Kwenye mhadhara wa kudai katiba mpya ulioandaliwa na chama cha wananchi leo wajumbe wamesema lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025 twende na katiba mpya na wamemtaka rais Samia kuachana na mambo...
Kama malalamiko yaliyotolewa bungeni na mbunge wa mafinga bwana Chumi kwamba Tanesco wameshaanza mchakato wa kuanza kuagiza tena nguzo za umeme nje nchi ni ya kweli basi Tanzania uzalendo ni kitu...
Uzembe na utendaji mbovu ukiandamana sambamba na hujuma na ufisadi, katika wizara ya Nishati.Ndio hasa imekuwa chanzo cha sakata la kuadimika kwa nishati ya umeme nchini kwa sasa.
Wakati hali...
Mara baada ya Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kujiunga na kuinunua CHADEMA ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati...
Mchambuzi kwenye gazeti hilo ambaye ni mfanyakazi aliyepita wa shirika la afya duniani (WHO) amesema kitendo cha Magufuli kukataa lock down nchini Tanzania kuliokoa maisha ya maelfu ya watu hasa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo...
Leo aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amefika mahakamani kuendelea na kesi yake ya uhujumu uchumi inayomkabiri.
Sabaya ameonekana mwenye furaha na tabasamu tele usoni mwake...
Mbunge wa Geita vijijini Mh Musukuma amemkaanga na kumuonya Diallo kuwa ni mnafiki na aache mara moja tabia ya kumsema vibaya Hayati Magufuli kwani atamuumbua zaidi.
Musukuma amesema Hayati...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema hali ya kisiasa kwa chama hicho inazidi kuwa mbaya zaidi kwenye serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa sababu sasa hawaruhusiwi...
Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe amesema serikali ya Rais Samia imeamua kumtoa kafara aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya na kuwaacha wahalifu wengine ikiwemo waliompiga...
Baada ya jana askofu Gwajima kugomea baadhi ya mambo kwenye kamati ya kumhoji ,leo tena mbunge wa Ukonga Jerry Slaa akielekea kuhojiwa kwenye kamati ya bunge alipofika kwenye geti aligoma...
Ni kweli chadema na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na...
Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote...
Hospitali kubwa na ya kisasa kupita hata hospitali ya KCMC ya kanda ya Chato imefunguliwa rasmi na kuanza kutoa huduma bora kabisa kwenye ukanda wote wa maziwa makuu.
Kumbuka maendeleo ya Chato...
Nilijiuliza sana ina maana pamoja na makelele yote hayo hata ndani ya Chadema hawamwamini makamu mwenyekiti wao? Sasa huyu Lisu anaamika wapi maana hata kura za urais alipata kura chache sana mkoa...
Mh. Rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi wa...
Mwenzetu huyu amejipa kazi ya kupiga domo na kukosoa kila kitu kinachofanywa na watawala, kwake yeye hakuna jema hata moja liliofanyika hapa nchini!
Kutwa kuongeaongea tu kwenye makongamano bila...
Fuatilia kinachojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 5, leo Aprili 8, 2024 jijini Dodoma.
https://www.youtube.com/watch?v=RWUrwI58Nt4
Mbunge wa Musoma Mjini (CCM) Vedastus Manyinyi...
Ndugu zangu nimekutana na wazee wenye heshima zao na wamo ndani ya CCM wakilaumu mpango mzima wa Serikali wakutaka kupora hela zao za kustaafu eti kwa kigezo cha kuwapa kidogo kidogo kustaafu...
Naona sasa maandamano yameshika kasi na kila mtu anayataka. Watu wa Arusha wametutamanisha.
Maandamano ni haki ya kila mtu, ikiwemo wafanyakazi wa umma na sekta binafsi.
Kuna hili la hovyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.