Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni jambo la busara tume ya uchaguzi ikaangalia na upande wa kupunguza majimbo pia badala ya kuyaongeza tu kila wakati, wajibu wa kugawanya majimbo ina maana ni kuyaongeza na kuyapunguza pia...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Afya bora au Afya dhaifu ni kigezo cha kutambua uhai wa Taifa lolote, Afya bora ni matokeo ya mambo mengi na moja wapo likiwa ni huduma bora katika nyanja mbalimbali. Miaka kadhaa iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
362 Views
Kada kiherehere wa CCM Lucas Mwashambwa umeonyesha roho ya kishetani kutumia kisiasa msiba uliotokana na ajali mbaya kabisa kule Arusha. Chadema walishapanga maandamano yao kufanyika kesho tarehe...
27 Reactions
51 Replies
5K Views
Paul makonda ni kizazi kipya cha dhahabu yeye na vijana wenzake wengi. Kama unamchukia kwa Leo utakuwa unafanya makosa makubwa sana ! Makonda ni kitabu kikubwa kilichobeba hatima ijayo. Hawa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Nikinukuu kipande Cha taarifa iliyotolewa na gazeti la Mwananchi kuhusu hotuba ya Waziri mkuu aliyotoa bungeni April 3, 2024 akielezea filamu mpya ya kutangaza utalii inayoitwa "Amazing Tanzania"...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Kuna umuhimu gani wa kuwa na wabunge wa kuteuliwa? Hii tabia ni muendelezo wa kulipana fadhila tu kwa chama tawala ccm. Mwache mtu agombee apite kwa kupigiwa kura na wananchi kama anakubalika...
2 Reactions
3 Replies
639 Views
Watanzania wenzangu nawasabahi. Nije kwenye Mada moja kwa moja. Kuna hili suala la WABUNGE wa VITI MAALUMU katika BUNGE letu. Wabunge hawa Wamekuwa wanapatikana bila kupigiwa kura na Wananchi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo...
1 Reactions
3 Replies
955 Views
Kama kuna haja ya kuongeza majimbo ya uchaguzi basi ondoeni ubunge wa viti maalumu. Majimbo mapya ya uchaguzi yaongezwe kwa kupunguza idadi ya viti maalum. Ingependeza kwa kila jimbo 1 la uchaguzi...
0 Reactions
5 Replies
503 Views
ASIYEKUTEUA HAWEZI KUKUTENGUA KATIBA YA CHAMA CHA MAPINDUZI TOLEO LA 2022 IBARA YA 102 Kazi za Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa zitakuwa zifuatazo:- KIFUNGU CHA 12 Kuchagua Katibu wa...
8 Reactions
77 Replies
6K Views
Suala la Katibu Mwenezi wa Taifa wa CCM, Makonda kuwaitisha, kuwataka majibu na kuwapa maelekezo mbalimbali viongozi wakubwa wa nchi limekuwa gumzo kubwa. Wengine wakisema hana mamlaka hayo na...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa msiofahamu tumbaku hununuliwa na makampuni tofauti. Makampunj yaliyopewa leseni ya kununua tumbaku mkoani Tabora ni pamoja na Voedsel, Alliance One, TLTC, GTI, Mkwawa na mengine nimeyasahau...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 3, leo Aprili 4, 2024. https://www.youtube.com/watch?v=fQ35KHplqx4 NAIBU WAZIRI: SERIKALI INA MKAKATI WA KUPELEKA GESI KATIKA...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Three The Hardway Lowasa - Kamanda wa UVCCM Dr Nchimbi - Mwenyekiti UVCCM Makala - Katibu Mkuu UVCCM Walitisha Sana na UVCCM ilikuwa Imara kuliko wakati wowote Baada ya TYL CCM itatuletea...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wananchi walipaswa kushawishiwa na CCM kwa kasi ya maendeleo. Na hivyo ccm ingreendelea kushamiri na kupendwa na wananchi. Lkn naona ccm wanahangaika kutafuta MTU sahihi wa kuwashawishi wananchi...
12 Reactions
34 Replies
2K Views
Baada ya tengua na teua zilizotolewa usiku huu, je ndo wakati wa kumleta ndugu Ally Hapi kwenye ulingo wa siasa kama ilivyofanyika kwa Makonda? Let's wait and see.
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Sijawahi kudhani kuwa watanzania wengi ( sio wote ) ni wajinga wa ngazi hii tunayoiona. Ndio maana ni ngumu kutofautisha mtanzania wa kidato cha sita na yule wa chuo kikuu. Katika IQ zao, kuwaza...
78 Reactions
693 Replies
58K Views
Nimetafakari na kubaini kuna aina nne za wabunge na kazi zao ( nipo tayari kukosolewa) 1. Wabunge wa Majimbo Hawa hupigiwa kura na wananchi wa jimbo. Hupewa ridhaa na wananchi wakawakilishe...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Ujio wa Makala pale Uenezi unaibakiza CCM Kuwa Chama Cha wakulima Tunasubiri safu ya Chadema Ili tujiridhishe kama bado Wana Sifa ya Chama Cha Wasomi na Wajanja like akina Bob Mazishi Kwako...
1 Reactions
15 Replies
831 Views
Hili ni ombi langu kwenu tume, kwamba uchaguzi ujao, punguzeni majimbo ya uchaguzi. Hatuwezi kuendelea kwa kuwa na majimbo kila mtaa. Ongezeko la majimbo limeifanya siasa kuwa ni agenda ya nchi...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…