Ni jambo gani lililofanyika Monduli linaloashiria kulikuwepo na viongozi wa Kitaifa wanaomuenzi Mhe. Sokoine?
Nani amesimama kuzungumzia Sokoine kama ambavyo tunashuhudia ikifanyika kwa mwalimu...
Moja kwa moja kwenye mada
Huyo ni tatizo, ana a lot of criminal allegations, wewe ni mtu wa rule of law, huyo dogo hafuati utawala wa sheria. it is very difficult to deal with an ignorant person...
Kuitana "mama yangu", "baba yangu", "mdogo wangu", "kaka yangu", "dada yangu", "shangazi yangu", "shemeji yangu" na vyeo vingine kama hivyo katika shughuli za siasa na umma ni utamaduni mpya...
Tunaweza kujiuliza maswali magumu kuhusu usalama wa viongozi wa chama cha mapinduzi. Lakini pia ikawa hoja ya usalama wa viongozi na watu maarufu nchini.
Sina uhakika kama anayetukanwa ni Rais au...
Imebidi nicheke, CCM wamethink deep na kuona changamoto kubwa inayowakabili wananchi kwa sasa ni kutaka TUME HURU, tume ambayo itakuwa inasimamia uchaguzi kwa haki.
Solution tuliyokuja nayo kama...
Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya
Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika
Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu
Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji...
Hadi sasa Viongozi waliotengenezwa na hayati Lowasa na hayati Samwel Sitta ndio wameonekana kuwa na Ujasiri ndio hawa Akina Makonda, Zitto Kabwe, Nchimbi, Bashe, Mbowe, Aziz nk
Kundi la pili ndio...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Thomas Ole Sabaya amewaonya wakazi wa Longido kutokuchagua wapinzani kwenye uchaguzi ujao wa serikali za mitaa, kwani serikali haitopeleka huduma...
Nchi nyingi sana Duniani huwa zina take Care sana ya Raia wao, wakati wa shida hasa inapo tokea majanga kama mafuriko au moto au tetemeko, hata kama janga limekumba raia mmoja tu, haijalishi.
Na...
Kwanza kabisa ni vyema unaposoma huu uzi upanue uelewe wako na kiwango chako cha kuyaangalia mambo kwa mapana na marefu.
Kwa miaka miwili mpaka mitatu sasa kumeibuka wimbi kubwa la vijana...
1. Katiba Mpya - Lazima itungwe katiba mpya yenye meno inayoweka hatua anazopaswa kuchukuliwa kiongozi endapo ataivunja. Katiba hii iweke misingi ifuatayo;
a) Rais ateue Wakuu wa Vyombo vya...
President John Magufuli of Tanzania initiated a number of large-scale infrastructure projects during his tenure, including:
Tanzania Standard Gauge Railway (SGR): A 2,561-kilometer railway line...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member...
Sioni kama ni vyema CCM kuendelea kutumia nguvu nyingi kujitamba na kujigamba majukwaani kwani Hadi Sasa sioni chama Cha kushindana na CCM. Upinzani wenyewe ni kama upo haupo, chadema nao ni kama...
Binafsi ningependa Paul Makonda apewe huu Mkoa wa Dar.
Ila kwa kuwa Mwenyekiti wetu wa Chama ameona kimkakati Paul Makonda akaivunjilie mbali Chadema na kuizika kabisa, tunaunga mkono uteuzi huu...
Naibu Katibu mkuu wa CCM John Mongella amesema Ushindi wa CCM ni lazima hakuna Mjadala kwani sekretarieti mpya imesheheni Watu Wenye utaalamu wa mbinu mbalimbali
Mongella amesema Wanaccm Msiogope...
Tunapoandika humu kuhusu dhiki za kutisha za watanzania kwa sasa tunaonekana Wachochezi.
Hebu niambie huu ni usherekeaji gani wa sikukuu? Hapa kuna mtoto yeyote wa kiongozi wa Tanzania? Jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.