Anayetakiwa kumrithi Uenezi Paul Makonda kwa hali na Siasa za sasa ni huyu

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,231
1,404
Baada ya Ndugu Paul Makonda kuwekwa kando kwasababu ama ya makosa yake ya kiufundi au mbinu za wapinzani wake ndani ya CCM.

Nini kimemngo'a Paul Makonda?

Kwanza, Style yake ya vita isiyokwisha na waliotazamwa kama wapinzani wa JPM ilikuwa inakipasua chama vipande vipande.

Pili, Style yake ya kukusanya kero bila kueleza mafanikio ya Serikali ilikuwa inamjenga zaidi yeye binafsi kwa gharama ya kupunguza umaarufu wa Serikali na hata Chama hili lingefaa zaidi endapo tu yeye angekuwa Mgombea wa CCM 2025.

Tatu, Uwezo mdogo wa kutetea mafanikio ya awamu ya 6 hasa kwa kushindwa kuitambua awamu yenyewe kulipunguza sifa muhimu kuweza kuendelea kuwa msemaji Mkuu wa Chama.

===
Sasa mjadala ni mwana CCM gani anastahili kubeba jukumu hili hasa wakati huu mgumu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu na ule wa Oktoba 2025.

Nimeona majina kadhaa yanatajwa kama Mhe John Mongela, Mhe Ali Happi, Mhe Amos Makala,Mhe Anthony Mtaka,Mhe David Kafulila, Heri James na hata Ndugu Martin Shigella.

Hata hivyo, Wote hawa hawatajwi kwa sifa za kwanini wataijenga CCM kuhimili ushindani wa kisiasa au kukubalika hasa nje ya CCM bali wanaelezwa kwa namna walivyo na uswahiba au connections na baadhi ya wazee wenye ushawishi mkubwa ndani ya CCM.

Naomba nianze kwa kuchambua sifa za mwenezi anaetakiwa kwa sasa kisha nichambue mmoja baada ya mwingine katika hawa wanaotajwatajwa;

1. Mwenezi lazima awe na uwezo kutetea mafanikio ya serikali ya CCM kwa hoja na takwimu.

2. Mwenezi lazima awe na uwezo wa kumtetea Rais Samia Suluhu Hassan kwa hoja za msingi na sio mapambio na ngonjera.

3. Mwenezi lazma awe na uwezo unaoendana na upeo wa vinara wa upinzani kama akina Tundu Lissu, Zitto Kabwe, John Heche, John Mnyika katika kujenga hoja waziwazi hata kama ni midahalo.

4. Mwenezi hapaswi kuwa mtu anayetazamwa kama mfuasi wa kambi fulani ndani ya CCM ili wanachama na viongozi wote wamsikilize na wawe na amani kufanya nae kazi kwa umoja wa chama hasa kuelekea 2025.

5. Mwenezi lazima awe na upeo kuweza kumudu na kusikilizwa na jamii ya social media na wasomi ambayo kuna watu wamejijengea himaya zenye ufuasi mkubwa na ni Muhimili mkubwa wa upinzani kuliko hata vyama vya upinzani kama ilivyo kwa Maria Sarungi, Kigogo na wengine wengi.

6. Mwenezi lazima awe ni mtu ambae umma unaweza kumsikiliza kwa kuwa na hoja zenye uzito na asichokwe kwa hoja zilezile (Charisma )

7. Mwenezi lazma awe mtu ambae anaweza kuongea na viongozi wa Serikali waone wanaongea na mtu anaejua Serikali hivyo wampe heshima bila kumuogopa na akiongea na watalaamu asidharaulike kwa kuonekana anapiga porojo za siasa tu.

8. Kwakuwa 45% ya wapigakura wote Tanzania ni vijana mwenezi lazima awe ni kijana msomi na mwelevu na mtu anayeichukia rushwa kwa maneno na matendo yake.

Hapa chini nafanya ranking kwa hoja hizi 8 Kwa majina haya 10 kwa Leo ambayo nadhani kama yatazingatiwa tutapata Mwenezi ambaye Wakati unamwitaji.

1. Ali Hapi 67%

2. David Kafulila 77%

3. Amos Makala 65%

4. John Mongela 65%

5. Martin Shigela 66%

7. Heri James 70%

8. Antony Mtaka 71%

9. Albert Chalamila 69%

10. Joketi Mwegelo 58%

Kila lenye heri chama Cha Mapinduzi,

Mungu ibariki CCM.
 
