ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,076
- 49,785
Ndugu wakulima wenzangu habari njema zimetangazwa.
Rais wa JMT Samia Kupitia Waziri wa Kilimo bwana Bashe ametangaza kuanza kununua Mahindi Kwa awamu ya pili baada ya awamu ya kwanza kukamilika na wakulima kuvuna Bilioni 194.
Bei ya Sasa ni sh.700 Juu ya wastani wa bei ya soko ya shi.500 hivyo wale wenye mahindi na nafaka zingine wapeleke kwenye Vituo vya ununuzi kuanzia Sumbawanga Hadi Kiteto Ili wakavune mapesa.
Hongera sana Rais Samia Kwa kuendelea kuwajali wakulima.Ni Kwa mara ya kwanza mwaka huu Serikali itanunua tani zaidi ya 500k kutoka wastani wa tani 250k ambazo zilikuwa zinanunuliwa miaka ya nyuma tena Kwa bei za chini na masharti kibao.
View: https://www.instagram.com/p/C1KuADTLwJT/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
My Take
Ununuzi huu utaendelea Hadi hapo Serikali itakapokuja kufikia lengo lake la kuhifadhi tani Milioni 3 by 2030.
Vijana ingieni kwenye Kilimo,msipotajirika awamu ya mama basi hutokuja kutoka tena.
View: https://youtu.be/JUe0hVi0COw?si=sxLsRnG0Gbm5udzv