Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia akiwa anazindua barabara ya Nyahua- Chaya mkoani Tabora ambayo ujenzi wake ulizinduliwa na Hayati Magufuli ameendelea kusisitiza kuwa wale wote wanaotangaza kwamba miradi ya awamu ya...
10 Reactions
87 Replies
7K Views
Wakati uharibifu wa mazingira ukiongezeka katika maeneo mbalimbali hasa ya vyanzo vya maji, Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Maharage Chande amesema ikiwa mvua za vuli...
13 Reactions
112 Replies
7K Views
Jiji la Arusha ni Makonda kila kona huku wananchi wakifurahia ujio wa RC huyo asiyevumilia uzembe wa aina yoyote ile linapokuja swala la kuwatumikia wananchi. Wananchi wa jiji la Arusha kwenye...
19 Reactions
95 Replies
7K Views
Tanzania sijui ni nani amewaloga watumishi wa umma. Kila wakikaa ofisini wanatafuta namna ya kuwafanya watu wasiende kuzalisha badala yake wakapange foleni kubishana na watumishi husika. Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sote tumeshuhudia jinsi Rais anavyohangaika kuteua na kutengua kila mara. Hali hiyo inadhihirisha kuwa Mh. Rais anashindwa kuwapata watu sahihi wa kuweza kumsaidia. Hivyo anabakia kubahatisha...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Jaji Warioba akihojiwa na Mwananchi Digital Aprili 7, 2024. amesema kuwa Mawaziri wasitokane na wabunge, "Bunge liwe ni bunge, serikali isiingiliane na bunge, na vizuri mawaziri wasiwe kwenye...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Serikali badala ya kupoteza maji kufungulia na hatimaye kuharibu mashmba na miji huko Rufiji basi wangewapa Dawasco hiyo kazi wafunge mtambo wa maji kuleta Dar huku maji ya ziada tunafyonza...
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Sasa ndio muda mwafaka Kwa waheshimiwa kujionesha mbele ya jamii kuwa wako karibu na wananchi hasa tunapoelekea kwenye kipindi Cha uchaguzi. Baadhi ya matukio yanayoweza kuambatana na kujipitisha...
0 Reactions
2 Replies
411 Views
Bado watu hawajamsahau Jiwe 😁😁 Sasa kama alikuwa kipenzi Chao Wanyonge Kwa nini inaonekana alipora uchaguzi? Kwani hayo mambo mapya anayoyasema Babu Warioba ni yapi Hadi amechafukwa na kukerwa...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Taarifa za kwamba DP World itaboresha bandari ya Dar es Salaam na mapato kuongezeka hiyo ni ndoto ya mchana kweupe! Hawa watu wamejipanga kuikamua nchi wanachofanya ni kupata pesa kwa mkataba hewa...
23 Reactions
84 Replies
5K Views
Mradi wa Bwawa la Nyerere tuliambiwa ungekamilika June 2022, lakini haikuwa hivyo. Hata hivyo mwezi wa 12/2022 bwawa la mwalimu nyerere lilianza kujazwa maji, ambapo Ili bwawa kujaa kabisa...
10 Reactions
24 Replies
3K Views
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akizungumza wakati wa Mkutano na Waziri wa Ushirikiano wa Maendeleo na Sera za Mabadiliko ya Tabianchi wa Serikali ya Denmark, Mhe. Dan Jørgesen...
1 Reactions
2 Replies
558 Views
Baada ya nchi nzima kushtushwa na hoja namba 5 kutoka kwenye hoja za CHADEMA kuhusu muswada wa sheria ya uchaguzi leo nimeona tukumbushane gharama tutazozilipa wananchi kwa ongezeko la wabunge...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Komredi KACHEBONAHO Atoa Futari kwa Kaya 300 Kyerwa Mjumbe wa Baraza kuu la jumuiya ya vijana UVCCM Taifa kutoka mkoa wa Kagera Ndg. Leodigar Kachebonaho ametoa mkono wa Futari kwa kaya Zaidi ya...
0 Reactions
1 Replies
666 Views
Serikali kusababisha Mafuriko; Waziri wa Nishati awajibishwe na Wananchi wa Rufiji na Kibiti wafidiwe. Chama cha ACT Wazalendo kinataka hatua kali za uwajibishaji dhidi ya Waziri wa Nishati Ndg...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa sheria za nchi, Mahakama haimiliki kesi, kwa msingi kwamba mahakama inapokea tu malalamiko (kesi), mahakama haitafuti kesi mitaani ili ije izisajili. Mahakama ni kama mtoto mchanga...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
✳️ UVCCM YACHANGIA WHEEL CHAIR TANO (5) KUWAUNGA MKONO TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO 🗓️07 Aprili, 2024 📌Karimjee, Dar es Salaam. Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi imechangia...
1 Reactions
3 Replies
602 Views
KC mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema Dr Samia alipaswa Kutangaza Kifo Cha Hayati Magufuli akiwa ameshaapishwa Zitto amesema kitendo Cha kuwafanya Wakuu wa Vyombo Vya Ulinzi na Usalama...
17 Reactions
209 Replies
12K Views
Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?" Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa. Akasema,"Baba yangu aliamuru...
2 Reactions
4 Replies
590 Views
Back
Top Bottom