Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

"Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka...
24 Reactions
374 Replies
31K Views
Huko Mtwara na Lindi ni kupongezana na kusifiana tu, akili na mawazo yao yote ni kushinda kwa namna yoyote ile uchaguzi ujao, huku kwetu kila kitu kimesimama hakuna umeme kabisa! Katiba mpya...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nelson Mandela alifungwa gerezani kwa miaka mingi kutetea haki za Waafrika wa Afrika ya Kusini na waliomtesa gerezani wakawa wamemuongezea ujasiri na kuipa nguvu jamii ya Afrika kusini kujitetea...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Kazi inaendelea vizuri, Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilitangaza Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Jimbo la Mbarali kufuatia kifo cha Mbunge Marehemu Francis Mtega (CCM) pamoja na Kata 6 za Tanzania Bara...
10 Reactions
88 Replies
8K Views
Hivi huu mfananisho una tija gani? Yani mnataka Tanzania ikubali mkataba mbovu wa uwekezaji kwa sababu Zanzibar wamewekeza🤷🤷🤷 Nchi ya watu zaidi ya million 60 iige yanayofanywa kwenye kisiwa cha...
0 Reactions
0 Replies
407 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama mwanadamu mwenye moyo wa nyama na mwenye Damu natambua kuwa hakuna anayependa kudhalilishwa, wala kushushiwa heshima yake. Hakuna binadamu mwenye akili Timamu...
11 Reactions
223 Replies
10K Views
Sheria nyingi zimetungwa kulinda hadhi za viongozi kama kinga hususan hata wakiwa wapuuzi na majizi yanajitwika heshima na staha wasiyo stahili. Mnataka tuwaite waheshimiwa lakini hakuna hata...
3 Reactions
8 Replies
591 Views
Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Ukikutana na Wafuasi wa CCM wanaenda mkutanoni unaweza kudhani ni wacheza ngoma au ni akina manyaunyau wanaenda kusaka wachawi yaani wanavaa kienyeji mno😂 Kutana na hao Chadema sasa yaani hata...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa kifungu cha 55(2) cha Kanuni za Adhabu Sura ya 16, kitendo hakiwezi kuhesabiwa kama kufanya uchochezi ikiwa umefanya mambo haya; (a) Kuonyesha kwamba serikali imepotoka au imekosea...
3 Reactions
4 Replies
795 Views
Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimefuatilia mikutano ya CHADEMA ya hivi karibuni na hata huko nyuma na kuona kuwa imekuwa ni ya kelimisha zaidi na siyo kuhamasisha. Tatizo lake huishia hapo kwenye mikutano kwa kiasi kikubwa kwa...
2 Reactions
2 Replies
572 Views
Uzi kutoka X, kina Lucas mwashambwa & company JF muisome na kujitambua "Inawezekana ni jambo ambalo wengi hawajui kuwa linaendelea ndani ya CCM ,na sishangai kwa kuwa watanzania tuna tabia ya...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo. Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama. Uhuru wa maoni, habari, haki...
2 Reactions
6 Replies
626 Views
Ulimwenguni ni mahali pa matatizo lakini yatufaa kujipa moyo na kuamini ktk Mungu Mwenyezi. Eti hapa kwetu Tanzania mtu anayehubiri ukombozi wa fikra ktk nyanja za Umaskini, ukosefu wa huduma...
11 Reactions
31 Replies
1K Views
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA MTAMA MKOANI LINDI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 18 ameendelea na Ziara...
0 Reactions
2 Replies
568 Views
MBUNGE NGASSA: " TUNAENDELEA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA, KULINDA USTAWI WA TAIFA" "... Uimara wa Taifa unatokana na uimara wa afya za Wananchi. Serikali yetu imeendelea kuwekeza kwa kiwango kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
502 Views
Pengine ni muda sahihi kuongeza nguvu au kufanya mabadiliko kidogo ndani ya CCM hasa kwenye umoja wa Vijana, Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki...
2 Reactions
6 Replies
729 Views
Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Taarifa ikufikie popote ulipo , kwamba Maisha ya ccm huko Mbozi yamefika kikomo , hii ni baada ya Wananchi wote kukubaliana kwamba uwezo wa chama hicho kuleta maendeleo umekwisha. Akihutubia...
11 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…