Rais Samia aweka jiwe la msingi la msingi ujenzi wa jengo la halmashauri ya Mtama - Lindi

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
922
1,093
RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA HALMASHAURI YA MTAMA MKOANI LINDI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan leo September 18 ameendelea na Ziara Mkoa wa Lindi ambapo ameweka Jiwe la Msingi kwenye ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Mtama ambalo Ujenzi wake umegharimu Zaidi ya Shilingi Bilioni 3.77 na linatarajiwa kukamilika Mwezi November Mwaka huu.
 
Weka picha
 
Back
Top Bottom