Ikiwa mkoloni hakumfunga Shaaban Robert, ndio kusema bora ya mkoloni kuliko Rais Samia?

Kesho kunani

Member
Sep 10, 2023
72
191
Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni.

Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo wakoloni aliwaita 'nyoka' na Ikulu aliipa jina la 'pangoni' na wapigania uhuru akiwaita siafu.

Lakini wakoloni hawakumkamata Kandoro pia.

Hatuwezi kusema wakoloni wa Kiingereza wao hawakujua Kiswahili na hivyo walishindwa pia kuelewa nahau na mbinu za Shaaban Robert na Saadani Kandoro! Kama tutafikiri hivyo basi tutawafanya waonekane kama nyani! Ukweli ni kuwa wakoloni walielewa fika harakati ambazo zilikuwa zinafanywa na watunzi wale.

Ney wa Mitego na Sifa Bujune nao wameimba nyimbo za kuisema serikali yao. Lakini kabla ya hakujacha wakaitwa kuhojiwa, wimbo wa Ney wa Mitego ukapigwa marufuku, na Sifa Bujune akatiwa kolokoloni, akanyimwa hata dhamana!
Hata wakati huu, Askofu hajapata taarifa kama Sifa Bujune ameaçhiwa tangu akamatwe siku ya tarehe 13 Septemba 2023. Hii ina maana ya kuwa anashikiliwa kinyume cha Sheria!

Wakoloni pamoja na manyanyaso yao lakini pia
wao hawakupiga marufuku vitabu na mashairi ya wanaharakati. Badala yake, mitambo yao na ofisi zao zilitumiwa na wanaharakati katika zile kazi za fasihi. Wakoloni hawakuwahi kufikiri pia kumkamata Shaaban Robert.

Uchochezi ni makosa yanayopatikana katika nchi ambazo sio za kidemokrasia. Kwa lugha rahisi, sifa ya nchi zilizo na harufu ya udikiteta ni kuwepo kwa hisia na dhana za maneno ya uchochezi ambayo hutumiwa na watawala ili kuwanyamazisha wakosoaji. Watawala katika mifumo ya udikiteta hupenda kusifiwa na watu wote na kila wakati na kila mahali. Hawapendi kabisa kuona au kusikia watu wakiwakosoa au kuwanung'unikia hata katika mambo ya wazi.

Kamanda wa Polisi (RPC) wa Mkoa wa Mbeya anasema Sifa Bujune ameimba uchochezi! Ila tukiuchunguza wimbo wa 'Mnatuona Nyani' na tukiuweka katika midhani tunaona malalamiko ya mwananchi kwa serikali yake. Malalamiko hayo hayana tofauti na malalamiko ya watoto kwa baba yao anayetumia pesa katika masuala ya ulevi badala ya kuwapeleka watoto shule.

Baba anayejitapa kujenga nyumba nzuri na pia kujaza vyakula kwenye mafriji lakini anapuuza afya, elimu na hataki kusikiliza hisia za watoto wake hawezi kukosa kulaumiwa na watoto hao!
Vile vile, kuna mambo ya msingi ambayo kwa maoni ya Sifa Bujune, serikali haijasikiliza hisia zao. Kwa maoni yake, mtu asiposikiliza hisia za watu wengine ni sawa na kuwaona kama nyani kwani nyani hawana hisia kama za binadamu.

Na tangu dunia iumbwe, watawala hawajawahi kupewa mamlaka na Mungu kuchagua lugha ya kutumiwa na watawaliwa katika kukosoa au kulalamikia mifumo ya utawala. Tunaweza pia kuona mifano mingi hata katika Biblia.

Yohana Mbatizaji aliwaita mafarisayo pamoja na wateule (makamishna wa Kodi) wa Mfalme wa Rumi kuwa ni kizazi cha nyoka (Luka 3:7-9), na Yesu Kristo alimuita Mfalme Herode kuwa ni mbweha (Luka 13:32). Nabii Amos aliwaita wake wa watawala wa Israeli ya Kale katika Mji Mkuu wa Samaria kuwa walikuwa ni 'ng'ombe wa Bashani' (Amos 4:1-3).

Ni vizuri tuwakumbusha watu wanaowasaidia watawala pamoja na watawala wenyewe katika Tanzania ya leo kuwa wakianza kukimbizana na wakosoaji kwa kuwakamata na kuwaweka ndani; kuwatesa na pia kuwanyamazisha watu wanaolalamikia kutoridhishwa na utendaji wa serikali yao, hiyo itakuwa ni kuasisi anguko la serikali husika. Hivi ni mfalme au mtawala gani wa dunia aliyewahi kuzima malalamiko ya watu anaowatawala kwa kutumia vyombo vya dola?

Ni matumaini yetu kuwa wahusika watatafakari uchambuzi huu pamoja na ushauri. Kubambika kesi watu, kunyanyasa watu na kufinya haki za watu ndio njia pekee ya uchochezi kwani kwa njia hiyo, idadi ya watu watakaoichukia serikali inazidi kuongezeka kila siku.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 19 Septemba 2023; 6:55 usiku
 
Julius K Nyerere: Mtumishi wa Mungu au Mkatili asiye na malengo? Ugumu wa kazi - Desemba 12, 2015​

Na Ludovick Simon Mwijage (Mwandishi)

Msomeni Mwijage mtapata majibu ya maswali yenu.

Mnamo Januari 2005, Kanisa Katoliki nchini Tanzania, lilitangaza kwamba Vatican ilitoa 'kibali' kwamba, Julius Kambarage Nyerere, mtawala wa baada ya uhuru wa nchi-mtawala wa kiimla kama ilivyogeuka kuwa 'Servant of God'.

'Uidhinishaji' huu ulifungua njia kwa Kanisa Katoliki nchini Tanzania kuanza mchakato rasmi wa uchunguzi, ambao, kama utapatikana kuwa juu ya aibu, utasababisha kupigwa kwa Nyerere na hatimaye kutawazwa rasmi kwa 'Servant of God' hii na hivyo kumtangaza Julius Kambarage Nyerere kuwa mtakatifu.

Hata hivyo, mwandishi hutoa nyenzo za kuthibitisha kuunga mkono upinzani wake kwa canonisation ya Nyerere. Kwa hakika, kwa mtindo wa hadithi, anainua kifuniko juu ya ukandamizaji uliofichwa ambao ulikuwepo wakati wa utawala wa Nyerere; Ukandamizaji ambao uliendelea wakati watalii wa Ulaya walikuwa wakifurahia likizo zao za safari.

Mwandishi anahoji kwamba kumtangaza Nyerere mtakatifu si tu kungefanya mzaha wa mila ya kikanisa ambayo kwa miaka mingi imekuwa hifadhi kwa watu watakatifu, bali pia itakuwa ni kudhalilisha kumbukumbu ya wale walioteseka na kuangamia chini ya utawala wa Nyerere usio na shaka.
 
Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni.

Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo wakoloni aliwaita 'nyoka' na Ikulu aliipa jina la 'pangoni' na wapigania uhuru akiwaita siafu.

Lakini wakoloni hawakumkamata Kandoro pia.

Hatuwezi kusema wakoloni wa Kiingereza wao hawakujua Kiswahili na hivyo walishindwa pia kuelewa nahau na mbinu za Shaaban Robert na Saadani Kandoro! Kama tutafikiri hivyo basi tutawafanya waonekane kama nyani! Ukweli ni kuwa wakoloni walielewa fika harakati ambazo zilikuwa zinafanywa na watunzi wale.

Ney wa Mitego na Sifa Bujune nao wameimba nyimbo za kuisema serikali yao. Lakini kabla ya hakujacha wakaitwa kuhojiwa, wimbo wa Ney wa Mitego ukapigwa marufuku, na Sifa Bujune akatiwa kolokoloni, akanyimwa hata dhamana!
Hata wakati huu, Askofu hajapata taarifa kama Sifa Bujune ameaçhiwa tangu akamatwe siku ya tarehe 13 Septemba 2023. Hii ina maana ya kuwa anashikiliwa kinyume cha Sheria!

