Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,074
Watanzania wenzangu nawasabahi.
Nije kwenye Mada moja kwa moja. Kuna hili suala la WABUNGE wa VITI MAALUMU katika BUNGE letu. Wabunge hawa Wamekuwa wanapatikana bila kupigiwa kura na Wananchi kwani Hawana Majimbo wanayowakilisha. Wabunge hawa binafsi sijui hata KAZI zao Wawapo Bungeni. Wabunge hawa wamekuwa Wakilipwa POSHO na MISHAHARA na STAHIKI ZOTE wanazopata WABUNGE wa KUCHAGULIWA na WANANCHI kwenye MAJIMBO yao.
Swali langu
1. Je uwepo wao BUNGENI wanameakilisha nani ?
2. Wananchi Wananufanika nini na Uwepo wao BUNGENI ?
3. Mishahara na Posho na Stahiki wanazopewa je Wanapewa kwa KUFANYA Kazi gani na ya nani ?
4. Je Wakiondolewa BUNGENI TAIFA na WANANCHI Wanapata HASARA gani?
JE SERIKALI haioni kuwa inalipa Posho na Mishahara kwa Wabunge ambao hata kazi zao wananchi hatuzioni?
Ushauri kwa SERIKALI
Wabunge wa VITI MAALUM hawana TIJA kwa TAIFA SERIKALI IBANEMATUMIZI kwa KUWAONDOA.