Hebu Nendeni mkajifunze kwao hao mnaoita marafiki zenu wachina kuhusu kuendesha mashirika ya umma wao mbona kidunia ni makubwa sana

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,690
13,980
Sisi vishirika vya umma vichache tu kila siku vinatulamba hasara tunaona njia ni kubinafsisha kila kitu.

Hawa marafiki zenu nyie CCM hawa wachina wao uchumi wao umeshikiliwa na mashirika ya umma tena katika sekta muhimu.

Tazama hawa jamaa katika fortune global 500 kwa mwaka 2021 mashirika ya umma yalikuwa 82 sisi vishirika vya umma vichache vimekuwa mzigo kwetu.

Hivi kwa hao marafiki zenu wachina huwa mnajifunza nini hasa kama haya mambo muhimu hamchukui ?

Wachina wapo vizuri sana kwenye elimu ya kuendesha mashirika ya umma.

Sio Mabenki, sio mashirika ya umeme, sio mashirika ya afya, sio mashirika ujenzi wa miundombinu inshort hii sekta wapo vizuri na wafanya reforms kila leo.

Sekta muhimu hazipaswi kubinafsishwa na kuwa chini ya watu binafsi, sisi tunataka kubinafsisha sekta zote muhimu kwa maendeleo ya nchi hii ni hatari.

82 Chinese SOEs Listed among 2021 Fortune Global 500​

Updated: 2021-08-03

A total of 82 Chinese state-owned enterprises (SOEs) were included on the 2021 Fortune Global 500 List released on Aug 2; 49 of them are central SOEs and their subsidiaries.
Thirty-three others were local SOEs, and both groups had one more than their numbers of last year.
State Grid Corporation of China, China National Petroleum Corporation and China Petroleum & Chemical Corporation rank second, fourth and fifth, respectively.
There are 143 Chinese enterprises on this year's Fortune Global 500 List, 10 more than in 2020. They top the list of numbers of company by country for the second consecutive time.
1627976391991094760.png
 
Sasa think tank ya anayeupiga mwingiiih ni nape na njanuaryy unategemea nn?karibu twende Chachi mengine waachie wao Wenye legasi ya hii nchi
 
Back
Top Bottom