Wakoloni pamoja na manyanyaso yao lakini pia
wao hawakupiga marufuku vitabu na mashairi ya wanaharakati. Badala yake, mitambo yao na ofisi zao zilitumiwa na wanaharakati katika zile kazi za fasihi. Wakoloni hawakuwahi kufikiri pia kumkamata Shaaban Robert.

Uchochezi ni makosa yanayopatikana katika nchi ambazo sio za kidemokrasia. Kwa lugha rahisi, sifa ya nchi zilizo na harufu ya udikiteta ni kuwepo kwa hisia na dhana za maneno ya uchochezi ambayo hutumiwa na watawala ili kuwanyamazisha wakosoaji. Watawala katika mifumo ya udikiteta hupenda kusifiwa na watu wote na kila wakati na kila mahali. Hawapendi kabisa kuona au kusikia watu wakiwakosoa au kuwanung'unikia hata katika mambo ya wazi.

Kamanda wa Polisi (RPC) wa Mkoa wa Mbeya anasema Sifa Bujune ameimba uchochezi! Ila tukiuchunguza wimbo wa 'Mnatuona Nyani' na tukiuweka katika midhani tunaona malalamiko ya mwananchi kwa serikali yake. Malalamiko hayo hayana tofauti na malalamiko ya watoto kwa baba yao anayetumia pesa katika masuala ya ulevi badala ya kuwapeleka watoto shule.

Baba anayejitapa kujenga nyumba nzuri na pia kujaza vyakula kwenye mafriji lakini anapuuza afya, elimu na hataki kusikiliza hisia za watoto wake hawezi kukosa kulaumiwa na watoto hao!
Vile vile, kuna mambo ya msingi ambayo kwa maoni ya Sifa Bujune, serikali haijasikiliza hisia zao. Kwa maoni yake, mtu asiposikiliza hisia za watu wengine ni sawa na kuwaona kama nyani kwani nyani hawana hisia kama za binadamu.

Na tangu dunia iumbwe, watawala hawajawahi kupewa mamlaka na Mungu kuchagua lugha ya kutumiwa na watawaliwa katika kukosoa au kulalamikia mifumo ya utawala. Tunaweza pia kuona mifano mingi hata katika Biblia.

Yohana Mbatizaji aliwaita mafarisayo pamoja na wateule (makamishna wa Kodi) wa Mfalme wa Rumi kuwa ni kizazi cha nyoka (Luka 3:7-9), na Yesu Kristo alimuita Mfalme Herode kuwa ni mbweha (Luka 13:32). Nabii Amos aliwaita wake wa watawala wa Israeli ya Kale katika Mji Mkuu wa Samaria kuwa walikuwa ni 'ng'ombe wa Bashani' (Amos 4:1-3).

Ni vizuri tuwakumbusha watu wanaowasaidia watawala pamoja na watawala wenyewe katika Tanzania ya leo kuwa wakianza kukimbizana na wakosoaji kwa kuwakamata na kuwaweka ndani; kuwatesa na pia kuwanyamazisha watu wanaolalamikia kutoridhishwa na utendaji wa serikali yao, hiyo itakuwa ni kuasisi anguko la serikali husika. Hivi ni mfalme au mtawala gani wa dunia aliyewahi kuzima malalamiko ya watu anaowatawala kwa kutumia vyombo vya dola?

Ni matumaini yetu kuwa wahusika watatafakari uchambuzi huu pamoja na ushauri. Kubambika kesi watu, kunyanyasa watu na kufinya haki za watu ndio njia pekee ya uchochezi kwani kwa njia hiyo, idadi ya watu watakaoichukia serikali inazidi kuongezeka kila siku.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 19 Septemba 2023; 6:55 usiku
Waingereza walimenzi na kumtunuku nishani ya MBE yaani Member of the British Empire. Viongozi (watawala) wetu wanapenda sifa kukosolewa kwao ni uchochezi. Wao ni miungu watu hawakosei.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Yule RPC ni mbwa na asivyo na akili anaweka maana ya UCHOCHEZi sawa na maadili ni mbwa koko yule
 
