Kumbukizi: Watanzania Waliosimamia kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,498
54,923
IMG-20240330-WA0003.jpg

Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita timu ya Serikali ikielekea mjini Maputo kwenye kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi. Kutoka kushoto Hamza Johari (mwanasheria), Patrick Tsere alikuwa balozi wa TZ nchini Malawi, Marehemu Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa (shahidi), the late Benard Membe alikuwa Foreign Affairs Minister, Prof Anna Tibaijuka alikuwa Waziri wa Ardhi, Fredrick Werema alikuwa Attorney General, John Komba mbunge kutoka Nyasa (shahidi).

Sema neno lolote kwa yoyote unayemjua. Tunamkumbuka kwa lipi? Kati ya hawq, nani alikuwa tegemeo zaidi kwq Nchi?
 
View attachment 2948958

Professor Anna Tibaijuka ndio muhimu kuliko wote
 
Hivi Captain Komba si ndio mtunzi wa CCM mbele Kwa mbele?

Hawezi kuiona Pepo.
 
View attachment 2948958
Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita timu ya Serikali ikielekea mjini Maputo kwenye kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi. Kutoka kushoto Hamza Johari (mwanasheria), Patrick Tsere alikuwa balozi wa TZ nchini Malawi, Marehemu Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa (shahidi), the late Benard Membe alikuwa Foreign Affairs Minister, Prof Anna Tibaijuka alikuwa Waziri wa Ardhi, Fredrick Werema alikuwa Attorney General, John Komba mbunge kutoka Nyasa (shahidi).

Sema neno lolote kwa yoyote unayemjua. Tunamkumbuka kwa lipi? Kati ya hawq, nani alikuwa tegemeo zaidi kwq Nchi?
Sawa
 
Rejea somo la picha la brother mshana.

Wanawake Bado Wana maisha marefu
 
View attachment 2948958
Siku kama ya leo miaka 10 iliyopita timu ya Serikali ikielekea mjini Maputo kwenye kesi ya mpaka wa ziwa Nyasa kati ya Tanzania na Malawi. Kutoka kushoto Hamza Johari (mwanasheria), Patrick Tsere alikuwa balozi wa TZ nchini Malawi, Marehemu Deo Filikunjombe mbunge wa Ludewa (shahidi), the late Benard Membe alikuwa Foreign Affairs Minister, Prof Anna Tibaijuka alikuwa Waziri wa Ardhi, Fredrick Werema alikuwa Attorney General, John Komba mbunge kutoka Nyasa (shahidi).

Sema neno lolote kwa yoyote unayemjua. Tunamkumbuka kwa lipi? Kati ya hawq, nani alikuwa tegemeo zaidi kwq Nchi?
Hakuna yeyote kati ya hawa ambye alikuwa tegemeo kwa nchi kuhusiana na suala hili la mipaka ya nchi. Suala la Mpaka wa nchi ya Tz na Malawi purely ni suala linalohusu taaluma ya Land Surveying, kwa bahati mbaya sana Hakuna hata mtaalamu mmoja wa masuala ya upimaji wa ardhi na urasimu wa ramani na usomaji wa ramani ( i.e. Land Surveyor, au Cartographer) aliyejumuishwa kwenye hii Delegates, sasa hawa Wanasiasa wanaenda kutatua mgogoro gani ikiwa hawana uelewa wowote ule kuhusu masuala ya ardhi, upimaji wa ardhi au hata usomaji wa ramani???? They are all ignorants in the matter of Land Surveying and Mapping, sasa watawezaje kutatua mgogoro huu wa mipaka ikiwa hawajui kitu chochote kuhusu suala Hilo????????
 
Matokeo yalikuwaje
 
Uamuzi wa kesi ni la Malawi au na Sisi tuna mgao
 
Hamza Johari kauza Bandari zetu.
 
Hakuna yeyote kati ya hawa ambye alikuwa tegemeo kwa nchi kuhusiana na suala hili la mipaka ya nchi. Suala la Mpaka wa nchi ya Tz na Malawi purely ni suala linalohusu taaluma ya Land Surveying, kwa bahati mbaya sana Hakuna hata mtaalamu mmoja wa masuala ya upimaji wa ardhi na urasimu wa ramani na usomaji wa ramani ( i.e. Land Surveyor, au Cartographer) aliyejumuishwa kwenye hii Delegates, sasa hawa Wanasiasa wanaenda kutatua mgogoro gani ikiwa hawana uelewa wowote ule kuhusu masuala ya ardhi, upimaji wa ardhi au hata usomaji wa ramani???? They are all ignorants in the matter of Land Surveying and Mapping, sasa watawezaje kutatua mgogoro huu wa mipaka ikiwa hawajui kitu chochote kuhusu suala Hilo????????
Wewe ndio ignorant usiyejua kuwa Rais wa Malawi yule mwanamama alianzisha ushenzi na Tanzania ikamjibu vilivyo.

Sidhani kama huyo mama ana taaluma yoyote ya Land Surveying, tuligombea mpaka sisi na Malawi, Hamza unayemuona hapo alichukuliwa na serikali baada ya kuandika makala nzito iliyopinga mawazo ya Fatuma Karume yaliyochukulia kuwa ndio kila kitu wakati ule.
 
Back
Top Bottom