Kuna jambo sijafurahishwa kama Mwananchi na Mlipa Kodi...; Jana Rais ni kama ametoa excuse ya hii Crisis Kwamba hakuna Mvua na wanafanya maintenance - Hapo ni kama anawatetea watendaji na kuwapa...
Huyu alimgaragaza Mzilankende kutoka Chato hadi ikapidi Wakuu wa Kitengo wapindue Meza 🤣🤣🤣
Huyu hakuikotwa from no where kama yule mwingine Bali alikuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Afrika (AU)...
Na Shaka Hamdu Shaka
MAFANIKIO KUMI YA RAIS SAMIA KATIKA SEKTA YA UTALII
1. Kupungua kwa ujangili kulikotokana na kuimarika kwa uhifadhi ikiwemo kuundwa kwa jeshi usu la wanyamapori na misitu...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amewataka watumishi kutoka taasisi zote za serikali za umma kutatua malalamiko na changamoto za...
BoT ACHENI MAJIBU MEPESI KWENYE MASWALI MAGUMU
BoT acheni majibu mepesi kwenye maswali magumu hasa hili la upungufu wa dola kwenye mzunguko wa uchumi, Ni kweli ukosefu wa dola ni janga la kidunia...
Maharage Ally Chande amekuwa MD wa TANESCO kwa takriban miaka miwili sasa.
Kama kuna vigezo vya kumpima utendaji, basi kwa sasa vimekuwa juu kwa MD wetu maana utendaji unapimwa na output, umeme...
Waziri Mchengerwa aanza na kazi kwa spidi ya 5G, ataka Ma RC na Ma DC kushuka kwa wananchi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya kote...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano...
G.O.A.T
Mambo mawili yanabaki kuwa alama ya uzalendo wa Waziri M. Mchengerwa kwa taifa lake!
Mosi: Agizo lake akiwa OR Utumishi alipokuwa anaapisha Bodi ya Nne ya Sekretalieti ya Ajira kuwa...
Ingawa hili ni tatizo la kitaifa, lakini Idara ya maji mbeya ni tatizo kubwa.
Wanatesa sana walipaji bili wazuri. Huwa wanapandisha bili taratibu hadi wanafikia sehemu ambayo wanaona wao ndio...
Tangu jana tunashuhudia kupostiwa topic kadhaa za vibaraka wa CCM na DP-WORLD humu zikiwa na dalili ya ku-test upepo wa Jamii kuhusu uwekezaji wa kifisadi wa DP-WORLD Kwenye Bandari zetu.
Enyi...
Tunaposema kwamba CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa, haiwezekani mtu atenguliwe kwenye U DC mwezi July na kuchafuliwa kila kona, halafu huyo huyo arejeshwe tena baada ya miezi miwili tu.
Hii maana...
Nayaheshimu sana na mno Madhehebu mengine yote ukiachilia langu la Katoliki, ila kwa Tanzania hii na Nguvu ya Kanisa Katoliki tokea Uhuru na lilivyojikita indirectly katika Siasa za Tanzania...
Katika sehemu au shirika lililoboronga EWURA ni namba moja, ikifuatiwa na TANESCO, ILA Mabadiliko yaliyofanyika hayajagusa kabisa EWURA, na sisi wananchi tunashangaa jambo hili.
Tulitegemea EWURA...
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.
Huo ni mwanzo mzuri...
Katika nchi yetu imeonekana kwa sasa sifa kuu ya klongozi ni kuwa mahiri wa kutatua kero.
Kiongozi anateuliwa leo, anaambiwa wewe utafaa kwenye kutatua kero hii.
Mfano ni kero ya mgawo wa...
Ni vyema hali ya uwanja ikawa wazi kwetu na kwao. Ukweli hautaacha kuwa mchungu.
Kususia uchaguzi itakuwa ni SAWA na kususia fisi bucha. Wanapaswa kujua kususa hakupo!
Kujipanga kwa ushindi...
Nikwambie Rais Samia ya kwamba January Makamba na management nzima ya Tanesco ndio imesababisha hii adha ya umeme tuliyonayo sasa, kwanini unaona aibu kusema hadharani failure ya waziri na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 amefanya mabadiliko madogo ya Wakuu wa Wilaya kama ifuatavyo:
1) Ametengua uteuzi wa Mkuu wa Wilaya ya...
Serikali Kupitia Tanesco imeandika Historia ya kusaini mkataba wa Kuzalisha Umeme wa Juna na kampuni ya China wenye thamani ya Shilingi Bilioni 275 ambao utazalisha megawatt 150 Kishapu ,Shinyanga...