Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania Chini ya CCM ni Nchi ya Vichekesho.Utasemaje Tuna TUME HURU ya UCHAGUZI wakati Mwenyekiti wa Tume na Makamu Mwenyekiti wanateuliwa na MGOMBEA URAIS? TUMEBADILI JINA la TUME lakini TUME...
9 Reactions
30 Replies
1K Views
Bismilahir Rahmanir Rahiim SHURA YA MAIMAMU TANZANIA S.L.P. 2055 DAR ES SALAAM. WARAKA WA IDD - Shawal 01, 1445 - April 10, 2024 Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza...
2 Reactions
10 Replies
548 Views
-- Bwawa limeelemewa na maji, namna ya kuliokoa lisivunje kuta zake ni maji kuachiwa, matarajio ni kwamba maji yataachiwa na lita 700,000 kwa sekunde zitamwagwa -- Wananchi wameanza kuambiwa...
23 Reactions
139 Replies
9K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSIANA NA MAAFA YA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI MKOANI PWANI
1 Reactions
2 Replies
672 Views
Mbombo ngafu, haijaisha mpaka iishe, kama haitoshi kwa mafuriko yanayotokea sasa Rufiji, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetangaza uwepo wa mvua kubwa katika maeneo kadhaa, pamoja na Mkoa wa...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Chama cha mapinduzi baada ya kuona siasa zinazalisha viongozi shupavu kutoka vyuoni kilikuja na mbinu yakukataa siasa kwa wanafunzi wa vyuo. Ili watimize lengo lao wakapiga marufuku siasa...
2 Reactions
13 Replies
965 Views
Vijana wa chadema walipokwenda Rufiji Mkuu wa wilaya alijibu kimzaa kwamba tatizo siyo kubwa. Waliposema wataanza kurusha picha za hali ilivyo serikali imeshtuka imepeleka mawazri na watendaji...
0 Reactions
3 Replies
544 Views
Ni Maombi yetu kwako Mungu wa Mbinguni uwafanyie wepesi Wanachama wa Chadema Ili badala ya kuparurana wao kwa Wao basi Wapendane Chadema ni Chama pekee Cha Upinzani tulichobaki nacho kwa manufaa...
2 Reactions
8 Replies
480 Views
Ndugu zangu Watanzania, CCM Ina viongozi majasiri, imara, hodari, shupavu na madhubuti sana.ina viongozi wasema kweli na wasioona haya kuusema ukweli, ina viongozi ambao wakati wote wanazungumza...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimesoma kitu kinachoitwa usafirishaji haramu wa binadamu huko Duniani na mbinu zinazotumiwa. Takwimu zinaonyesha kwamba hii biashara ni kubwa labda namba tatu baada ya biashara ya silaha na...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Tuongee peupe leo, uwazi na ukweli. Mtu yeyote makini atagundua kwamba karibu kila kauli anazotoa Mwigulu zinalenga kutaka kuonyesha Raisi Samia ni bora sana kuliko alivyokuwa Raisi Magufuli...
31 Reactions
98 Replies
6K Views
Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Ukilinganisha na mtangulizi wake, rais Samia amefanya mengi mazuri yanayoliunganisha taifa. Lkn kuna mambo 4 tu ambayo yanafifisha nyota ya rais Samia ktk uongozi . Mambo hayo 4 ni:- 1. Kukwepa...
21 Reactions
69 Replies
4K Views
Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World...
31 Reactions
122 Replies
9K Views
Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa. Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa...
49 Reactions
162 Replies
11K Views
Utangulizi: Jana nimeweka thread ya mkutano wa wabunge kadhaa wa Kamati ya Nishati na Madini kisha ikang'olewa kwa kile kilichoelezwa kutojitosheleza. Lakini kile nilichokiandika kikaandikwa na...
0 Reactions
89 Replies
10K Views
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa (Mkoa wa Mjini Unguja, Zanzibar), Mhe. Amina Ali Mzee ameongoza semina ya mafunzo ya kutumia gesi kupikia na amewataka wajasiriamali kutumia nishati safi ya...
0 Reactions
4 Replies
524 Views
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Aliekuwa Katibu wa Vijana wa Chama cha NCCR-Mageuzi Taifa na Makamu Mwenyekiti wa Jukwaa la Vijana TCD Kitaifa, Elisante Ngoma ameteuliwa na Kamati Kuu ya Chama hicho kuwa Mkuu wa Idara ya Uenezi...
0 Reactions
4 Replies
719 Views
Back
Top Bottom