Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa. Hapa nilipo ni matokeo...
25 Reactions
76 Replies
5K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 2, leo Aprili 3, 2024 Jijini Dodoma. https://www.youtube.com/watch?v=O1YezC6BSRo Mrisho Gambo, Mbunge wa Arusha ameuliza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wananchi wa Arusha wameingia mitini kumpokea RC mpya. Hii siyo Ishara nzuri kwa kiongozi anayependa kuabudiwa. Vyombo vya habari vilijiandaa kurusha live msafara wake lakini wamekwama kwa...
21 Reactions
32 Replies
3K Views
Kuna video zimerushwa mitandaoni zikionyesha mashabiki wa Yanga wakimtukuza Mama Samia kwa nderemo , nyimbo na vifijo , kiasi cha kuwashangaza hata wenyeji wao , Yaani kama vichaa wamelipuka...
16 Reactions
100 Replies
5K Views
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH WENGINE WATANO WAMEHUKUMIWA MIAKA 30, JELA LEO Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 15.12.2023, imewahukumu Masheikh watano kifungo cha miaka thelathini...
4 Reactions
89 Replies
9K Views
Wakuu natanguliza salamu , poleni kwa Ugumu wa Maisha unaowakabili nchini Tanzania kwa sasa , , basi baada ya pole hizo naingia moja kwa moja kwenye mada Ile siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na...
30 Reactions
209 Replies
17K Views
Kama ulidhani suala la Mapokezi ya Nabii Godbless Lema ni suala dogo basi kajipange upya. Taarifa za sasa zinaonyesha kwamba tayari baadhi ya Vigogo wa Nchi wameanza kumiminika Arusha...
17 Reactions
111 Replies
6K Views
Nafahamu Arusha ni mji wa kitalii, Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ameamua kwa makusudi kuipendelea Arusha hata akamtoa mwanaye wa pekee (Paul Makonda) ili aje...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona Makonda anaeleza kwamba amenusurika mara tatu kuuwawa; nimeona pia amekataa gari aliyoandaliwa kwenye mapokezi yake. Nimeona ameanza kukataa kupewa viwanja nikajiuliza wakuu wa mikoa...
1 Reactions
6 Replies
789 Views
'The Rufiji Saga: Dunia inasubiri mafuriko ya kwanza kufagia wanyama wote mbugani? Nini kesho ya mbuga ya Selous?' Haya ni mambo ambayo kama itabidi tuombe msaada wa kimataifa kwa kuwa selous ni...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni mwandishi nguli na mwana JF maarufu CV yake haina mashaka popote na ana heshima yangu kubwa tu. Ni mmojawapo wa watu aliyenihamasisha kujiunga na JF hasa kule jukwaa la intelligence Simhukumu...
120 Reactions
214 Replies
17K Views
Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Benki ya Maendeleo ya Afrika imeidhinisha kifurushi cha ufadhili cha dola milioni 696.41 kwa Burundi na Tanzania ili kuanza Awamu ya Pili ya mradi wa Reli ya Pamoja ya...
9 Reactions
72 Replies
6K Views
Spika wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa amesema mtu asiyependa Muungano wa Tanzania akajinyonge. Msekwa ametoa kauli hiyo leo Jumanne Aprili 26, 2022 wakati akiwasilisha mada kuhusu hatua mbalimbali...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
RC Sendiga atoa maelekezo miradi inayotekelezwa Mirerani Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Sendiga leo mapema akiwa kwenye ziara yake katika Mji mdogo wa Mererani Wilayani Simanjiro, amemuagiza...
0 Reactions
0 Replies
549 Views
Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
“Embracing Nyerere's Legacy for Tanzanian Progress” In an emotive and forward-thinking speech delivered at the Mwalimu Nyerere Memorial Academy on April 8th, 2024, Dr. Emanuel Nchimbi, the...
-1 Reactions
0 Replies
731 Views
Ilani ya CCM 2020 - 2025 inatekelezwa wapi? Mbona yaliyoandikwa kwenye ilani hiyo ya kurasa 303 hayaonekani kutekelezwa? Mfano ilani hiyo imetaja flyover kibao ikiwemo pale Mwenge mbona haijengwi...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Kume kuwa na utaratibu wa ajabu kwa awamu hii kutaka kuita kila mradi jina la Rais, na mbaya zaidi hakuna sheria wala utaratibu wa kufuata. Sasa hivi nasikia uwanja wa Arusha wanataka uitwe...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Mwanza. Imeelezwa kuwa wafanyakazi 39 kati ya 813 waliokuwa wameajiriwa katika mradi wa ujenzi wa daraja la JPM Kigogo Busisi wameukimbia mradi huo na kuajiriwa kwenye mradi wa ujenzi wa Reli ya...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom