Lucas Mwashambwa umekosa utu kabisa kutumia ajali mbaya ya Arusha kisiasa

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
43,707
60,765
Kada kiherehere wa CCM Lucas Mwashambwa umeonyesha roho ya kishetani kutumia kisiasa msiba uliotokana na ajali mbaya kabisa kule Arusha. Chadema walishapanga maandamano yao kufanyika kesho tarehe 27/02/2024 na wamepata vibali vyote husika.

Chadema wamekuwa wa kwanza kutoa salamu za rambi kwa wafiwa. Lucas mwashambwa kwa unafiki na roho mbaya ya uchonganishi umetoa lawama kwa Chadema kana kwamba wao ndiyo wamesababisha ajali iliyopoka uhai wa ndugu zetu hao 25.

Lucas umeonyesha kuwa huna utu kwa kutumia msiba huu kuiumiza Chadema na kukinufaisha chama chako. Ni unyama ulioje kutumia msiba huu mkubwa kisiasa. Lucas mwashambwa wewe ni hayawani uliyekosa chembe ya utu. Hivi unataka kusema shughuli zooote hapo Arusha zitasimama kwa ajili kuaga marehemu waliokufa kwenye ajali hiyo?

Nilishakuonya kuwa hiki kiherehere chako cha kujifanya unaijua saaana CCM na Serikali na kutaka kila jambo uwe ndiye msemaji kitakutia matatani. Hata hiyo mamlaka ya uteuzi imeshakudharau sana.
 
Hivi wewe na CHADEMA yako mngekuwa na akili mngeanza vipi kuendelea na shughuli za maandamano wakati mkoa mzima una majonzi,simanzi na kububujikwa na machozi? Kwanini mmeshindwa kuguswa na majonzi ya yaliyotokea? Vipi kama angekuwa mama yako kapoteza maisha katika ajali hiyo? Ungeendelea na kiherehere hicho cha kutaka kuandamana? Ungekuwa na nguvu hizo za kuropoka hapa? Kwamba maandamano yana thamani kubwa kuliko roho zilizopotea? Kwanini msiitumie siku ya kesho kutoa faraja kwa wafiwa na kuwapa moyo katika wakati huu wa giza wanaopitia? Je kesho mtakwenda kuomba kura kwa nani? Nani atawapa kura za ndio katika uchaguzi ikiwa hamna utu na hamuwezi kushirikiana na watu wawapo katika majonzi na simanzi?

Kwanini hamna hisia za huruma? Kwanini mmekosa moyo wa upendo,utu,ubinadamu,utanzania na kuguswa? Kwanini hamna uchungu na maisha ya watu? Tangia lini maandamano yakawa na thamani kuliko roho za watu? Sasa hiyo nguvu ya umma mtaitoa wapi ikiwa hamuwajali watu watakao wapeni nguvu kesho? Kwanini msiwashike mkono na kuwafuta machozi wakati huu wanaohitaji kushikwa mkono,kufutwa machozi na kusaidiwa kutembea?

Acheni utoto CHADEMA. Tamaa ya madaraka isiwatoeni akili, ubinadamu na kuwapofusha macho. Kila mtu atakufa, na hivyo vyeo mnavyolilia na kuwa na uchu navyo vitabakia .acheni uchu na ulafi wa madaraka kama mafisi.
 
Hivi wewe na CHADEMA yako mngekuwa na akili mngeanza vipi kuendelea na shughuli za maandamano wakati mkoa mzima una majonzi,simanzi na kububujikwa na machozi? Kwanini mmeshindwa kuguswa na majonzi ya yaliyotokea? Vipi kama angekuwa mama yako kapoteza maisha katika ajali hiyo? Ungeendelea na kiherehere hicho cha kutaka kuandamana? Ingekuwa na nguvu hizo? Kwamba maandamano yana thamani kubwa kuliko roho zilizopotea? Kwanini msiitumie siku ya kesho kutoa faraja kwa wafiwa na kuwapa moyo katika wakati huu wa giza wanaopitia? Je kesho mtakwenda kuomba kura kwa nani? Nani atawapa kura za ndio katika uchaguzi ikiwa hamna utu na hamuwezi kushirikiana na watu wawapo katika majonzi na simanzi?

