Dini za Ukristu na Uislam zinaendekezwa sana kwenye nchi za Kisekula

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,294
12,940
Wakomunisti sikubaliani nao katika mambo mengi sana.

Wana upumbavu wao katika mambo mbalimbali ila linapo fika suala la nchi isiyo ya kidini wajua kweli kuchora mstari wa haki kwa dini zote.

Wakomunisti wa China wamechora mstari wa haki kwa dini zote si wakristo, si waislam, si wabudha n.k hakuna special treatment ya baadhi ya dini ili kufurahisha kundi fulani.

China wanaposema nchi yao sio ya kidini wana maanisha kweli ile nchi sio ya kidini ila Tanzania wanaposema nchi yao sio ya kidini sivyo wanavyo maanisha kuna dini mbili zina special treatment au special class katika hii ardhi.

Kazi ipo kubwa sana nchi ya kisekula kujipambanua kweli nchi ya kisekula kivitendo.

Wakomunisti wakosolewe kwa mengine lakini sio kuzi tendenea dini zote usawa.
 
TAtizo la hizi nchi zetu, tumejaliwa kupata viongozi wenye viwango vya juu vya kukosa ufahamu unaotakiwa. Hivyo wanaamini Waafrika wote wana dini mbili pekee yaani kuna Wakristo na Waislam. Hawaamini katika imani za kweli za Afrika
 
Nchi wamepewa wapumbavu,hivyo lazima watumia makundi ya wapumbavu kupata merits za kisiasa.

Religion is a opium of the people
 
Back
Top Bottom