Serikali zote zipo connected na shetani,we ukitaka imba kuhusu ngono, ushoga,pombe,bangi,kudanga,club utakuwa salama.
Lakini ukijifanya unaimba nyimbo uanaharakati jiandae hawataki .kuipigiwa kelele.
.We imba.
.Nyege nyegezi,
.Haaani aahh hani,
Chura,
.Kamatia chini
.Boloo boloo
.Sukari
.Nampa papa
.amelowa
.enjoy
.bia tamu.
Hapa huwezi gombana na Serikali Wala basata Wala police
 
Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni.

Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo wakoloni aliwaita 'nyoka' na Ikulu aliipa jina la 'pangoni' na wapigania uhuru akiwaita siafu.

Lakini wakoloni hawakumkamata Kandoro pia.

Hatuwezi kusema wakoloni wa Kiingereza wao hawakujua Kiswahili na hivyo walishindwa pia kuelewa nahau na mbinu za Shaaban Robert na Saadani Kandoro! Kama tutafikiri hivyo basi tutawafanya waonekane kama nyani! Ukweli ni kuwa wakoloni walielewa fika harakati ambazo zilikuwa zinafanywa na watunzi wale.

Ney wa Mitego na Sifa Bujune nao wameimba nyimbo za kuisema serikali yao. Lakini kabla ya hakujacha wakaitwa kuhojiwa, wimbo wa Ney wa Mitego ukapigwa marufuku, na Sifa Bujune akatiwa kolokoloni, akanyimwa hata dhamana!
Hata wakati huu, Askofu hajapata taarifa kama Sifa Bujune ameaçhiwa tangu akamatwe siku ya tarehe 13 Septemba 2023. Hii ina maana ya kuwa anashikiliwa kinyume cha Sheria!

Wakoloni pamoja na manyanyaso yao lakini pia
wao hawakupiga marufuku vitabu na mashairi ya wanaharakati. Badala yake, mitambo yao na ofisi zao zilitumiwa na wanaharakati katika zile kazi za fasihi. Wakoloni hawakuwahi kufikiri pia kumkamata Shaaban Robert.

Uchochezi ni makosa yanayopatikana katika nchi ambazo sio za kidemokrasia. Kwa lugha rahisi, sifa ya nchi zilizo na harufu ya udikiteta ni kuwepo kwa hisia na dhana za maneno ya uchochezi ambayo hutumiwa na watawala ili kuwanyamazisha wakosoaji. Watawala katika mifumo ya udikiteta hupenda kusifiwa na watu wote na kila wakati na kila mahali. Hawapendi kabisa kuona au kusikia watu wakiwakosoa au kuwanung'unikia hata katika mambo ya wazi.

Kamanda wa Polisi (RPC) wa Mkoa wa Mbeya anasema Sifa Bujune ameimba uchochezi! Ila tukiuchunguza wimbo wa 'Mnatuona Nyani' na tukiuweka katika midhani tunaona malalamiko ya mwananchi kwa serikali yake. Malalamiko hayo hayana tofauti na malalamiko ya watoto kwa baba yao anayetumia pesa katika masuala ya ulevi badala ya kuwapeleka watoto shule.

Baba anayejitapa kujenga nyumba nzuri na pia kujaza vyakula kwenye mafriji lakini anapuuza afya, elimu na hataki kusikiliza hisia za watoto wake hawezi kukosa kulaumiwa na watoto hao!
Vile vile, kuna mambo ya msingi ambayo kwa maoni ya Sifa Bujune, serikali haijasikiliza hisia zao. Kwa maoni yake, mtu asiposikiliza hisia za watu wengine ni sawa na kuwaona kama nyani kwani nyani hawana hisia kama za binadamu.

Na tangu dunia iumbwe, watawala hawajawahi kupewa mamlaka na Mungu kuchagua lugha ya kutumiwa na watawaliwa katika kukosoa au kulalamikia mifumo ya utawala. Tunaweza pia kuona mifano mingi hata katika Biblia.

