Askofu Mwamakula: Kurekebisha Sheria ya Uchaguzi bila Kubadilisha Ibara kadhaa za Katiba ya JMT itakuwa ni Kazi bure!

Hoja dhaifu,ni Sheria ipi inayomzuia Mwamakula kushiriki siasa, au wewe unapata wapi muda wa kumfuatilia huyu Askofu?
Sijamzuia nimeuliza tu au wewe unajua ratiba zake utuwekee hapa? Huyu ni kiongozi wa kiroho siyo vibaya pia tukijua ratiba zake za kuendesha ibada asije akawa amejificha kwenye koti la uaskofu kumbe ndio wachochezi wenyewe . Serikali kupitia idara ya usalama wa taifa inatakiwa kuwajua vizuri watu wa aina hii.
 
Huyu askofu anatoa neno la kiroho saa ngapi kwa waumini wake maana yeye 24 hrs Seven days weekly yupo kwenye siasa za Upinzani. Nchi ngumu sana hii.
Mwamakula naye amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho

Emmanuel Bandekile Mwamakula ni Tapeli tu kama tapeli yeyote unayomfahamu. Wenzie wa Moravian Mbeya walimtimua walipoona ni mdokozi wa sadaka
 
🤣🤣🤣🤣 moravian uamsho. Ndio maana nikasema haka kajamaa kafuatiliwe unaweza kukuta kanavaa joho la uaskofu kumbe ni kakada ka chadema tena kanakoingia vikao vya kamati kuu.
 
Askofu Mwamakula ametaja Ibara za Katiba ambazo ni lazima zibadilishwe ili kuendana na marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi yanayopelekwa bungeni October

Mwamakula amesema bila Mabadiliko ya Ibara hizo za Katiba itakuwa ni Kazi bure
Avue joho la dini avae suti,atinge kwenye siasa,anawashwa sana na siasa
 
Back
Top Bottom