Kwanini hamna huruma? Kwanini mmekosa moyo wa upendo,utu,ubinadamu,utanzania na kuguswa? Kwanini hamna uchungu na maisha ya watu? Tangia lini maandamano yakawa na thamani kuliko roho za watu? Sasa hiyo nguvu ya umma mtaitoa wapi ikiwa hamuwajali watu watakao wapeni nguvu kesho? Kwanini msiwashike mkono wakati huu wanaohitaji kushikwa mkono na kusaidiwa kutembea?

Acheni utoto CHADEMA. Tamaa ya madaraka isiwatoeni akili na ubinadamu. Kila mtu atakufa na hivyo vyeo vitabakia .acheni uchu na ulafi wa madaraka kama mafisi.
Wewe hayawani unadhani wote ni wakazi wa Arusha wako wsliofikia gesti utawalipia wewe mbwakoko mbwaka hovyo! Maandsmano ni gharama na wengine wako safarini wafike asubuhi waandamane kisha wageuze usiku kurudi makwao, wewe mbwakoko huko Mbeya mbona ulikimbilia milimani kwa bibi yako.
 
Ninyi ni mazuzu sana wanachadema, kwahiyo Arusha hakuna watu wa kuandamana hadi msombelewe kutoka mikoani kama mkaa wa magendo?
 
Yule gagula shangazi yako unajifanya umesahau alichokisema kuhusu CCM kupeleka magari vijijini kusomba wanafunzi wa kuhudhulia mikutano ya CCM! Tatizo vimbwakoko huwa havikawii kusahau.
JamiiForums-1414302355.jpg
JamiiForums1351965289.jpg
 
Hivi wewe na CHADEMA yako mngekuwa na akili mngeanza vipi kuendelea na shughuli za maandamano wakati mkoa mzima una majonzi,simanzi na kububujikwa na machozi? Kwanini mmeshindwa kuguswa na majonzi ya yaliyotokea? Vipi kama angekuwa mama yako kapoteza maisha katika ajali hiyo? Ungeendelea na kiherehere hicho cha kutaka kuandamana? Ungekuwa na nguvu hizo za kuropoka hapa? Kwamba maandamano yana thamani kubwa kuliko roho zilizopotea? Kwanini msiitumie siku ya kesho kutoa faraja kwa wafiwa na kuwapa moyo katika wakati huu wa giza wanaopitia? Je kesho mtakwenda kuomba kura kwa nani? Nani atawapa kura za ndio katika uchaguzi ikiwa hamna utu na hamuwezi kushirikiana na watu wawapo katika majonzi na simanzi?

Kwanini hamna hisia za huruma? Kwanini mmekosa moyo wa upendo,utu,ubinadamu,utanzania na kuguswa? Kwanini hamna uchungu na maisha ya watu? Tangia lini maandamano yakawa na thamani kuliko roho za watu? Sasa hiyo nguvu ya umma mtaitoa wapi ikiwa hamuwajali watu watakao wapeni nguvu kesho? Kwanini msiwashike mkono na kuwafuta machozi wakati huu wanaohitaji kushikwa mkono,kufutwa machozi na kusaidiwa kutembea?

Acheni utoto CHADEMA. Tamaa ya madaraka isiwatoeni akili, ubinadamu na kuwapofusha macho. Kila mtu atakufa, na hivyo vyeo mnavyolilia na kuwa na uchu navyo vitabakia .acheni uchu na ulafi wa madaraka kama mafisi.
Kiongozi hujiulizi kwanini kila mtu anakupinga hapa JF na story zako za abunuwasi?

Hapa JF wamejaa wataalamu na mabingwa katika kila sekta huwezi kuandika utumbo ukakubalika,Jirekebishe

Huna kitu cha kujadili hapa JF zaidi ya ccm na Chadema?

Huna uwezo wa kuandika hoja mpaka usifie mtu au utukane wengine?

Unapata faida gani ya kuwasema chadema hapa JF na ni hasara gani unapata kwa kuisifia ccm hapa JF?

Mkuu tafuta kazi ya kufanya JF haijaanza jana ,kuna watu walikuwepo hapa kabla yako ilikuwa ni kusifia tu mfano member anaitwa Lizaboni leo amepotea kabisa baada ya umri kwenda akagundua anapoteza muda hapa JF

Andika mada zenye mashiko zenye kulenga kulitoa Taifa hatua moja ya maendeleo kwenda hatua nyingine
 
Nani kakwambia sina kazi za kufanya? Kama unaona nasifia sana kwanini ewe usikosoe Sana? Nani amekuzuia kuandika yale unayoyataka wewe? Wewe ni nani au kama nani hadi unipangie ya kuandika hapa jukwaani?
 
Kiongozi hujiulizi kwanini kila mtu anakupinga hapa JF na story zako za abunuwasi?

Hapa JF wamejaa wataalamu na mabingwa katika kila sekta huwezi kuandika utumbo ukakubalika,Jirekebishe

Huna kitu cha kujadili hapa JF zaidi ya ccm na Chadema?

Huna uwezo wa kuandika hoja mpaka usifie mtu au utukane wengine?

Unapata faida gani ya kuwasema chadema hapa JF na ni hasara gani unapata kwa kuisifia ccm hapa JF?

Mkuu tafuta kazi ya kufanya JF haijaanza jana ,kuna watu walikuwepo hapa kabla yako ilikuwa ni kusifia tu mfano member anaitwa Lizaboni leo amepotea kabisa baada ya umri kwenda akagundua anapoteza muda hapa JF

Andika mada zenye mashiko zenye kulenga kulitoa Taifa hatua moja ya maendeleo kwenda hatua nyingine
Ficha upumbavu wako. Unaposema kila mtu anampinga ulikuwa unauliza kila mwanaJF? Huo muda uliotumia kuandika huu ushuzi kwanini hukuutumia kushauri wanaomtukana? Halafu ifike mahala watu tuheshimu uhuru wa maoni. Inaonekana kuongelea mazuri ya CCM ni kama dhambi fulani hivi...
 
Hilo ni nyumbu la CHADEMA
 
Hivi wewe na CHADEMA yako mngekuwa na akili mngeanza vipi kuendelea na shughuli za maandamano wakati mkoa mzima una majonzi,simanzi na kububujikwa na machozi? Kwanini mmeshindwa kuguswa na majonzi ya yaliyotokea? Vipi kama angekuwa mama yako kapoteza maisha katika ajali hiyo? Ungeendelea na kiherehere hicho cha kutaka kuandamana? Ungekuwa na nguvu hizo za kuropoka hapa? Kwamba maandamano yana thamani kubwa kuliko roho zilizopotea? Kwanini msiitumie siku ya kesho kutoa faraja kwa wafiwa na kuwapa moyo katika wakati huu wa giza wanaopitia? Je kesho mtakwenda kuomba kura kwa nani? Nani atawapa kura za ndio katika uchaguzi ikiwa hamna utu na hamuwezi kushirikiana na watu wawapo katika majonzi na simanzi?

Kwanini hamna hisia za huruma? Kwanini mmekosa moyo wa upendo,utu,ubinadamu,utanzania na kuguswa? Kwanini hamna uchungu na maisha ya watu? Tangia lini maandamano yakawa na thamani kuliko roho za watu? Sasa hiyo nguvu ya umma mtaitoa wapi ikiwa hamuwajali watu watakao wapeni nguvu kesho? Kwanini msiwashike mkono na kuwafuta machozi wakati huu wanaohitaji kushikwa mkono,kufutwa machozi na kusaidiwa kutembea?

Acheni utoto CHADEMA. Tamaa ya madaraka isiwatoeni akili, ubinadamu na kuwapofusha macho. Kila mtu atakufa, na hivyo vyeo mnavyolilia na kuwa na uchu navyo vitabakia .acheni uchu na ulafi wa madaraka kama mafisi.
Maandamano ni kwa ajili ya CHADEMA au wananchi? Watu nyie hamna hoja kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom