Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Kuna umuhimu gani wa kuwa na wabunge wa kuteuliwa?
Hii tabia ni muendelezo wa kulipana fadhila tu kwa chama tawala ccm.
Mwache mtu agombee apite kwa kupigiwa kura na wananchi kama anakubalika basi atakuwa mbunge wetu.
Kwanini umteue kiongozi wakati viongozi wote wanapatikana kutoka kwa wapiga kura?
Hawa viti maalum wakipewa nafasi kubwa ndiyo wanaongoza kuiba mali za umma.
Serikali makini haitakiwi kuwa na tabia za kuteua teua eti viti maalum.
Cdm naamini watasafisha hii tabia ya kulipa fadhila kama inavyotokea kwa kina covid 19.