HelcopterChopa
Member
- Sep 13, 2023
- 35
- 46
Maendeleo makubwa ya kisekta yaliyoshamiri kila kona ya nchi, ni kwasababu ya Amani na Utulivu uliopo.
Mipaka iko salama chini ya vyombo imara vya ulinzi na usalama.
Uhuru wa maoni, habari, haki, demokrasia, upendo, usawa, utengamano, umoja na mshikamano miongoni mwa wa Tanzania ndio hasa chimbuko na kichocheo kikuu cha hatua kubwa za kimaendeleo ya watu na vitu zilizofikiwa katika nyanja mbalimbali za kijamii, kisiasa, kiutamaduni, technolojia na uchumi.
Serikali iko imara na moja katika mihimili yake madhubuti.
Utawala bora, utawala wa sheria, uwazi na uwajibikaji ndani ya srikali vimebaki kua dira na nyenzo muhimu katika katika kutekeleza sera, mipango na mikakati ya serikali katika kuwafikishia wananchi maendeleo kirahisi katika maeneo yao.
Hata nchi inapoelekea kwenye chaguzi ndogo na chaguzi kuu mwaka 2023-25, bado ongezeo la watalii na wawekezaji wa nje na ndani, wameendelea kumiminika nchini kufurahia utalii na fursa za uwekezaji zilizopo katika maeneo mabalimali ikiwa ni pamoja huduma, viwanda na biashara, na hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi, miundombinu na ajira rasmi na zisizo rasmi kwa vijana.
Yote haya ni kwasamabu ya AMANI NA UTULIVU.
Mungu Ibarikai Tanzani na watu wake.