
 
Haya ni moja ya mapungufu ya Saamia....

Na ni alama ya kiwango kikubwa cha ujinga kwenye taifa letu.........

Pia ni ishara kuwa tunaishi kwenye taifa lililopoteza muelekeo na kukosa dira........

Pia ni dalili kuwa tuna kiwango kikubwa cha watu wengi wenye changamoto ya afya ya akili
Waafrika hasa watanzania wana Upumbavu wa milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Kwani kuna shida gani??ila wangekuwa friends of mbowe hapo usingekuja kubwabwaja humu juu ya hilo,unaona wivu watu wakimsifia Rais wao??mbona wanapokosoa wengine we unashangilia??
Mkuu mimi ni CCM na mbowe sio kiongozi wangu mbali na kuwa ccm ni mzalendo sana na nchi hii..Na kingine nilichouliza hujajibu mkuu..
  • Nani yuko nyuma ya hizi taasisi?
  • Nani anazi-Fund hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima?
  • Nani analipa wafanyakazi wake?
Ukinijibu nitakuwa Na furaha
 
Kwani kuna shida gani??ila wangekuwa friends of mbowe hapo usingekuja kubwabwaja humu juu ya hilo,unaona wivu watu wakimsifia Rais wao??mbona wanapokosoa wengine we unashangilia??
Mbowe kaingiaje hapo.ukikosa majibu ya hoja sio lazima uonyeshe ujinga ulio nao.
 
Nawasalimia kwa Jina la JMT,
Naomba kudeclare interest kwamba Mimi ni Mzalendo halisi na sijawahi hata kufikiria kupoteza hati yangu ya uzalendo.

Ila sasa nimeanza kupata mashaka juu ya uibukaji Wa Taasisi Nyingi zinazojinasibu kuwa Asasi ya kizalendo zinazomtetea Mama..

Kifupi ni kwamba kinachonikera kwenye Taasisi hizi hata mama akisema kuku ni Tembo aliyechangamka wao watakuja na kuipamba story yake na kusema mama hajakosea watatoa nadharia kibao bila kurekebisha kauli alossma mama...

Kifupi wapo kupaka Rangi makosa ya serikali na kuzidi kung'arisha uovu..

Kwa mtizamo wa kisiasa Hiyo sio hali nzuri kwani ni bora ukutane na Nyoka au Simba, kuliko mzalendo unaye ipenda nchi yako uingie mikononi mwa hizi taasisi.

Swali langu ni Nani yuko nyuma ya hizi taasisi ambazo kwa sasa zina Matawi nchi nzima..?

Nani anazifadhili hizi taasisi kufungua matawi na ofisi nchi nzima??

Walianza #Chawa wa Mama Wakaja #Nyuki wa Mama wakafata #watoto wa mama wakaja #ulipotupo...
Sasa kuna #watetezi wa Mama sasa upo kundi gani

Mtetezi wa mama๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 2748664
View attachment 2748666

Chawa wa mama ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 2748667

#Nyuki wa Mamaa ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
View attachment 2748668
Hayo yote ni makundi ya kupraise and worship ya uvccm aka chawaz!! Wao hakuna kupinga na kutoa ideas wao ni kusifu tuu.. iwe umejinyea utasikia mmmh manukato yako yananukia vzr ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom