Hoja: Kama mashirika ya Umma yanapata hasara kuna haja gani ya Kuacha yajiendeshe yenyewe?

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,951
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba.

Mimi nilikua naushauri Sheria ya uendeshaji wa mashirika ya umma ingebadilishwa (kama ipo) haya mashirika yakasimamiwa na serikali moja kwa moja au tuyaendeshe kwa ubia kati ya serikali na makampuni binafsi kuliko hivi sasa ambapo inaonesha yanajiendesha kwa hasara kubwa. Tusisahau kuwa serikali inatoa fedha za ruzuku kwajili ya mashirika haya ambayo hayafanyi vizuri.

Karibuni tutoe maoni watanzania labda serikali inaweza kuokota mawili au matatu miongoni mwetu.
 
CCM iitishe kikao cha dharura na kuielekeza Serikali namna ya kutoka kwenye huu mkwamo. Ilani inayotekelezwa ni yao na Serikali ni yao! Chama kimeshika hatamu; kizibane kweli kweli tutoke hapa.
 
Hali ni mbaya sana mkuu kama wanajiendesha kwa hasara inamaana serikali inapoteza fedha nyingi sana ya walipa kodi kujaza matumbo ya watu huku hamna kinachopatikana.
 
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba.

Mimi nilikua naushauri Sheria ya uendeshaji wa mashirika ya umma ingebadilishwa (kama ipo) haya mashirika yakasimamiwa na serikali moja kwa moja au tuyaendeshe kwa ubia kati ya serikali na makampuni binafsi kuliko hivi sasa ambapo inaonesha yanajiendesha kwa hasara kubwa. Tusisahau kuwa serikali inatoa fedha za ruzuku kwajili ya mashirika haya ambayo hayafanyi vizuri.

Karibuni tutoe maoni watanzania labda serikali inaweza kuokota mawili au matatu miongoni mwetu.
Sio mda Dubai watapewa
 
Hali ni mbaya sana mkuu kama wanajiendesha kwa hasara inamaana serikali inapoteza fedha nyingi sana ya walipa kodi kujaza matumbo ya watu huku hamna kinachopatikana.
Hayo mashirika yanaendeshwa na makada wa ccm ikiwa sehemu ya wao kulia cake ya Taifa. Kitendo Cha kuendeshwa bila mkono wa ccm, ni kupoteza nguvu ya ccm kimfumo. Hata itangazwe hasara ya aina gani, hakuna hatua zitachukuliwa maana ni sehemu ya uhai wa ccm.
 
Acha mihemko ya uvyama utaweza kuwa na mchango mzuro kwenye hii hoja mkuu.
 
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba.

Mimi nilikua naushauri Sheria ya uendeshaji wa mashirika ya umma ingebadilishwa (kama ipo) haya mashirika yakasimamiwa na serikali moja kwa moja au tuyaendeshe kwa ubia kati ya serikali na makampuni binafsi kuliko hivi sasa ambapo inaonesha yanajiendesha kwa hasara kubwa. Tusisahau kuwa serikali inatoa fedha za ruzuku kwajili ya mashirika haya ambayo hayafanyi vizuri.

Karibuni tutoe maoni watanzania labda serikali inaweza kuokota mawili au matatu miongoni mwetu.
Huko wanapiga dili kubwa sn
 
Kama ATCL hovyo sana
 
Hayo mashirika yanaendeshwa na makada wa ccm ikiwa sehemu ya wao kulia cake ya Taifa. Kitendo Cha kuendeshwa bila mkono wa ccm, ni kupoteza nguvu ya ccm kimfumo. Hata itangazwe hasara ya aina gani, hakuna hatua zitachukuliwa maana ni sehemu ya uhai wa ccm.
Well said
 
Nimesikiliza ripoti ya Mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) na moja ya sehemu iliyonigusa sana ni kwenye mashirika ya umma kujiendesha kwa hasara licha ya serikali kuendelea kuyabeba.

Mimi nilikua naushauri Sheria ya uendeshaji wa mashirika ya umma ingebadilishwa (kama ipo) haya mashirika yakasimamiwa na serikali moja kwa moja au tuyaendeshe kwa ubia kati ya serikali na makampuni binafsi kuliko hivi sasa ambapo inaonesha yanajiendesha kwa hasara kubwa. Tusisahau kuwa serikali inatoa fedha za ruzuku kwajili ya mashirika haya ambayo hayafanyi vizuri.

Karibuni tutoe maoni watanzania labda serikali inaweza kuokota mawili au matatu miongoni mwetu.
yale yanayopata hasara utaratibu wa kuyafuta au kuyaunganisha unaendelea
 
Back
Top Bottom