Ikikupendeza Mwenyekiti wetu, ni muda sahihi wa mabadiliko ndani ya CCM

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,161
1,493
Pengine ni muda sahihi kuongeza nguvu au kufanya mabadiliko kidogo ndani ya CCM hasa kwenye umoja wa Vijana, Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki, wawambie ukweli Watanzania namna Serikali ya Awamu ya Sita inavyotekeleza miradi ya maendeleo. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisharuhusu mikutano ya siasa kwa vyama vyote.

Kitengo/Idara cha Mawasiliano cha Chama kiongeze ubunifu, nguvu, maarifa, jitihahada ili kuweza kuwafikia watu, Mawaziri na viongozi wengine wafanye ngazi zao za kuwaletea maendeleo Watanzania na kutatua kero za Wananchi, hoja za kweli au propaganda za uongo na uzushi zinazoibuliwa na vyama pinzani, Umoja Vijana CCM sasa mvae buti muingie kuwajibu hawa watu. Mikutano imeruhusiwa kwa vyama vyote.

Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
 
Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki, wawambie ukweli
Hii kitu 👆👆👆 uvccm hawawez kbs!! Washaleweshwa na uchawa + kujipendekeza!! Wao ni kusifu na kuabudu watawala!!👇👇
 
Attachments

  • IMG_20211116_120145.jpg
    IMG_20211116_120145.jpg
    68.5 KB · Views: 1
Pengine ni muda sahihi kuongeza nguvu au kufanya mabadiliko kidogo ndani ya CCM hasa kwenye umoja wa Vijana, Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki, wawambie ukweli Watanzania namna Serikali ya Awamu ya Sita inavyotekeleza miradi ya maendeleo. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisharuhusu mikutano ya siasa kwa vyama vyote.

Kitengo/Idara cha Mawasiliano cha Chama kiongeze ubunifu, nguvu, maarifa, jitihahada ili kuweza kuwafikia watu, Mawaziri na viongozi wengine wafanye ngazi zao za kuwaletea maendeleo Watanzania na kutatua kero za Wananchi, hoja za kweli au propaganda za uongo na uzushi zinazoibuliwa na vyama pinzani, Umoja Vijana CCM sasa mvae buti muingie kuwajibu hawa watu. Mikutano imeruhusiwa kwa vyama vyote.

Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Hawana mbavu,kuukataa ukweli si shughuli ndogo
 
Wapo ndani ya chama wanaojaribu kufanya hayo lakini wanakatishwa tamaa kwa kuambiwa wanajipendekeza ama wanasaka madaraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pengine ni muda sahihi kuongeza nguvu au kufanya mabadiliko kidogo ndani ya CCM hasa kwenye umoja wa Vijana, Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki, wawambie ukweli Watanzania namna Serikali ya Awamu ya Sita inavyotekeleza miradi ya maendeleo. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisharuhusu mikutano ya siasa kwa vyama vyote.

Kitengo/Idara cha Mawasiliano cha Chama kiongeze ubunifu, nguvu, maarifa, jitihahada ili kuweza kuwafikia watu, Mawaziri na viongozi wengine wafanye ngazi zao za kuwaletea maendeleo Watanzania na kutatua kero za Wananchi, hoja za kweli au propaganda za uongo na uzushi zinazoibuliwa na vyama pinzani, Umoja Vijana CCM sasa mvae buti muingie kuwajibu hawa watu. Mikutano imeruhusiwa kwa vyama vyote.

Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Yaqni kaka, kama kunawakti UV Ccm wamelala ni muda huu, Bora hata Shaka alikuwa vizuri. Mimi wanaosema Kuna hujuma kwa mama ninaamini, maana anayofanya ni mengi, ila Ccm wapp kimya, sio UV Ccm Wala Chongolo, Wala Yule mwenezi simuoni, mwenezi ameshindwa na kijanq Abdul Nondo wa ACT, da ni hujuma. Muhimu sisi wananchi wa kawaida tunayaona na tuna mtetea na tutamtetea Hadi mwisho.
 
Pengine ni muda sahihi kuongeza nguvu au kufanya mabadiliko kidogo ndani ya CCM hasa kwenye umoja wa Vijana, Umoja wa vijana waingie Mtaani, wajenge hoja, wajibu hoja za vyama pinzani/rafiki, wawambie ukweli Watanzania namna Serikali ya Awamu ya Sita inavyotekeleza miradi ya maendeleo. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alisharuhusu mikutano ya siasa kwa vyama vyote.

Kitengo/Idara cha Mawasiliano cha Chama kiongeze ubunifu, nguvu, maarifa, jitihahada ili kuweza kuwafikia watu, Mawaziri na viongozi wengine wafanye ngazi zao za kuwaletea maendeleo Watanzania na kutatua kero za Wananchi, hoja za kweli au propaganda za uongo na uzushi zinazoibuliwa na vyama pinzani, Umoja Vijana CCM sasa mvae buti muingie kuwajibu hawa watu. Mikutano imeruhusiwa kwa vyama vyote.

Mungu Ibariki Tanzania.
Mungu Mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan
Angalau wewe una akili na macho ya kuona mbali na uhalisia, grassroots mobilization campaigns ni muhimu kwa downrooting in politics. CCM has been existing for granted
 
Back
Top Bottom