Yohana Mbatizaji aliwaita mafarisayo pamoja na wateule (makamishna wa Kodi) wa Mfalme wa Rumi kuwa ni kizazi cha nyoka (Luka 3:7-9), na Yesu Kristo alimuita Mfalme Herode kuwa ni mbweha (Luka 13:32). Nabii Amos aliwaita wake wa watawala wa Israeli ya Kale katika Mji Mkuu wa Samaria kuwa walikuwa ni 'ng'ombe wa Bashani' (Amos 4:1-3).

Ni vizuri tuwakumbusha watu wanaowasaidia watawala pamoja na watawala wenyewe katika Tanzania ya leo kuwa wakianza kukimbizana na wakosoaji kwa kuwakamata na kuwaweka ndani; kuwatesa na pia kuwanyamazisha watu wanaolalamikia kutoridhishwa na utendaji wa serikali yao, hiyo itakuwa ni kuasisi anguko la serikali husika. Hivi ni mfalme au mtawala gani wa dunia aliyewahi kuzima malalamiko ya watu anaowatawala kwa kutumia vyombo vya dola?

Ni matumaini yetu kuwa wahusika watatafakari uchambuzi huu pamoja na ushauri. Kubambika kesi watu, kunyanyasa watu na kufinya haki za watu ndio njia pekee ya uchochezi kwani kwa njia hiyo, idadi ya watu watakaoichukia serikali inazidi kuongezeka kila siku.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 19 Septemba 2023; 6:55 usiku
Kuna fursa za uvuvi kule Kilwa baada ya kujengwa na kumalizika kwa bandari ya uvuvi [fishing port].

Ni vyema kujikita katika kufaidika na maliasili za nchi hii tukiwa raia wenye uhusiano wa moja kwa moja na kila kilichomo kuliko kuwaachia wageni wakaja kutajirika na sisi tukaendeleza hizi hekaya za Shaban Robert.
 
"Mwafrika hawezi kujitawala"P.W.Botha

Bara la Afrika chini ya Mabeberu ni bora kuliko hili la wakoloni weusi,angalia South Africa ya Makaburu nayakina Jacob Zuma ni mbingu na ardhi.Afrika Kaskazini na chini ya Sahara desert ni mbingu na ardhi.

Kipindi cha ukoloni kulikuwa na demokrasia ya kweli ndio maana wakina Nyerere,Nkurmah,Mandella nk,walishinda chaguzi,lakini baada ya weusi kuwa watawala uhuru wa watu uliondoka.

"Kwaheri ukoloni,kwaheri uhuru"
 
Hayati Shabaan Robert aliandika 'Kusadikika' na 'Kufikirika' ili kuisema Serikali ya Kikoloni ya Waingereza. Wakoloni hawakumkamata, badala yake aliendelea kufanya kazi katika Serikali ya Kikoloni.

Hayati Saadani Kandoro pia aliandika shairi liitwalo 'Siafu Wamekazana', katika shairi hilo wakoloni aliwaita 'nyoka' na Ikulu aliipa jina la 'pangoni' na wapigania uhuru akiwaita siafu.

Lakini wakoloni hawakumkamata Kandoro pia.

Hatuwezi kusema wakoloni wa Kiingereza wao hawakujua Kiswahili na hivyo walishindwa pia kuelewa nahau na mbinu za Shaaban Robert na Saadani Kandoro! Kama tutafikiri hivyo basi tutawafanya waonekane kama nyani! Ukweli ni kuwa wakoloni walielewa fika harakati ambazo zilikuwa zinafanywa na watunzi wale.

Ney wa Mitego na Sifa Bujune nao wameimba nyimbo za kuisema serikali yao. Lakini kabla ya hakujacha wakaitwa kuhojiwa, wimbo wa Ney wa Mitego ukapigwa marufuku, na Sifa Bujune akatiwa kolokoloni, akanyimwa hata dhamana!
Hata wakati huu, Askofu hajapata taarifa kama Sifa Bujune ameaçhiwa tangu akamatwe siku ya tarehe 13 Septemba 2023. Hii ina maana ya kuwa anashikiliwa kinyume cha Sheria!

