Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

1 September 2020 Dodoma, Tanzania Bila Uwoga SUGU ailipua TUME ya UCHAGUZI, Amtaja Katibu wa CCM, - "Amani ya nchi Ipo mikinoni Mwao" Wabunge Wa CHADEMA Walioenguliwa na Wasimamizi wa Uchaguzi...
14 Reactions
120 Replies
18K Views
Hii Taasisi ilikuwa imara sana enzi za mwalimu Nyerere na mwisho kabisa kwa Mkapa,baada ya hapo imekuwa Taasisi ya kisiasa. Inafanya kazi kwa maslahi ya wanasiasa na siyo Taifa na ndiyo sababu...
8 Reactions
27 Replies
3K Views
Linapotokea jambo la Kitaifa, liwe janga au jambo lolote lenye maslahi ya kwa Watanzania wote, siku zote Watanzania tumekuwa wamoja kwa kuweka itikadi na tofauti zetu kisiasa pembeni. Wilaya ya...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Wadau poleni kwa kazi. Nikienda kwenye hoja ya msingi, Ijumaa iliyopita bungeni, Mbunge wa Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, Ahmed Shabiby akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil ambaye amefariki ghafla kwa shinikizo la damu. Dkt. Tulia amelazimika...
5 Reactions
57 Replies
6K Views
Akizungumza na Dailynews digital, Dk. Tulia amezungumzia suala la rushwa kwenye kamati za bunge na kusema kuwa ufanyaji kazi wa kamati hizo hautoi mwanya wa rushwa Wabunge hawafanyi kazi peke...
0 Reactions
3 Replies
679 Views
Hili ni eneo lile lile na watu walewale, Ya Juu akiwa Mwenezi, Ya Chini akiwa RC mtoto mpendwa wa mama Tafakari mwenyewe
11 Reactions
40 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
1. Wale mahasimu wa vita Gaza wana siku 2 za kuleta mrejesho: 2. Inajulikana tambo "kupigana kama ngoma" hazitakosekana: 3. Si ajabu kwamba Natenyahu angedai washirika wake wamshike au...
1 Reactions
57 Replies
2K Views
Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita timu ya Serikali ikielekea mjini Maputo kwenye kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi. Kutoka kushoto Hamza Johari (mwanasheria), Patrick Tsere...
14 Reactions
68 Replies
6K Views
Wanabodi, Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is...
17 Reactions
356 Replies
60K Views
Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa...
6 Reactions
56 Replies
6K Views
Leo nimeshuhudia watu wakitembea kuwashawishi watu wajiunge na chama chao cha siasa, Watu hao walikuwa wawili walinifuata na mimi wakanambia nijiunge kwenye chama chao ili niwe mwanachama nipate...
3 Reactions
28 Replies
1K Views
Lema ana ujasili wa hali ya juu sana kwenye siasa za kitanzania. Asema kuwa kufanya siasa hapa Tanzania siyo hisani ya mtu bali ni kwa mujibu wa sheria. Ally Hapi inabidi ajitafakali maana kama...
22 Reactions
116 Replies
6K Views
Watanzania huwa tunapenda majibu marahisi kwenye maswali magumu. Huwa tunapenda kusingizia haya yafuatayo kwenye umasikini wetu, hasahasa anguko na mdororo wa uchumi wa miaka ya 80's hadi 90's...
15 Reactions
35 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza na kimepigiwa mstari. Katwale anawaza kuwa mkuu mbunge tu. Anachowaza ni kumg'oa Kalemani. Alipoteuliwa ukuu wa wilaya Chato hakuwa na muda kutatua kero za wananchi...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Tetesi zisizo rasmi ni kuwa baadhi ya watawala wa Tanganyika walikuwa wakiwahofia watu wa ukanda huo! Sina uhakika kama hayo ni ya kweli au ni porojo tu. Hata wengine wameenda mbali kwa kidiriki...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Tumemsoma Spika wa bunge_tz , Ndugu Ndugai kuhusu kikokotoo na mafao, tumewasoma na kuwasikiliza 'Waserikali' wakiwemo SSRATanzania wakitetea unyonyaji na uozo uliopo. Alhamis, Nov 29, CHADEMA...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Hivi Kuhamishia watu kutoka Bonde la Delta ya Rufiji Kunahitaji maombi? Wakati mnajenga bwawa na kukusanya maji mengi kiasi hiki hamkujua kwamba Kuna siku litakuja kuleta maafa? Wakati Wana...
0 Reactions
12 Replies
684 Views
Jinai haifi ndugu zangu, hata ikipita karne nzima. Makonda bado anafuatiliwa na jinamizi la kesi za utekaji na mauaji Ndugu, jamaa, na marafiki wa waathirika pamoja na waathirika wenyewe wa...
20 Reactions
53 Replies
3K Views
Back
Top Bottom