Hakuna hata mmoja miongoni mwa hao. Katibu wa NEC itikadi na uenezi anaweza kuwa mwanamke. Je, ni Jokate?

Kwa nini Jokate? Ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kuhamasisha na kusimama vema Kwa anachofanya. Hii ndio ramli yangu
 
Aisee Kafulia ni bonge la kiongozi, ni kiongozi mwenye maono, mnyenyekevu, mwenye hekima ya utu, anajua mazingira gani aongee nini, ni muunganishaji wa watu, kwa ufupi Kafulila nimoja ya viongozi bora kabisa tena sana.

Ona hapo PPP center kama mkurugenzi kafanya mambo makubwa sana yenye manufaa kwa taifa.

Tunamuombea watanzania Raid Dkt Samia ikimpendeza na Kamati yetu ya CCM imteue ndugu comrade Kafulila.
 
Hakuna hata mmoja miongoni mwa hao. Katibu wa NEC itikadi na uenezi anaweza kuwa mwanamke. Je, ni Jokate ?

Kwa nini Jokate? Ni mtu mwenye uwezo mzuri wa kuhamasisha na kusimama vema Kwa anachofanya. Hii ndio ramli yangu
Dah Jokate watapoteza sana, Jokate sidhani kama anaweza.
 
Makonda aliingilia yasiyo muhusu wakampindua na yake magari yake na sasa anakuja kwenye mkoa utakao mwonesha kuwa hapa kihere here kwisha . Simtaona huu mkoa mbaya unajua kukomesha watu aisee. Mf. Mie nikomeshwa huku hadi keroo .
 
Kwa hapo naenda na 2,3,4, Orodha haijazingatia nani wa kwanza nani wa mwisho
 
CCM INAHITAJI MWENEZI WA AINA GANI KUMUDU MAZINGIRA NA HALI YA SIASA SASA?

Baada ya Ndugu Paul Makonda kuwekwa kando kwasababu ama ya makosa yake ya kiufundi au mbinu za wapinzani wake ndani ya CCM.

Nini kimemngo'a Paul Makonda?

Kwanza, Style yake ya vita isiyokwisha na waliotazamwa kama wapinzani wa JPM ilikuwa inakipasua chama.

Pili, Style yake ya kukusanya kero bila kueleza mafanikio ya Serikali ilikuwa inamjenga yeye binafsi kwa gharama ya kupunguza umaarufu wa Serikali na hata chama.

Tatu, Uwezo mdogo wa kutetea mafanikio ya awamu ya 6 yalipunguza sifa muhimu kuweza kuendelea kuwa msemaji wa chama.

===
Sasa mjadala ni mwana CCM gani anastahili kubeba jukumu hili hasa wakati huu mgumu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu na ule wa Uktoba 2025.

Nimeona majina kadhaa yanatajwa kama Mhe John Mongela, Mhe Ali Happi, Mhe Amos Makala,Mhe Anthony Mtaka,Mhe David Kafulila, Heri James na hata Ndugu Martin Shigella.

Hata hivyo, Wote hawa hawatajwi kwa sifa za kwanini wataijenga CCM kuhimili ushindani wa kisiasa au kukubalika hasa nje ya CCM bali wanaelezwa kwa namna walivyo na uswahiba au connections na baadhi ya wazee wenye ushawishi mkubwa ndani ya CCM.

Naomba nianze kwa kuchambua sifa za mwenezi anaetakiwa kwa sasa kisha nichambue mmoja baada ya mwingine katika hawa wanaotajwatajwa;

1. MWENEZI LAZMA AWE NA UWEZO KUTETEA MAFANIKIO YA SERIKALI YA CCM KWA HOJA NA TAKWIMU.

2. MWENEZI LAZMA AWE NA UWEZO WA KUMTETEA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA HOJA ZA MSINGI NA SIO MAPAMBIO NA NGONJERA.

