Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukiwa leo umesherehekea sikuku ya Idd vizuri. Tumia hata dakika moja kuwaombea Watanzania wenzetu wa Rufiji wanaopitia wakati mgumu kwa mafuriko. Ukiwa sebuleni na familia yako ukitafakari ya...
2 Reactions
17 Replies
854 Views
Kama sio Vigogo , basi wake zao , kama Si wake zao basi ni Chawa, kama Si Chawa basi ni CCM haiwezekan ndan ya mwez, V8 2 zikamatwe , Moja ikiwa na bendera ya CCM ,Leo hii ni STL. Siamin kama...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunaposema Vyama vya Siasa haviwezi kutengeneza Katiba mpya ya Wananchi muwe mnatuelewa Sasa NEC imebatizwa kwa Maji Mengi imekuwa Tume Huru ya Uchaguzi Chadema na ACT wazalendo mnafeli Sana...
2 Reactions
7 Replies
610 Views
Nadhani tusiangalie binadamu tu, bwawa la Mwalimu Nyerere limejengwa katikati ya Mbuga ya Wanyama, haya mafuriko yanawaathiri kiasi gani? Hii ni hifadhi ambayo iko katika orodha ya hifadhi zenye...
12 Reactions
42 Replies
3K Views
Rostam Aziz: mahakama zetu sio huru ni sahihi Kwa Dp world kuweka kipengele cha mahakama ya South Africa. Kwanini mahakama zisimchukulie hatua kali iwe fundisho. Anafikiri ukiwa na pesa unaweza...
39 Reactions
54 Replies
4K Views
Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais na Majaliwa alikuwa Waziri Mkuu chini ya utawala wa Hayati Magufuli. Wakati huo mengi yalifanyika na hakuna siku wawili hawa waliwahi kupinga. Baada ya Rais...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki...
4 Reactions
8 Replies
944 Views
Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina Sekondari 28, kati ya hizo 26 ni za Kata/Serikali na 2 ni za Binafsi (private). Wanavijiji...
0 Reactions
0 Replies
405 Views
TRA kuweni serious ! Kwenye Mshahara wangu wa mwezi nakatwa kodi na madudu mengine karibu nusu ya Mshahara kabla sijaupokea, nafungua Biashara mnataka Kodi kabla sijaanza,Mwenye Nyumba ya...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Hili Neno la kuwa uchaguzi utakuwa huru na haki linanikumbusha wakati wa uchaguzi wa 2020 Rais Magufuli aliwatangazia Watanzania kuwa Uchaguzi wa 2020 utakuwa huru na haki. Yaliyojitokeza katika...
0 Reactions
2 Replies
497 Views
Hii ndio habari inayobamba huko biunga vya CCM Mbeya ,kwamba Spika wa Bunge na Rais wa Mabunge Duniani atakuwa mgombea pekee wa Jimbo la Mbeya Mjini Kwa time to ya CCM. ---------- Kauli ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Tunatafuta solutions juu ya hali inayo endelea RUFIJI. Kwa mfano ungekuwa wewe ndio kiongozi mwenye dhamana ungechukua hatua zipi juu ya hali inayo endelea RUFIJI? Tiririka mawazo yako...
3 Reactions
54 Replies
2K Views
Serikalini watu wasiopenda rushwa, wanaoona mbali na wenye uzalendo awadumu. Moja ya chanzo amekieleza Mh. Mchengelwa kwamba wanaopata madaraka hawana akili kubwa na hivyo wanaogopa wenye akili...
0 Reactions
1 Replies
486 Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda amezuru kaburi la hayati Sokoine ikiwa ni maandalizi ya Kumbukizi la Miaka 40 ya Kifo chake Makonda amewataka Vijana wa Tanzania kuiga Uzalendo wa hayati...
4 Reactions
6 Replies
972 Views
1. Dr. Nyambura Moremi Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii. Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya...
21 Reactions
115 Replies
15K Views
Kiongozi mstaafu wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, Tume ya sasa ya Uchaguzi (NEC) inapaswa kujiuzulu ili kuruhusu kupatikana kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kwa mujibuwa sheria...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Waziri mh Jenister Mhagama amesema serikali itagharamia huduma zote wanazostahili kupata Waathirika wa mafuriko ya Rufiji Aidha mh Mhagama amesema wananchi wawe wasikivu kwa Viongozi wa Serikali...
1 Reactions
2 Replies
602 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Hakuna aliyeleta mafuriko, Serikali ya awamu ya Sita iko nanyi kuhakikisha kila mtu anapata huduma za kibinadamu. Kama tulivyokuwa wamoja Rufiji, tuko pamoja Arusha pia. Badala ya kusmbaza...
0 Reactions
4 Replies
485 Views
Back
Top Bottom