Wananchi katika Mkoa Wa Arusha wameeleza kuridhishwa na kazi inayoendelea kufanya na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Nchini hususani katika kuwaleta wananchi pamoja na utekelezaji Mbalimbali Wa...
Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu.
Sasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika mahojiano yaliyofanywa kati ya mwanahabari Odemba na Mbunge wa Arusha Mjini Mheshimiwa Mrisho Gambo ameeleza mambo mengi sana kuhusu mbunge huyo wa zamani wa Arusha...
Salaam, Shalom!!
Katibu MKUU wa CCM ameanza ziara yake kivyake na anasema yake, wakati huo huo Mwenezi naye ameendelea na uelekeo wake.
KM anasema, viongozi wa CCM wasiwakaripie hadharani...
Hivi upinzani umeishiwa kabisa hoja na sera za kuwasemea wananchi na taifa letu kwa ujumla mpaka wadandie mabaya na matusi ya wana CCM?
Tunafaidika nini sisi wananchi kwa kutukanana wana CCM...
Baadhi ya taa za barabarani katika maeneo mbalimbali ya nchi yetu zinapowekwa kwa mara ya kwanza huwa zinawaka lakini baada ya muda utakuta au baadhi ya taa au taa zote kwenye barabara husika...
Sijaelewa ni nani aliyewafunza waandishi wetu wa habari yaani Taarifa za habari kwenye T.v ,redio na magazeti zimejaa habari za majanga tu hakuna ubunifu.
Kwa asilimia kubwa yapo mema yanayotokea...
Habari Wana JF,
Nafahamu kuwa siasa haiangalii elimu uliyo nayo hata Kama we ni darasa la Saba una weza kuingia kwenye siasa. Mimi ni kijana nilie hitimu kidato Cha nne lkn kila siku za maisha...
Vyombo vyetu vya Ulinzi,Usalama na Ujasusi vinafanya kazi kubwa sana toka tupate uhuru..Lakini pia bado tuna mianya mingi na mapungufu ambayo vinapaswa kumulika zaidi Kwa faida ya Taifa letu...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani...
Habari wadau,
Kuna wizi mkubwa sana unaendelea TARURA, na uenda mimi sio mhanga pekee, lakini ni vema nifichue hiki kitu kwa faida yangu na wengineo.
Mimi ninafanya shuguli zangu nchini...
Taarifa zilizotufikia kutoka Mjini Tanga, zinaeleza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezuiliwa kufanya mkutano wa Hadhara Mjini humo, Mkutano huo ulipangwa kuongozwa na...
Mwenezi wa CCM Komredi Amos Makala amesema katika Ziara yao Katavi na maeneo mengine watasikiliza kero za wananchi lakini siyo zile zilizoko mahakamani
Makala amesema wanajua Wananchi Wana...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema sana ,nilishaandika sana na nilishazungumza sana humu jukwaani na sehemu mbalimbali kuwa chadema ikiongozwa na Lisu huwa hawafikirii vizuri kabla ya kutamka...
Heshima sana wanajamvi,
Huko CCM mambo yamekuwa mambo nahodha haheshimiki tena kila mmoja na lwake.Wote wanataka nafasi ya nahodha wanasema muda wake umeshapita keshakula vya kutosha atuachie na...
Wadau nawasabahi,
Nimeona niingie Mtandaoni kwenye Wajuzi wa Mambo.Hivi majuzi Nchi imefanya kimbukumbu za Viongozi wetu Waliotangulia Mbele za haki.Viongozi hao ni pamoja na Rais za Zanzibar...
KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI?
"Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu...
Sio masikhara kuhusu hili swali. Inawezekana mwanaharakati huru Cprin Musiba ni mtu anayehusudiwa (role model) na vijana wa chama cha Mbowe (CCM B). Kwanini natamka hivi? Kwanza ikumbukwe...
Kuna kitu hakipo sawa ndani ya CCM ya Samia.
Nguvu inayotumika kusema fomu ni moja tu ya mgombea urais mpaka anachangiwa pesa sio ya bure.
Mange alipost matusi ya nguoni kwa Rais kisha akaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.