Report za CAG zinatoka tunashuhudia hasara kwenye mashirika na pesa zinaibiwa.
Kuna haja gani ya kuendelea kuhitaji watu wenye uzoefu mkubwa kusimamia hayo mashirika?
Ndugu wanajamii forum hao...
Mwaka jana nilibahatika kuangalia mfumo wanaotumia kufanya mahesabu ya wastaafu.
Kikubwa nilichokiona ni kwamba, wafanyakazi hawawezi kulipwa mafao yote baada ya kustaafu.
Mfumo/Kanuni yenyewe...
Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato.
Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe...
Leo alfajiri Tarehe 13/4/2024 limepita gari la matangazo katika jiji la Mbeya na vitongoji vyake kwamba waziri wa ardhi atakuwa ukumbi wa mkapa kusikiliza na kutatua KERO.
Slaa unajua uamuzi wako...
Pamoja na ukweli kwamba Ibara ya 107A(2)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka Mahakama kutoa haki bila kujifunga na mambo ya kiufundi kiasi cha kushindwa kutoa haki,mambo kwa...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana amewataka Wanaccm halisi kuwatambua Ndumilakuwili Wote ambao mchana wako CCM na Usiku wako Chadema na wawaweke pembeni
Aidha Kinana amesema katika Dunia ya...
Kupitia Uongozi wa Viongozi Wetu, Tunajifunza Ushupavu na Hekima Kubwa Katika Kukabiliana na Mambo Ya Kijamii, Kitaifa, Kimataifa, na Mmoja mmoja.
Tunajifunza Kuwa Uongozi Ni Kuwa Mfano Pale...
Mbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu?
Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani.
Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa...
Mwenyekiti wa CCM (W) Rorya, Ongujo Wakibara na DC wa Rorya, Juma Chikoka jana usiku wamefanya Kikao na Viongozi wa Tarafa ya Suba nyumbani kwa Mwenyekiti wa CCM (W) Ongujo, Wakibara Shirati...
Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), imeliomba Bunge likubali kuidhinisha Sh10.1 trilioni ambazo ni makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha...
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini, Nabii wa Mungu Godbless Lema amewataka wakuu wa vyombo vya Usalama vya Tanzania kujiuzulu mara moja kutokana na Uzembe wa kutokujua kwamba Rais anatukanwa...
Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais
nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa ni...
Mbwembwe zinazofanywa na makonda na tabia yake ya kujifanya yeye ni special kuliko wakuu wa mikoani wote leo ingemtokea puani.
Ashukuriwe Mungu leo Kuna mvua Arusha, lakini mji umesimama! Watu...
WAZIRI KAIRUKI KUMWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MIOMBO, WASHINGTON DC
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Wakati serikali ya Tanzania ikiendelea kuficha ukweli, Kampuni ya ujenzi ya Uturuki ya Yapi Merkezi imeripoti pengo la dola bilioni 1.8 (zaidi ya shilingi trilioni 4.5 za kitanzania) katika...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilipata hasara ya Sh56.64 bilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni ongezeko la asilimia 61, ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita.
Ripoti ya mwaka ya...
Kadinali Pengo huyu Novemba mwaka 2019 akiwa kwenye kongamano la kumsifia Magufuli alisema kauli hii ifuatayo “Tunajiuliza baada ya Magufuli atakuwa nani ila mkiwepo wa aina yako (Makonda) wengi...
Leo Kenya imepunguza bei ya mafuta kwa kiasi kikubwa na fedha yao imeimarika kutoka Ke 160 kwa 1 usd na kupanda kwa Ke 130 kwa 1 usd lakini kwa Tanzania kila kukicha bei ya mafuta inazidi kupaa na...
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.