3. MWENEZI LAZMA AWE NA UWEZO UNAOENDANA NA UPEO WA VINARA WA UPINZANI KAMA LISSU,ZITTO, HECHE,MNYIKA KTK KUJENGA HOJA.

4. MWENEZI HAPASWI KUWA MTU ANAYETAZAMWA KAMA MFUASI WA KAMBI FULANI NDANI YA CCM ILI WANACHAMA NA VIONGOZI WOTE WAMSIKILIZE NA WAWE NA AMANI KUFANYA NAE KAZI KWA UMOJA WA CHAMA HASA KUELEKEA 2025.

5. MWENEZI LAZIMA AWE NA UPEO KUWEZA KUMUDU NA KUSIKILIZWA NA JAMII YA SOCIAL MEDIA AMBAYO KUNA WATU WAMEJIJENGEA HIMAYA ZENYE UFUASI MKUBWA NA NI MUHIMILI MKUBWA WA UPINZANI KULIKO HATA VYAMA VYA UPINZANI KAMA ILIVYO KWA MARIA SARUNGI KIGOGO NA WENGINE.

6. MWENEZI LAZIMA AWE MTU AMBAE UMMA UNAWEZA KUMSIKILIZA KWA KUWA NA HOJA ZENYE UZITO ( Charisma )

7. MWENEZI LAZMA AWE MTU AMBAE ANAWEZA KUONGEA NA VIONGOZI WA SERIKALI WAONE WANAONGEA NA MTU ANAEJUA SERIKALI HIVYO WAMPE HESHIMA BILA KUMUOGOPA. AKIONGEA NA WATALAAMU NA WALA ASIDHARAULIKE KWA WATAALAMU KUWA ANAPIGA POROJO ZA SIASA

8. KWAKUWA 45% YA WAPIGAKURA WOTE NI VIJANA MWENEZI LAZIMA AWE NI KIJANA MSOMI NA MWELEVU NA MTU ANAYEICHUKIA RUSHWA KWA MANENO NA MATENDO YAKE.

Nafanya ranking kwa hoja hizi 8 Kwa majina haya 8 kwa Leo.

1. Ali Hapi 67%

2. David Kafulila 77%

3. Amos Makala 65%

4. John Mongela 65

5. Martin Shigela 66%

7. Heri James 70%

8. Antony Mtaka 71%

Kila lenye heri chama Cha Mapinduzi,

Mungu ibariki CCM.
CCM ina hazina ya wanachama wenye sifa na weledi wa kua viongozi.
Haiwezi kubabaika wala kuweweseka kwenye hilo 🐒

SG.Dr.E.Nchimbi ndio kusema, na ndio kumshauri Mwenyekiti ...

ili ikitokea chama kuvurunda basi asiwepo wa kulaumiwa ispokua yeye SG, tena bila kumsingizia mwingine.

So,
SG akimshauri chairman kwamba somebody is fit for the job, hapatakua na mjadala huyo ndie atakae kua mwenezi 🐒
 
Mleta mada mwenyewe umeona yupi bora kwa percentage ulizowapa.

Kafulila ni all-rounder anaweza kujenga hoja za kupamba kisomi na kujibu hoja kisomi. Ana experience ya siasa bungeni na kufanya kazi serikalini.

Ni ropo ropo lakini ropo ropo huyu wa shule shule kwenye hoja zake na majibu yake.

Point muhimu uliyo raise ni msemaji wa style ipi hiyo ndio key factor ya kuchagua kwa uongozi uliopo. Kafulila fits style ya uongozi wa ‘bi-tozo’ ni mpambe mwenye hoja za shule jumlisha na kwamba si mshari. CCM wenyewe ndani kwao hawana hiyo hazina wengi ni waropokaji tu wa kusifia without merit ya hoja na utemi temi tu ndio mambo wanayoweza.

Nonetheless Kafulila hawezi toboa kwa sababu CCM awamuoni kama mwenzao.
 
Mleta mada mwenyewe umeona yupi bora kwa percentage ulizowapa.

Kafulila ni all-rounder anaweza kujenga hoja za kupamba kisomi na kujibu hoja kisomi. Ana experience ya siasa bungeni na kufanya kazi serikalini.

Ni ropo ropo lakini ropo ropo huyu wa shule shule kwenye hoja zake na majibu yake.

