2005: Kikwete vs Mbowe Uchaguzi ulikuwa mwepesi sana kwa CCM
2010: Kikwete vs Dr Slaa Uchaguzi ukawa mgumu kiasi kwa CCM
2015: Magufuli vs Lowassa Uchaguzi ukawa mgumu sana kwa CCM
2020...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Serikali ifanye mapitio ya kina ya mgawanyo wa bajeti kwa ajili ya posho za mazingira magumu kwa Maofisa wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema tayari bomoabomoa imeanza na inaendelea pembezoni mwa Mto Msimbazi ukianzia Jangwani ambapo amesisitiza kuwa zitabomolewa nyumba nyingi...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi...
Watu mnaopigia debe vifurushi vipya vya NHIF mnapaswa kutafakari kwa umakini sana. Hivi vifurushi vipya ni vya kipuuzi na ovyo kuliko kikotoo na sheria mpya ya mafao kwa wenza wa vigogo.
Kigezo...
Baada ya Ndugu Paul Makonda kuwekwa kando kwasababu ama ya makosa yake ya kiufundi au mbinu za wapinzani wake ndani ya CCM.
Nini kimemngo'a Paul Makonda?
Kwanza, Style yake ya vita isiyokwisha...
Jimbo la Musoma Vijijini lina mradi kabambe wa ujenzi wa maabara tatu za masomo ya sayansi (fizikia, kemia na baiolojia) kwenye Sekondari zake zote za Kata. Wananchi na Serikali yetu...
Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita?
Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli...
Habari za jumatatu Mh. Rais
Nimesikia kuwa baadhi ya wasaidizi wako wa karibu wanawatumia baadhi ya watu kukuchafua ( kukutukana). Nilikua nataka nikushauri Rais usije ukakubali kuyumbishwa na...
Huwezi kuta hata waziri wa Fedha wa Rwanda anapost picha ya Kagame akimsifia sifia usidhani hakuna kitu wanafanya, wanafanya mengi ila huwezi kuta waziri wa Fedha wa Rwanda anafanya huo...
Watumishi hawana haja ya elimu kuelimishwa kuhusu kikokotoo.
Kila mmoja sasa anajua faida au hasara ya hichi kikokotoo kipya kwa kulinganisha wastaafu wa miaka 4 iliyopita.
Serikali kila siku...
CAG amewasilisha Ripoti hii Kwa mujibu wa Kifungu cha 143 (4) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Kifungu cha 28 cha Sheria ya Ukaguzi wa Umma, Sura ya 418, kuhusu...
Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa miradi ya maendeleo imetolewa kwa mwaka wa fedha 2022/23 kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na...
Taarifa ya Jumla ya Mwaka kuhusu ukaguzi wa mifumo ya TEHAMA kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, na...
Ripoti 21 za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG), za ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2022/2023 zimewasilishwa bungeni.
Kukabidhi ripoti hizo kunakuja baada ya CAG, Charles Kichere...
Miaka 10 ya kupigania Maslahi ya wote na Zanzibar yenye Mamlaka kamili.
Ndugu waandishi wa habari, ACT Wazalendo inatimiza 10 tokea kuanzishwa kwake. Kilele cha Miaka 10 ya ACT Wazalendo itakuwa...
Watumishi wa Mungu tunaendelea kumwombe Dr Samia Suluhu Hassan ili Mwenyezi Mungu amjalie neema ya kuyafahamu haya na ampe nguvu na ujasiri wa kuyatekeleza kwa Uwezo wa Allah.
2030 sio mbali Dr...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imeonyesha taasisi za Serikali zinadaiwa mikopo ya muda mrefu yenye thamani ya Sh1.73 trilioni ambazo hazijalipwa kuanzia mwaka...
Ndugu wakulima wenzangu habari njema zimetangazwa.
Rais wa JMT Samia Kupitia Waziri wa Kilimo bwana Bashe ametangaza kuanza kununua Mahindi Kwa awamu ya pili baada ya awamu ya kwanza kukamilika...
Ripoti hii ya mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2022/23 imetolewa kwa mujibu wa Ibara ya 143(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Kifungu cha 34 cha Sheria ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.