Kenya Airways imepata faida baada ya miaka 7. Nashauri ATCL ibinafsishwe ili isiwe inatumika kisiasa

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,053
49,737
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali.

Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza kupata faida na litakuwa huru kutoingiliwa Kisiasa na Viongozi wa Serikali.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia Kodi zetu kutumika kwenye Mashirika ya kipuuzi kama hayo.

Pia soma > CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

View: https://www.instagram.com/p/C5DBvObN0mZ/?igsh=MW4wdW4zemFicXZ6cA==
 
Tatizo la ATCL niliwahi liongelea.
ATCL ina marubani 120 wakati wana ndege 14

Ina wahudumu zaidi ya 300 kwa ndege 14

Fastjet ilikuwa na marubani 10 pekee kwa ndege zao 3

Kwa ratio hiyo kamwe hauwezi pata faida.

ATCL yapaswa kuwa na wafanyakazi kutokana na uzalishaji wao
Ajira za kudumu ziondolewe
 
Ngo

kwa hili shirika yes, either mwekezaji au management ya kigeni yenye uzoefu
 
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali.

Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza kupata faida na litakuwa huru kutoingiliwa Kisiasa na Viongozi wa Serikali.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia Kodi zetu kutumika kwenye Mashirika ya kipuuzi kama hayo.

View: https://www.instagram.com/p/C5DBvObN0mZ/?igsh=MW4wdW4zemFicXZ6cA==

Najua kabisa tutakula hasara na ndege zote zitakuwa juu ya mawe kama hatutabinafsisha haraka sana.

ukiona Kenya Airways na wengine kama South African airways wanapata hasara mwaka wa 10 sasa ujue ATCL itakufa au itauuwa watanzania
 
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali.

Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza kupata faida na litakuwa huru kutoingiliwa Kisiasa na Viongozi wa Serikali.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia Kodi zetu kutumika kwenye Mashirika ya kipuuzi kama hayo.

Pia soma > CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

View: https://www.instagram.com/p/C5DBvObN0mZ/?igsh=MW4wdW4zemFicXZ6cA==

Si ilishawahi kubinafsishwa?
 
Tuuze tu hili shirika ni hasara kila siku.
 
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali.

Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza kupata faida na litakuwa huru kutoingiliwa Kisiasa na Viongozi wa Serikali.

Hatuwezi kuendelea kuvumilia Kodi zetu kutumika kwenye Mashirika ya kipuuzi kama hayo.

Pia soma > CAG Kichere: Licha ya kupewa Ruzuku ya Tsh. Bilioni 31.55, ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 56.64, ongezeko la 61% kutoka hasara ya Mwaka 2021/22

View: https://www.instagram.com/p/C5DBvObN0mZ/?igsh=MW4wdW4zemFicXZ6cA==

Samia akitaka kusafiri anachukua ndege ya watu mia tatu inambeba yeye na wapambe/chawa wake bila malipo. Shirika kama hilo litapataje faida?
 
Viongozi wa serikali wanaongoza kulitia hasara hilo shirika, kutwa kucha angani unategemea nini.

Watanzania tumeonyesha failure kubwa sana kwenye usimamizi wa rasilimali na mashirika yetu, ni kwamba hatuwezi, hatuna uzalendo, ni wezi, rushwa...endless yani!!
 
Serikali yetu imeshindwa, na sijui lini wataweza kujiendesha😀 Wakipewa waarabu kuimeneji hata usafi na ustaarabu utakuwepo, level seat, sheria za barabara watafuata, ajali zitapungua au kutokuwepo kabisa.
 
Najua kabisa tutakula hasara na ndege zote zitakuwa juu ya mawe kama hatutabinafsisha haraka sana.

ukiona Kenya Airways na wengine kama South African airways wanapata hasara mwaka wa 10 sasa ujue ATCL itakufa au itauuwa watanzania

Serikali haifanyi biashara serikali kazi yake kubwa ni kuweka miongozo na mazingira mazuri kwa watu na sekta binafsi kufanya biashara. Wacha ibinafsishwe serikal ipate mapato

Hata kwenye mashirika haya pia nayo yabimafsishwe:-
TTCL
TANESCO
TRL
NHC
ATCL
Yote hayo ni hasara tu yabinafsishwe wapewe private sector
 
Tatizo la ATCL niliwahi liongelea.
ATCL ina marubani 120 wakati wana ndege 14

Ina wahudumu zaidi ya 300 kwa ndege 14

Fastjet ilikuwa na marubani 10 pekee kwa ndege zao 3

Kwa ratio hiyo kamwe hauwezi pata faida.

ATCL yapaswa kuwa na wafanyakazi kutokana na uzalishaji wao
Ajira za kudumu ziondolewe
Utakuta wengi Hewa na wanapewa mishahara
 
Hakuna sababu ya kuwa na Shirika la Ndege inawezekana kuwa na routes na viwanja na kuwaalika wadau wote wanaotaka kutoa huduma kwa ushindani ?
 
Serikali haifanyi biashara serikali kazi yake kubwa ni kuweka miongozo na mazingira mazuri kwa watu na sekta binafsi kufanya biashara. Wacha ibinafsishwe serikal ipate mapato

Hata kwenye mashirika haya pia nayo yabimafsishwe:-
TTCL
TANESCO
TRL
NHC

ATCL
Yote hayo ni hasara tu yabinafsishwe wapewe private sector
Hivi unajua hayo mashirika uliyoweka hapo yanatoa Huduma above all else (Tanesco inapimwa kwa umeme wa uhakika na affordable sio kiasi gani imewapa walamba asali) kabla sijaenda deep na privatization tuangalie waliotutangulia na results zao zimekuwaje

Privatization, The God that Failed (lesson from UK)
 
Back
Top Bottom