Point muhimu uliyo raise ni msemaji wa style ipi hiyo ndio key factor ya kuchagua kwa uongozi uliopo. Kafulila fits style ya uongozi wa ‘bi-tozo’ ni mpambe mwenye hoja za shule, CCM wenyewe ndani kwao hawana hiyo hazina wengi ni waropokaji tu wa kusifia without merit ya hoja.

Nonetheless Kafulila hawezi toboa kwa sababu CCM awamuoni kama mwenzao.
Kafulila ni MwanaCCM kwa 100% kama anazosifa atateuliwa tu
 
Baada ya Ndugu Paul Makonda kuwekwa kando kwasababu ama ya makosa yake ya kiufundi au mbinu za wapinzani wake ndani ya CCM.

Nini kimemngo'a Paul Makonda?

Kwanza, Style yake ya vita isiyokwisha na waliotazamwa kama wapinzani wa JPM ilikuwa inakipasua chama.

Pili, Style yake ya kukusanya kero bila kueleza mafanikio ya Serikali ilikuwa inamjenga yeye binafsi kwa gharama ya kupunguza umaarufu wa Serikali na hata chama.

Tatu, Uwezo mdogo wa kutetea mafanikio ya awamu ya 6 yalipunguza sifa muhimu kuweza kuendelea kuwa msemaji wa chama.

===
Sasa mjadala ni mwana CCM gani anastahili kubeba jukumu hili hasa wakati huu mgumu kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu na ule wa Oktoba 2025.

Nimeona majina kadhaa yanatajwa kama Mhe John Mongela, Mhe Ali Happi, Mhe Amos Makala,Mhe Anthony Mtaka,Mhe David Kafulila, Heri James na hata Ndugu Martin Shigella.

Hata hivyo, Wote hawa hawatajwi kwa sifa za kwanini wataijenga CCM kuhimili ushindani wa kisiasa au kukubalika hasa nje ya CCM bali wanaelezwa kwa namna walivyo na uswahiba au connections na baadhi ya wazee wenye ushawishi mkubwa ndani ya CCM.

Naomba nianze kwa kuchambua sifa za mwenezi anaetakiwa kwa sasa kisha nichambue mmoja baada ya mwingine katika hawa wanaotajwatajwa;

1. Mwenezi lazima awe na uwezo kutetea mafanikio ya serikali ya CCM kwa hoja na takwimu.

2. Mwenezi lazima awe na uwezo wa kumtetea Rais Samia suluhu hassan kwa hoja za msingi na sio mapambio na ngonjera.

3. Mwenezi lazma awe na uwezo unaoendana na upeo wa vinara wa upinzani kama Lissu, Zitto, Heche, Mnyika ktk kujenga hoja.

4. Mwenezi hapaswi kuwa mtu anayetazamwa kama mfuasi wa kambi fulani ndani ya CCM ili wanachama na viongozi wote wamsikilize na wawe na amani kufanya nae kazi kwa umoja wa chama hasa kuelekea 2025.

5. Mwenezi lazima awe na upeo kuweza kumudu na kusikilizwa na jamii ya social media ambayo kuna watu wamejijengea himaya zenye ufuasi mkubwa na ni Muhimili mkubwa wa upinzani kuliko hata vyama vya upinzani kama ilivyo kwa maria sarungi kigogo na wengine.

6. Mwenezi lazima awe mtu ambae umma unaweza kumsikiliza kwa kuwa na hoja zenye uzito (Charisma )

7. Mwenezi lazma awe mtu ambae anaweza kuongea na viongozi wa serikali waone wanaongea na mtu anaejua serikali hivyo wampe heshima bila kumuogopa. Akiongea na watalaamu na wala asidharaulike kwa wataalamu kuwa anapiga porojo za siasa

8. Kwakuwa 45% ya wapigakura wote ni vijana mwenezi lazima awe ni kijana msomi na mwelevu na mtu anayeichukia rushwa kwa maneno na matendo yake.

Nafanya ranking kwa hoja hizi 8 Kwa majina haya 8 kwa Leo.

1. Ali Hapi 67%

2. David Kafulila 77%

3. Amos Makala 65%

4. John Mongela 65

5. Martin Shigela 66%

7. Heri James 70%

8. Antony Mtaka 71%

Kila lenye heri chama Cha Mapinduzi,

Mungu ibariki CCM.
Katibu mwenezi anayefaa ni yusuph makamba!
 
Back
Top Bottom