Wakoloni pamoja na manyanyaso yao lakini pia
wao hawakupiga marufuku vitabu na mashairi ya wanaharakati. Badala yake, mitambo yao na ofisi zao zilitumiwa na wanaharakati katika zile kazi za fasihi. Wakoloni hawakuwahi kufikiri pia kumkamata Shaaban Robert.

Uchochezi ni makosa yanayopatikana katika nchi ambazo sio za kidemokrasia. Kwa lugha rahisi, sifa ya nchi zilizo na harufu ya udikiteta ni kuwepo kwa hisia na dhana za maneno ya uchochezi ambayo hutumiwa na watawala ili kuwanyamazisha wakosoaji. Watawala katika mifumo ya udikiteta hupenda kusifiwa na watu wote na kila wakati na kila mahali. Hawapendi kabisa kuona au kusikia watu wakiwakosoa au kuwanung'unikia hata katika mambo ya wazi.

Kamanda wa Polisi (RPC) wa Mkoa wa Mbeya anasema Sifa Bujune ameimba uchochezi! Ila tukiuchunguza wimbo wa 'Mnatuona Nyani' na tukiuweka katika midhani tunaona malalamiko ya mwananchi kwa serikali yake. Malalamiko hayo hayana tofauti na malalamiko ya watoto kwa baba yao anayetumia pesa katika masuala ya ulevi badala ya kuwapeleka watoto shule.

Baba anayejitapa kujenga nyumba nzuri na pia kujaza vyakula kwenye mafriji lakini anapuuza afya, elimu na hataki kusikiliza hisia za watoto wake hawezi kukosa kulaumiwa na watoto hao!
Vile vile, kuna mambo ya msingi ambayo kwa maoni ya Sifa Bujune, serikali haijasikiliza hisia zao. Kwa maoni yake, mtu asiposikiliza hisia za watu wengine ni sawa na kuwaona kama nyani kwani nyani hawana hisia kama za binadamu.

Na tangu dunia iumbwe, watawala hawajawahi kupewa mamlaka na Mungu kuchagua lugha ya kutumiwa na watawaliwa katika kukosoa au kulalamikia mifumo ya utawala. Tunaweza pia kuona mifano mingi hata katika Biblia.

Yohana Mbatizaji aliwaita mafarisayo pamoja na wateule (makamishna wa Kodi) wa Mfalme wa Rumi kuwa ni kizazi cha nyoka (Luka 3:7-9), na Yesu Kristo alimuita Mfalme Herode kuwa ni mbweha (Luka 13:32). Nabii Amos aliwaita wake wa watawala wa Israeli ya Kale katika Mji Mkuu wa Samaria kuwa walikuwa ni 'ng'ombe wa Bashani' (Amos 4:1-3).

Ni vizuri tuwakumbusha watu wanaowasaidia watawala pamoja na watawala wenyewe katika Tanzania ya leo kuwa wakianza kukimbizana na wakosoaji kwa kuwakamata na kuwaweka ndani; kuwatesa na pia kuwanyamazisha watu wanaolalamikia kutoridhishwa na utendaji wa serikali yao, hiyo itakuwa ni kuasisi anguko la serikali husika. Hivi ni mfalme au mtawala gani wa dunia aliyewahi kuzima malalamiko ya watu anaowatawala kwa kutumia vyombo vya dola?

Ni matumaini yetu kuwa wahusika watatafakari uchambuzi huu pamoja na ushauri. Kubambika kesi watu, kunyanyasa watu na kufinya haki za watu ndio njia pekee ya uchochezi kwani kwa njia hiyo, idadi ya watu watakaoichukia serikali inazidi kuongezeka kila siku.

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Dar es Salaam, 19 Septemba 2023; 6:55 usiku
Kwa Hali ilivyo sasa ni Bora mkoloni. Jamaa wanatuona nyani
 
Back
Top Bottom